Wewe huenda uko na matatizo ya kuelewa mambo rahisi. Kuhudumia nchi nyingi sio hoja. Hoja ni kwamba unpeleka idadi kiasi gani ya mizigo kwenye hizo nchi. You can even serve 50 countries but if the demand of those 50 countries can't match the demand of another country serving just one or two countries, then there's no day you'll be in the same page.
Secondly, ushaambiwa kwamba 80% ya cargo inayopita Mombasa hubakia Kenya. In other words, Kenya has high demand of cargo than all the neighbouring countries, Tanzania included