Gogo la choo
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 708
- 292
Hizi gari ni kama Baby walker, ni kwenye lami tu, kwenye rough road lazima ung'oe bampa la mbele. Nishawahi kuwa nayo hiyo ila ni very comfortable.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naombeni msaada kwa mwenye uzoefu kuagiza gari kupitia trade car view. Nataka kulipia ila nitakwepa gharama za paytrade (USD 300). Je hawa jamaa ni waaminifu? Najuwa autorec howa hawana shida, ila hawa tradecarview sijawahi kuwatumia. Nipeni uzoefu.
Tafuta Tshs ziwepo tayari tayari 9,004,875:A S 13:
Tafuta Tshs ziwepo tayari tayari 9,004,875:A S 13:
Mbona BP imefunga vituo vyake Bongo na bado OPAL zipo barabarani?Libaba OPAL siyo mchezo, inachagua vituo vya mafuta (wewe utakuwa na undugu wa karibu na BP tu). kuhusu spare sijajua sana ila nilishawahi kusikia watu wanasema eti vifaa vyake ni aghali.
Subiri watu wengine wachangie pia. yangu ni hayo tu
Mkuu si kweli unayosema. Kwenye tradecarview magari yaliyopopale tayari makampuni yake yameonyeshwa na baei za magari yao pia na si kwamba magari yanauzwa na tradecarview, wao ni mkusanyiko tu wa makampuni mengi yanayouza magari. Uzuri wa kwenye tradecarview kuna wigo mkubwa wa kuchagua magari tofauti na hiyo beforward.jp maana nimeangalia ni wachovu kwelikweli hawana Harrier ya kuanzia mwaka 2001 hata moja, Suzuki escudo ya kuanzia mwaka 2001 hakuna hata moja na pia hawaonyeshi mileage ya magari yao kitu ambacho ni hatari maana unaweza kununua gari lililokongoroka hasa. Kuna watu kadha wa kadha niliokaribu nao wamenunua kupitia tradecarview magari mazuri kabisa kwa bei nzuri.
Ni zamani na naona ulikuwa umeiponda saana Be Forward, labda wakati huo, alichosema mwenzetu ni sawa maana Trade Car view wanakupeleka kwa dealer na Be Forward wana deal wenyewe. Na mie nimenunua kweli Be Forward, ni wazuri na magari yao mazuri na bei zao very competetive. Wala si wachovu kama unavyofikiria. Usijali kutoonekana unalolitaka leo haipiti wiki hujalipata maana wana-upload kila wakati.
CIF sina uhakika kuhusu kirefu chake, but inajumuisha gharama ya gari ikiwa japan, gharama ya kusafirisha hadi Tanzania, pamoja na gharama za insurance ya hiyo gari.
Ni zamani na naona ulikuwa umeiponda saana Be Forward, labda wakati huo, alichosema mwenzetu ni sawa maana Trade Car view wanakupeleka kwa dealer na Be Forward wana deal wenyewe. Na mie nimenunua kweli Be Forward, ni wazuri na magari yao mazuri na bei zao very competetive. Wala si wachovu kama unavyofikiria. Usijali kutoonekana unalolitaka leo haipiti wiki hujalipata maana wana-upload kila wakati.
Ni kweli mkuu kwa wakati huo walikuwa kama nilivyoeleza hapo awali. Kwa sasa nimeingia kwenye web yao wako vizuri na bei zao ni nzuri zinavutia kwa kweli japo magari yao yamekwenda mwendo kidogo. Tupe experience ya gari yako wewe vipi ubora wake hata kama imetembea km zaidi ya 100,000?