WENYELE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,433
- 1,442
Wakuu nawatakia Jumatatu na week njema yenye mafanikio.
Niende kwenye maada kwa wale wazoefu wanipe ushauri. Kwanza ni kiri kwamba jukwaa hili ndo lilinipa maamuzi ya kuagiza gari na kukwepa kupigwa hapa mjini.
Gari ndo imetoka KOBE, Japan jana inategemea kufika huku mwezi wa nne. Je ikifika nashauriwa kufanya maintenance zipi kabla haija kaa barabarani?
- Vitu gani vingine vya kucheki?
Kuhusu kwenye mambo ya fees nikilipa on time inachuchukua siku ngapi kutoa gari bandarini?
Asanteni na siku njema pia

- Kumwaga oil?
- General check up?
- Kubadili matairi ( yaliyopo yapo condition nzuri, yana score ya 5/10 kwenye ukaguzi wao.