Nimependa huu ushauriSwali la kujiuliza ni hili; Kwa nini unataka kumueleza?? Amekuwa akikuuliza kuwa je wewe ni mama yangu au?? Na kama kakuuliza, ni kitu gani kilimfanya akakuuliza hilo swali??
Angalia, kama ungelikuwa unamfanyia hiana asingelifikia umri huu bila kujua ukweli. Yeye amekujua kama mama yake imetosha. Humdai malipo ya kumtunza, humkatai katika uzee wake, sasa kinachokufanya umwambie kuwa weye sio mamake ni kitu gani??
Kama wakiitwa wazazi wake tangu akiwa mdogo si ni wewe ulienda?? Mbona unakuja kataa mtoto wako uzeeni? Acha kabisa hayo maneno unayotaka kumhuzunisha nayo. Sio mazuri
Hajawi kuniuliza ndio maana nikataka ushauri nifanyeje.Swali la kujiuliza ni hili; Kwa nini unataka kumueleza?? Amekuwa akikuuliza kuwa je wewe ni mama yangu au?? Na kama kakuuliza, ni kitu gani kilimfanya akakuuliza hilo swali??
Angalia, kama ungelikuwa unamfanyia hiana asingelifikia umri huu bila kujua ukweli. Yeye amekujua kama mama yake imetosha. Humdai malipo ya kumtunza, humkatai katika uzee wake, sasa kinachokufanya umwambie kuwa weye sio mamake ni kitu gani??
Kama wakiitwa wazazi wake tangu akiwa mdogo si ni wewe ulienda?? Mbona unakuja kataa mtoto wako uzeeni? Acha kabisa hayo maneno unayotaka kumhuzunisha nayo. Sio mazuri
Then don't... fikiria impact ya hilo,huwezi jua litamsumbua kiasi gani...Hajawi kuniuliza ndio maana nikataka ushauri nifanyeje.
Hatujui baba ake alipo alitelekezwa tangu yupo tumboni. Na marehemu mama yale tulimsihi amtaje baba wa mtoto hata kama kaikataa mimba Jibu lilikuwa Baba ake amefariki.Me kabla ya ushauri naswali
Je babake yuko wapi?
Hilo swali na mtoto ndo atakaloanza kukuliza kwa kuwa anajua wewe ndo mamake
Sent from my Infinix-X600 using JamiiForums mobile app
Duuu!!Mwambie ukweli au kma ni binti kma anasimu npe namba yake niku assist kumwambia
Sio kweli zote zinatuweka guru mkuuuMwambie ukweli maana biblia inatuambia ukweli umuweka mtu huru
my phone is nokea ya jeneza(kidole juu)
Kuna mdogo wangu alifariki akaacha mtoto wa miezi 3 mwaka 2000 yule mtoto akalelewa na Mama alipofikisha miez 8 akachukuliwa na Mdogo wangu wa mwisho akaishi nae alipofikisha mwakana nusu yule mdogo wangu nae akafariki , nikamchukua mimi kumlea mpaka sasa anajua mimi ndiye mama yake wa kumzaa , Mpaka sasa ana umri wa miaka 17, hajui kama mama yake amefariki. Je nimuache au nimueleze ukweli kwamba yeye ni Yatima hana wazazi.