GE2025 Ushauri: Uchaguzi upelekwe mbele kwa wiki moja kuepusha vuguvugu la maandamano siku ya uchaguzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mimi nashauri uchaguzi uwe tarehe 28.10.2025 ili kuepuka dhana ya kupanga kuharibu uchaguzi.
 
Polisi nao wamepangisha mitaani,patamu sana hapa,akitoka kwenda kupiga watu piga kiberiti gheto lake
 
Wewe akili zako ni mbovu sana lengo la maandamano ni kuzuia uchaguzi feki wa kahaba hivyo tarehe yoyote ya uchaguzi ndiyo tarehe ya mwanzo wa maandamano
 
Wewe akili zako ni mbovu sana lengo la maandamano ni kuzuia uchaguzi feki wa kahaba hivyo tarehe yoyote ya uchaguzi ndiyo tarehe ya mwanzo wa maandamano
Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ