Hutaki Toyota Allen wala Toyota Rush?
Mkuu inakuwaje mbona nasikia dumping fee inaanzia na miaka 8? Au huu ni uwongo?Nunua Gari iliyo exactly ten year after manufacturing. Utasave dumping fee name depression itakuwa maximum yaani 80%. Hiyo ndo utalipa hela kidogo tra. Alafu angalia bei elekezi tra kwa Gari husika
Nunua Gari iliyo exactly ten year after manufacturing. Utasave dumping fee name depression itakuwa maximum yaani 80%. Hiyo ndo utalipa hela kidogo tra. Alafu angalia bei elekezi tra kwa Gari husika
Pamoja na ushauri mwingi unaoendelea kupewa, mi nakushauri kitu kimoja. Nunua online toka kampuni yoyote Japan utakayoipenda ila hakikisha gari linafanyiwa inspection na kampuni ya EAA (East Africa Automobiles). Wambie wauzaji wakaguliwe na kampuni hiyo kwani ndio pekee inayoamika kwa kukagua gari na kuhakiki ubora wake. Nina uzoefu na nina hakika na ninachikisema.
Amekwambia OPA wewe umekurupukia OPAL au ulitaka kumaanisha OPEL? OPA ni NZT vvti cc 1760 injini zipo katika magari mengi hadi katika Rav4Libaba OPAL siyo mchezo, inachagua vituo vya mafuta (wewe utakuwa na undugu wa karibu na BP tu). kuhusu spare sijajua sana ila nilishawahi kusikia watu wanasema eti vifaa vyake ni aghali.
Subiri watu wengine wachangie pia. yangu ni hayo tu
Njoo PM nikuuzie rav 4 au prado