BUSARA ZANGU
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 779
- 1,269
Upo maeneo gani mkuu?Mimi nipo zangu Ruvu muda huu
Geto nimeacha gamba langu la BAED.
Anakaribishwa sana.
Nalima karibu na mashamba ya jeshini paleUpo maeneo gani mkuu?
Unalima?
Mbinu gani ulitumia kutoka kimaisha brother??Umenena vyema.
Anachokipitia jamaa, watu wengi wanapitia ikiwemo mimi.
Alichokisema, nimekipitia.
Nilidharauliwa kwa umasikini wangu japo ni digrii, ila sasa ninaheshimika eti kwa pesa zangu, na sasa wananipiga mizinga, japo sina pesa kihivyo.
Ndugu, marafiki, wengi ni wanafiki tu.
Bro nimeku dm hujanijibu aisee.. Nataka kuja uko ruvu kutafuta mashamba kati ya alhamis na ijumaa..Mimi nipo zangu Ruvu muda huu
Geto nimeacha gamba langu la BAED.
Anakaribishwa sana.
Duh mkuu, au unamiliki two pair of chuchusmaisha ya bongo mwisho wa siku unajikuta unamiliki Two pair of balls... pole sana mkuu
one psy[emoji23] [emoji23] [emoji23]Duh mkuu, au unamiliki two pair of chuchus
....The biggest mistake in life is to give up, don't you ever give up...pambana mpaka unaingia kaburiniI feel you brother. Umejizungumzia wewe kama umenizungumzia mimi na hii BAEd yangu inanifanya najichukia na kujutia muda niliopoteza chuoni. Naelekea kukata tamaa kabisa .Eee mola nisaidie [emoji24] [emoji24]
Safi kabisa..ndugu sio wa kutegemewaYaan mkuu una akil sna , hakika halio ndo hali halisi haswa
Nina kaka angu yupo uk hapa bongo ana majumba hayana idadi
Ma eka ya mashamba had mengine hayajui
Ila kumseidia mtu shida yaan kukupa kamtaj hawez labda sh 10000 ili sku yapili umuombe tena aone huwezi ishi bila yeye nikaona. Bora nijiongeze saiv sina habar nae kabisa japo km ni kaka baba mmoja ma mmoja ila sina mawasiliano nae tena nafanya yangu
Jaman chonde chonde msitegemee vya ndugu mtakufa masikini
Safi kabisa..ndugu sio wa kutegemewaYaan mkuu una akil sna , hakika halio ndo hali halisi haswa
Nina kaka angu yupo uk hapa bongo ana majumba hayana idadi
Ma eka ya mashamba had mengine hayajui
Ila kumseidia mtu shida yaan kukupa kamtaj hawez labda sh 10000 ili sku yapili umuombe tena aone huwezi ishi bila yeye nikaona. Bora nijiongeze saiv sina habar nae kabisa japo km ni kaka baba mmoja ma mmoja ila sina mawasiliano nae tena nafanya yangu
Jaman chonde chonde msitegemee vya ndugu mtakufa masikini
Me nakushaur ujikite ktk bsness ...me n former teacher nmefundsha English medium kadhaa hapa dar Nina miaka 24 nmeacha kaz mapema mwaka huu na nmejiajir Nina vibal toka maliasili ninauza kuni znalipa sana ......ila ka hauna mtaj kabisa nakushaue ebu hangaika upate jpo lak nne ...uanze kwenda kwa wakulima wa Mihogo ununue kwa kuanzia robo eka then unaenda kuuza sokon ...aidha mwenyew au kuptia madalali .......au unawzann cha kufanya ....jipange jiamin kuwa jasir ur the best mambo yanawezekanaSalaam wanajamvi,
Jamani naomba mnipe ushauri kutoka kwenu hasa kwa wale waliofanikiwa kimaisha.
Kwanza naweza sema hapa Tanzania kusoma sana ndo kuukaribisha umasikini tu.
Kijana mimi wa kitanzania mwenye elimu ya Bachelor degree na Postgraduate Diploma hadi sasa nagonga 30 years sina cha maana ninachomiliki katika maisha yangu.
Sijui kwa sababu nimetumia muda mwingi kusoma, au hii familia niliyozaliwa ya umasikini ndo chanzo hata sijui.
Nilisoma kwa mkopo wa serikali na postgraduate nikafadhiliwa kwa kujua kwamba nikimaliza nitaingia kwenye system kupitia ualimu wa masomo ya arts imekua ndivyo sivyo.
Umri unaenda sina mtaji sina ndugu wa kuniwezesha kwa chochote kazi zimekua ngumu so nategemea kudra za Mwenyezi Mungu labda nitafanikiwa.
Najishughulisha na shughuli mbalimbali za kujiingizia kipato lakini hakikidhi mahitaji napata hela ya kula, kulipa kodi miezi 2 2 au 1.
Nina mtoto anaishi kwa mama yake, najisikia vibaya kumwona mwanangu anakua lakini hadi sasa baba yake similiki chochote kitakachomsaidia, mama yake ndo anauwezo kwa sasa wa kumjengea mazingira bora coz kipato chake kinatosha kabisa.
Sina ninachomiliki jamani, naombeni ushauri njia bora ya kuishi, namna ya kufanya ili nami niweze kutoka katika dimbwi hili la umaskini, nakiri kwamba nimesoma na kwa sasa sina ndoto tena ya kutaka kuajiriwa nina ndoto ya kujiajiri lakini sijui wapi napata mtaji, labda itokee nipate ajira ya uhakika ya kupata salary bila usumbufu hapo nitajipanga kudunduliza hela nipate japo mtaji.
Umasikini mbaya sana. Na elimu ya Tanzania inachochea umasikini.
Nipeni ushauri jamani ili mwaka 2018 niwe mtu mpya nijue nini nifanye nami nimiliki japo biashara hata ya kuuza juice, banana power hata shujaa vodka.
Ushauri tafadhali, sihitaji maneno ya kejeli nina frustration zangu.
NAWASILISHA
Mbinu gani ulitumia kutoka kimaisha brother??
Tugusie kidogo tu ulianzaje ili na wengine wajipange kuwa muwazi maana nimesoma hizo post nikawasikitika sana watanzania wenzangu
We jamaa taahira kweli.Kazi uliziacha kijijini ukakimbilia madigrii rudi upesi huko ukaungane na wenzako ulime kabla nguvu hazijakuishia.kosa ni la mama yako aliyeolewa na masikini kisha ukazaliwa.njoo tulime.