Ushauri: Ukweli umeshaanza kujulikana, ni vizuri tupunguze malumbano

Ushauri: Ukweli umeshaanza kujulikana, ni vizuri tupunguze malumbano

Juzi nilikuuluza swali ukajitia hamnazo, sasa leo nakuuliza tena..
Wakati wa kibaki lapsset kulijengwa nn?
Jamaa ni mpuuzi sana. Ameniudhi. Eti anasema Lamu imechukua miaka minane kwa hivyo anaipuuzilia mbali. Ni kawaida miradi mikubwa kama hii kuchukua miaka nyingi hata kupita deadline. Hata ule mradi mkubwa wa dam wa Ethiopia imechelewa kwa sababu ilizinduliwa mwaka wa 2011. Pia Dangote refinery ambayo itakuwa biggest refinery in Africa pia imechelewa. Anadhani kujenga miradi mikubwa ni kama kujenga choo kitongojini kwao
 
Daaah kuna maswali mengine bana . Sasa unazani kauliza takwimu za nini? Daah sijui watu mnafikiriaga kwa kichwa cha chini au cha juu
Bahati mbaya sana humu ndani hatujuani ndio uzuri wa hii mitandao ya kijamii, wenye akili na vilaza sote tunachangia pamoja, ina maana hukuelewa kwanini nilimuuliza hilo swali?, kwanini hakujibu?, wewe ndio pimbi kabisa, hamna kitu kichwani wewe
 
Saa zingine una ujinga sana. Mtu mwenye akili timamu atauliza "je ujenzi wa Lamu port umefikia wapi?". Lakini wazimu tu ndio anaweza sema kuwa mradi umekwama kwa sababu unaenda polepole. Hata mradi wa Umeme wa Ethiopia wa Gerd ulianza 2011 na bado haujakamilika lakini huwezi sikia mtu akisema kuwa mradi huo haupo au umekwama. Ujenzi wa sea wall wa lamu port umekamilika. Yaani mahali ambapo crane zinakuwepo umekamilika kwa berth zote tatu. Sasa huoni kama hio ni progress? Imebaki mchanga kujazwa na kisha container terminal kujengwa.

View attachment 1571743
Ukitazama kwenye hii picha ya juu, container terminal moja imeshakamilika. Imebaki mbili tu kujengwa.

View attachment 1571748

Hata barabara ya lami pia inajengwa ili kuwezesha trucks kusafirisha mizigo virahisi. Itisha picha sio kuongea matope. Fanya research wacha kuwa lazy na kusema kwamba hakuna progress.

View attachment 1571770

View attachment 1571771

View attachment 1571772
Mwaka wa tisa kitu hakina umeme wala barabara ya kuunganisha na Ethiopia na South Sudan!

This project was expected to be ready in 2016!

More of white elephant projects (Isiolo Resort City) from Kibaki era

CC: komora096
 
Takwimu zipi?, kwamba Mombasa port inapokea mizigo mingi kuliko Dar?
Sasa wewe umeuliza nini? Tanzania hatuna bandari moja. Tuna zenj port, dsm port, tanga port, bagamoyo port na mtwara port. Leta takwimu za ports zote halafu ndo uulize hilo swali lako
 
Sasa wewe umeuliza nini? Tanzania hatuna bandari moja. Tuna zenj port, dsm port, tanga port, bagamoyo port na mtwara port. Leta takwimu za ports zote halafu ndo uulize hilo swali lako
South Afrika ina bandari tatu kubwa, lakini bado Durban ndio bandari kubwa kuliko zote Africa.

Any way, nimekuelewa jibu lako lina mashiko.
 
Samahani nimekosea kidogo hamna ports 4 kwenye Indian Ocean. Mna bandari 3 zilizo kwenye bahari la hindi. Dar, Mtwara na Tanga.
Kumbuka Kenya na Uganda zinatumia port moja tu kwa jina la Mombasa port. Tunajenga Lamu port. Pengine hiyo italeta competition kwa Mombasa port katika siku za usoni.
hujakosea pimbi wewe!
 
Ni wazi kwamba kwa muda mrefu tumekua tukilinganisha na kutunishiana misuli kati ya Kenya na Tanzania kwa kulinganisha maeneo mbalimbali ya kimaendeleo, kisiasa, kijamii na kimichezo.

Sasa hivi kila mmoja wetu hapa JF na nje ya JF raia wa hizi nchi mbili anayefuatilia kwa makini yanayotokea, tayari amepata jibu la huu mnyukano unavyoelekea, na hali ilivyo kati ya Kenya na Tanzania.

Binadamu tumeumbwa na mapungufu mengi, hasa sisi waafrika tumeumbwa na mapungufu ya kutokubali kushindwa na kukiri hadharani, ndio sababu ukiachana na Nigeria, Ghana na South Africa, Hakuna nchi ambako walioshindwa kiti cha urais wamekiri na kuwapongeza walioshinda, japo baadae wanakiri kwamba kweli walishindwa.

Ombi langu kwasasa, ni vizuri kupunguza malumbano ya kulinganisha kwa lengo la kishabiki ili kuonekana upande mmoja ni bora kuliko upande mwingine, badala yake kujaribu kuonyesha yale ambayo tunahisi upande wa pili unafanya vizuri ili upande mwengine uweze kujifunza.

Mimi binafsi ningependa sana kujua na kujifunza kwanini bandari ya Mombasa inapata na kupokea mizigo mingi kuliko bandari ya Dar es salaam wakati bandari ya Dar es salaam inahudumia nchi nyingi kuliko Mombasa?

Karibuni wadau kuchangia?
Wewe Ndugu unakaribisha matusi...ngoja nikae pembeni kuangalia kutazama unavyorushiwa missles za matusi....Mimi sikusaidii ng'o.
 
Jamaa ni mpuuzi sana. Ameniudhi. Eti anasema Lamu imechukua miaka minane kwa hivyo anaipuuzilia mbali. Ni kawaida miradi mikubwa kama hii kuchukua miaka nyingi hata kupita deadline. Hata ule mradi mkubwa wa dam wa Ethiopia imechelewa kwa sababu ilizinduliwa mwaka wa 2011. Pia Dangote refinery ambayo itakuwa biggest refinery in Africa pia imechelewa. Anadhani kujenga miradi mikubwa ni kama kujenga choo kitongojini kwao
Mpuuze hyo, yeye anafikiria miradi mikubwa ni mwendo wa kuzindua na kuanza kazi..
Miradi km hyo ni kawaida sana kuchelewa chelewa
 
Mpuuze hyo, yeye anafikiria miradi mikubwa ni mwendo wa kuzindua na kuanza kazi..
Miradi km hyo ni kawaida sana kuchelewa chelewa
Miaka tisa kwa project inayo-cost less than $250mln for first 3 berths ni aibu! stop being laggards!

The Treasury has allocated Sh21 billion in two tranches of Sh10 billion and Sh11 billion to date.

Lapsset hit by budget cuts, state saves Sh7.2bn

See Mtwara port expansion will be ready before ur tembo mweupe Lamu port!

Mpuuze hyo, yeye anafikiria miradi mikubwa ni mwendo wa kuzindua na kuanza kazi..
Miradi km hyo ni kawaida sana kuchelewa chelewa
This is what Uhuru is doing at Lamu port

cart-before-horse.jpg
 
Miaka tisa kwa project inayo-cost less than $250mln for first 3 berths ni aibu! stop being laggards!

The Treasury has allocated Sh21 billion in two tranches of Sh10 billion and Sh11 billion to date.

Lapsset hit by budget cuts, state saves Sh7.2bn

See Mtwara port expansion will be ready before ur tembo mweupe Lamu port!
Hahaha!!enzi za kibaki kulijengwa nn?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaha!!enzi za kibaki kulijengwa nn?[emoji23][emoji23][emoji23]
Wacha ufalamanga the ground breaking ceremony was done in March 2012 expected to be ready in 2016! Ethiopia has changed 2 Preime ministers, tembo mweupe amedumaa kama dwarf!
 
Wacha ufalamanga the ground breaking ceremony was done in March 2012 expected to be ready in 2016! Ethiopia has changed 2 Preime ministers, tembo mweupe amedumaa kama dwarf!
Bado hujajibu swali jomba acha kutapatapa km samaki mmoja mchuzini..

Swali ni, enzi za kibaki kulijengwa nn?
 
Ni wazi kwamba kwa muda mrefu tumekua tukilinganisha na kutunishiana misuli kati ya Kenya na Tanzania kwa kulinganisha maeneo mbalimbali ya kimaendeleo, kisiasa, kijamii na kimichezo.

Sasa hivi kila mmoja wetu hapa JF na nje ya JF raia wa hizi nchi mbili anayefuatilia kwa makini yanayotokea, tayari amepata jibu la huu mnyukano unavyoelekea, na hali ilivyo kati ya Kenya na Tanzania.

Binadamu tumeumbwa na mapungufu mengi, hasa sisi waafrika tumeumbwa na mapungufu ya kutokubali kushindwa na kukiri hadharani, ndio sababu ukiachana na Nigeria, Ghana na South Africa, Hakuna nchi ambako walioshindwa kiti cha urais wamekiri na kuwapongeza walioshinda, japo baadae wanakiri kwamba kweli walishindwa.

Ombi langu kwasasa, ni vizuri kupunguza malumbano ya kulinganisha kwa lengo la kishabiki ili kuonekana upande mmoja ni bora kuliko upande mwingine, badala yake kujaribu kuonyesha yale ambayo tunahisi upande wa pili unafanya vizuri ili upande mwengine uweze kujifunza.

Mimi binafsi ningependa sana kujua na kujifunza kwanini bandari ya Mombasa inapata na kupokea mizigo mingi kuliko bandari ya Dar es salaam wakati bandari ya Dar es salaam inahudumia nchi nyingi kuliko Mombasa?

Karibuni wadau kuchangia?

Hilo mbona ni jibu rahisi sana, kwanza utakuwa hujafika Kenya ndiyo maana unauliza kama ungekuwa umefika Kenya ukaangalia viwanda walivyo navyo ndiyo ungepata jibu haraka tu. Kiufupi ni kwamba kati ya shehena yote inayoingi Kenya ni asilimia ndogo sana inapita kwenye nchi Jirani hasa Uganda ambayo haizidi 24% shehena iliyobaki yote inatumiwa ndani ya Kenya. Unajiuliza kwanini jibu ni kwamba Kenya inavyo viwanda vingi sana vya ndani ya nchi ndiyo sababu.

Kwa takwimu shehena inayoingizwa Kenya kupitia mombasa ni mara mbili ya shehena inayoingizwa tanzania kupitia Dar es Salaam unaweza kusema basi kwavile tanzania kuna Bandari zingine za tanga na mtwara Hiyo siyo sababu kwakuwa shehena inayoingizwa Bandari ya Dar es Salaam peke yake ni 95% ya shehena yote inayoingizwa nchini.

Hivyo kwa kifupi Kenya Uchumi wao ni mkubwa hata ukiangalia bajeti yao ya mwaka na ya tanzania bajeti yao ni kubwa japo sisi population yetu kubwa kuliko wao. Kama isingekuwa ufisadi Kenya ilitakiwa kuwa mbali sana kimaendeleo kulingana na viwanda ilivyonanvyo.
 
Simple tu ni kwamba Kenya inaimport almost everything in its domestic market, hata ukiangalia asilimia kubwa ya mzigo wa Mombasa unaishia Kenya and most of it ni chakula tofauti na Tanzania ambayo importation rate yake ipo chini.
Wewe ndio umeongea vizuri, kuna sehemu niliona kenya, wao wenyewe walisema zaidi ya nusu ya mizigo inayosafirishwa kutoka mombasa huishia Nairobi.
Kenya wana malls nyingi kuliko sisi na vitu vingi kwenye malls huwa imported.
Kuna meli zingine kubwa zikilikuwa haziwezi kutia nanga bandari ya dar, so zilikuwa zinaenda mombasa.
Bado kuna watu wa Arusha hupendelea mombasa zaidi.
Ukiachana na uganda, Rwanda bado kwa asilimia kubwa wanatumia mombasa.

Vitu vilivyodumaza dar ilikuwa ni huduma mbovu, rushwa, wizi na udogo wa bandari.
 
Back
Top Bottom