Sijakuelewa ebu rekebisha maandishi yako.darasa kama nimekuelewa ugumu wa hapa watu ukiandika theory wanaita vilimo vya mtandaoni n vingi tunaonekana hatujawahi kulima ni njia tu za umotivation speaker ssa nimeweka Kwa tangazo lengo ni hili Kun mtu ana mtaji ana Shamba ila hajui kulima Kwa mbinu za kisasa toka kuandaa Shamba mbegu Bora mpaka kuvuna ndo mana nimeweka hyo no yangu na mawasiliano Kwa mwenye passion na utayari asie nao aache.ila hata akitaka ushauri Nampa kama haitowezekana mm kufika site hpa s tufanye ki vitendo. Hapa ni hiari ya mwenye utayari na project ya kilimo