The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Keshakubali hahahahaaaa huwa hawachelewi kukubali hawa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]Wacha ujinga, Wewe ndio umesema tukubaliane na data za WB, mimi ndio nilipinga zile graph, wewe ukasisitiza lazima tuzikubali kwasababu ndivyo WB wanavyotoa report zao. Mimi nimezikubali, ulipogundua graph hizo zinaiweka Tanzania mbele ya Kenya, unajaribu kuzikwepa na kukimbilia za kwenu.
Sasa Mubarak's Kwanza uzipinge data za WB hadharani ndio tuzungumzie source zingine, sema kwamba zile graphs za WB haziaminiki tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Graphs za WB zinaeka Kenya at 7%. Do you have anything else to ask?