Ushauri: Ukweli umeshaanza kujulikana, ni vizuri tupunguze malumbano

Ushauri: Ukweli umeshaanza kujulikana, ni vizuri tupunguze malumbano

Na wewe unaweza kusoma ila huelewi cjui Kwa kua lugha tunayotumia sio yako!! Kwani Mimi nimebisha kwenye comment yangu ya hapo juu?
Na ndio mana nimekujibu hivi: it doesn't matter the number of countries you serve. What matters is the total amount of cargo you are taking to those countries. Does that ring a bell in your head?
 
I can concur with you, they import everything. Hata mahindi safari hii wali import toka Brazil.
Kenya’s Top 10 Imports

The above is a list of Kenya's top ten imports. Tell me, which ones in that list does Tanzania produce more than Kenya? Don't forget to include links to your information
 
Just to remind you all that Mombasa port handles twice the number cargo handled by all Tanzanian airports.

The first image is of all ports in Tanzania, total tonnage is 17,294,000 tonnes.
The second image is of Mombasa port and the total tonnage handled were 34,440,000 tonnes.
Screenshot (149)_LI.jpg

Screenshot (151)_LI.jpg
 
Just to remind you all that Mombasa port handles twice the number cargo handled by all Tanzanian airports.

The first image is of all ports in Tanzania, total tonnage is 17,294,000 tonnes.
The second image is of Mombasa port and the total tonnage handled were 34,440,000 tonnes.
View attachment 1572452
View attachment 1572453

Please weka source ili nasi tukachunguze zaidi.
 
Simple tu ni kwamba Kenya inaimport almost everything in its domestic market, hata ukiangalia asilimia kubwa ya mzigo wa Mombasa unaishia Kenya and most of it ni chakula tofauti na Tanzania ambayo importation rate yake ipo chini.
Huu ni ukweli mchungu ambao huwa hawapendi kabisa kuusikia [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jiulize mnapitisha tani ngapi ya mizigo kupitia Tanga na Mtwara. Hiyo mizigo sio kidogo. Transhipment inayofanyika bandari ya Mombasa ni kidogo sana na haiwezi kutueleza ni kwa nini Dar inapokea mizigo kidogo. Nadhani sababu ni kuwa Dar ina competition kutoka Mtwara na Tanga
Kidogo naanza kukuelewa hapa, ila pia hili suala la baadhi ya meli kushindwa kutia nanga Dar port nayo ilikuwa tatizo.
 
Kidogo naanza kukuelewa hapa, ila pia hili suala la baadhi ya meli kushindwa kutia nanga Dar port nayo ilikuwa tatizo.
Are you aware that some Tanzanians are using Mombasa port for their imports?
 
Mpuuze hyo, yeye anafikiria miradi mikubwa ni mwendo wa kuzindua na kuanza kazi..
Miradi km hyo ni kawaida sana kuchelewa chelewa
Ss km mnalijua hilo mbn mnapiga piga kelele kuhusu sgr ya Tz kuchelewa.
 
Hilo mbona ni jibu rahisi sana, kwanza utakuwa hujafika Kenya ndiyo maana unauliza kama ungekuwa umefika Kenya ukaangalia viwanda walivyo navyo ndiyo ungepata jibu haraka tu. Kiufupi ni kwamba kati ya shehena yote inayoingi Kenya ni asilimia ndogo sana inapita kwenye nchi Jirani hasa Uganda ambayo haizidi 24% shehena iliyobaki yote inatumiwa ndani ya Kenya. Unajiuliza kwanini jibu ni kwamba Kenya inavyo viwanda vingi sana vya ndani ya nchi ndiyo sababu.

Kwa takwimu shehena inayoingizwa Kenya kupitia mombasa ni mara mbili ya shehena inayoingizwa tanzania kupitia Dar es Salaam unaweza kusema basi kwavile tanzania kuna Bandari zingine za tanga na mtwara Hiyo siyo sababu kwakuwa shehena inayoingizwa Bandari ya Dar es Salaam peke yake ni 95% ya shehena yote inayoingizwa nchini.

Hivyo kwa kifupi Kenya Uchumi wao ni mkubwa hata ukiangalia bajeti yao ya mwaka na ya tanzania bajeti yao ni kubwa japo sisi population yetu kubwa kuliko wao. Kama isingekuwa ufisadi Kenya ilitakiwa kuwa mbali sana kimaendeleo kulingana na viwanda ilivyonanvyo.
Nambona kuna tatizo kubwa la ajira kuliko Tz au mafisadi ndo wanachukua mpk ajira? Hivyo viwanda ni vya nn mbn wana import sn kuliko Tz (kuanzia chakula mpk bidhaa zingine) hebu nisaidie hvyo viwanda ni vinatengeneza nn?
 
Those are just second hand information, I need the source docs from those institution, so as I read the text and ponder the stats.
So Tanzanian National Bureau of Statistics is nowadays second hand?
 
Nambona kuna tatizo kubwa la ajira kuliko Tz au mafisadi ndo wanachukua mpk ajira? Hivyo viwanda ni vya nn mbn wana import sn kuliko Tz (kuanzia chakula mpk bidhaa zingine) hebu nisaidie hvyo viwanda ni vinatengeneza nn?
Before corona our employment was at 5%, right now Kenya`s unemployment rate is 10%. That one is way lower than yours.
 
Before corona our employment was at 5%, right now Kenya`s unemployment rate is 10%. That one is way lower than yours.
Ndo mana huwa nakuona mjinga sana hili suala la unemployment rate tulishamalizana kule kwenye battle na mkaikimbia hii mada, leo unakuja kusema rate ni kubwa Tz kuliko kenya hebu lete credible source hapa.

Alafu kwa argument za kipuuzi kama hizi eti joto la jiwe ndo unatuomba tuongee nao kwa upole makafiri hawa.
 
Mjinga sana uyo jamaa cku zote huwa anajifariji kwa data za uongo, hapo juu anakwambia mombasa port inachukuwa mzigo twice ports zote za Tz akiambiwa alete credible source analeta zile za kutengeneza huu ndo ufilauni wenyewe unaozungumziwa kwenye vitabu.
I don`t argue with idle guys like you but to put matters straight, I`m reminding you that Mombasa port handles twice the number of cargo handled by all Tanzanian ports. The same goes for airports, JKIA handles more passengers than all Tanzanian airports placed together?
 
Ww demu ni mpumbavu sn, nilikuwa nadhani we ni mwanaume kumbe demu ndo mana una mipasho.
 
Back
Top Bottom