Ushauri: Umri unaenda sina ninachomiliki

Kati ya watu usiotakiwa tegemea ni
Ndugu (Tumbo Moja au W Mbali)
Familia
Marafiki

Ukiwategemea Hawa utakufa masikini, hata wawe nacho hawawezi kukusaidia zaidi watapenda uwe hivyo ili uwaheshimu
Kati ya watu usiotakiwa tegemea ni
Ndugu (Tumbo Moja au W Mbali)
Familia
Marafiki

Ukiwategemea Hawa utakufa masikini, hata wawe nacho hawawezi kukusaidia zaidi watapenda uwe hivyo ili uwaheshimu
Ni kweli uliyosema na ukiona wanakupa moyoujitahidi ujue bado upo chini yao mziki utauona ukitaka kuwaovertake yan unaona kabisa hii mijitu haipendi me hua nasema wa-go to hell
 

Attachments

  • wp_ss_20171025_0001 (2).png
    110.2 KB · Views: 60
Degree Ina nafasi yake Ila kwa sasa sahau kuhusu hilo wewe angalia kazi ya kukuingizia kipato bila kujali wewe ni nani ikiwezekana piga hata dili za kijasri Ila kwa kijistiri ..
Acha kufedheka kuhusu degree Dr shika anayo PhD lakini anatamba japo yuko doroo
 
Ndugu inauma sana na kusikitisha ila nakushauri jitahidi ukae na kufikiri kulingana na kipato chako uweze kutanua zaidi mtaji wako na unachokitumia kiwe n kidogo kuliko unachoingiza
 
Kazi uliziacha kijijini ukakimbilia madigrii rudi upesi huko ukaungane na wenzako ulime kabla nguvu hazijakuishia.kosa ni la mama yako aliyeolewa na masikini kisha ukazaliwa.njoo tulime.
acha umkunduchi, wangapi wameolewa na matajiri na wakafirisika, huko kijijini wangapi wamefanikiwa kwa ajili ya kikimo.

acha upuuzi ww
 
hawa ndugu wapuuzi tu, wanapenda wakuone unahangaika tu, nna ndugu yangu ni mkubwa kampuni flan anasubiri nimtafute ndo anauliza ivi bado tu ujapata kazi. kampuni ilikuwa na uhitaji wa watu ila imeshapata ww uko kimya sana.

huu ujinga umesha nichosha
 
Sikiliza ushauri wangu ndugu yangu.
1. Nenda kamchukue mama na mtoto uishi nao hapo unapoishi,
2. Mpe mtaji mkeo aanze biashara ndogondogo
3. Wewe pia weka pembeni kabisa vyeti vyako maana havikusaidii chochote, ulicho nacho cha maana na unatakiwa ukitumie ni hiyo elimu uloipata. Naamini chuoni hawakukufundisha kufundisha watoto tu, kuna mengi sana umefundishwa hasa uongozi. So anzisha biashara yoyote hata kama inakuingizia elf kumi kwa siku inatosha sana. So wewe utaingiza na mama ataingiza na maisha yanasonga,
3. Uwe na mipango ya wazi wewe na mkeo, usimfiche chochote, mshirikiane kwa kila jambo liwe baya ama zuri. Nakwambia baada ya miaka 3 rudi hapa, nakwambia utakuwa nanpesa kuzidi hata mm ninayepokea mshahara
 
kipindi ulichokua na mkopo wa asilimia 100 ulikua huijui future sio??
Boom lako ulilifanyia anasa,kununua usafiri na kuhonga wanawake sio??
 
Naona kama unamiliki smartphone na unaweza kununua bundle we sio maskini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…