Ushauri :ukiona upo karibu na viongozi wengi then unajisifu upo na connection jua hu mpumbavu

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2019
Posts
11,613
Reaction score
13,543
Wakuu amani ya Bwana ikawe juu yenu , kila mmoja kwa imani yake popote mlipo wanajf.

Rejea mada tajwa hapo juu,

Usijigambe sana kwamba upo na connection sijui na kiongozi gani, uyu ulie na connection naye na unajua mambo yake mengi , siku akiona lipo jambo linaweza kumsanukia ,jua tu lazima afanye jambo juu yako na wenda likawa baya sana.

Mnaotamani kuwa viongozi, waulize walioko huko , wenda wanatamani wangebaki katika maisha yao ya mwanzo .

Wenda ni wachache watanielewa katika hili , jinsi unavyo beba siri za watu wako wa connection ndivyo ambavyo hauko salama pia , usijidanganye

Thanks
 
ok. :pedroP:
 
Kuna ukweli kwa kiasi fulani katika hili. Usipendelee mutu mukubwa akashirikishe kati Siri fulani fulani kwa maana siku moja atakumaliza ili aendelee kuwa salama.
 
Wakuu amani ya Bwana ikawe juu yenu , kila mmoja kwa imani yake popote mlipo wanajf.

Rejea mada tajwa hapo juu,

Usijigambe sana kwamba upo na connection sijui na kiongozi gani, uyu ulie na connection naye na unajua mambo yake mengi , siku akiona lipo jambo linaweza kumsanukia ,jua tu lazima afanye jambo juu yako na wenda likawa baya sana.

Mnaotamani kuwa viongozi, waulize walioko huko , wenda wanatamani wangebaki katika maisha yao ya mwanzo .

Wenda ni wachache watanielewa katika hili , jinsi unavyo beba siri za watu wako wa connection ndivyo ambavyo hauko salama pia , usijidanganye

Thanks
Aka chawa
 
Utasikia mimi nipo na connection kubwa ,mfano uyu nawaweza mpigia simu mda wowote ,endelea tu ipo siku
 
Back
Top Bottom