Ushauri usisake mke Mtandaoni, pitia hapa kabla hujapotea yaan hata huyo demu uko naye kama yuko mtandaoni IMEKULWA SANA

venchwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2016
Posts
2,222
Reaction score
3,160
Unatafta Mke JF au mtandao mwingine ? Mkuu umepotea
Kwanza Mpaka mke aje kupatikana mtandaoni ni ama we una shida au na anayepatikana mitandaoni ana shida kulingana na wanaomjua live life ,
Kama unataka mke wa kukaa naye miaka nenda rudi angalia huko mtaani kwako ! Hawa wa mtandaoni ukikagua simu zao wana BADOO! TAGGED !TINDER! SNAPCHAT! Na nakuhakikishia kila mwanamke yuko mitandaoni kwa mambo tofauti tofauti ila katika hayo tofauti tofauti kuna hilo la kusaka ngekewa! Ukitaja dau zuri Mfano Unasema unampa 3M kukutana na mnakutana Mfano Qatar au Bahrain au hata Bangkok, Macau mle maisha week moja, mademu wengi watawakana hata waume zao na mabwana! Na Wengine watasema wana bikra kabisa,

Hivo basi hao wa mtaani ndo hawa hawa wa mtandaoni, ila bora shetani unalolijua kuliko Fisi mwenye mgozi ya Kondoo

Wale wenye mademu mko hapa

Kwenye photo Gallary kuna Sehemu ya HIDEN PHOTOS wanaweka either Face ID kufungua au wanaweka password zama huko, mademu zenu na Wengine tunawaheshimu hadi wake za wachungani wanatutumiaga view once kwa 50$,

Pili Ingia kwenye simu ya demu wako saka maneno haya kwenye whatsap messages
1. Nude
2. Pregnant
3. Condom
4. Row (Bila Kondom)
5. P2
6. Abortion
7. BNB (Lodge , Hotel)
8. Cum
9. Sex
10. Hiv

Hutakosa neno

Alafu ingia kwenye map routes za Bolt au Grab uone hotels anazopelekwaga 😀😀😀

Kama mesej wanafuta kuna anti delete codes nilikuwa nalipia dollars kadhaa Hiyo app inarejesha mesej zote ! ***** ndo maana sitakuja kuamini mwanamke kula Tambaaa
 
Relax mkuu embu njoo tupendane kwanza hapa jamani
Hatari naogopa bore demu aniambie

Nina shida na hela
1. Video call while showering nilipe 100$
2. Aseme anitumie nud*s kwa 50$
3. Video S*X kwa bei husika
4. Tukutane kula maisha kwenye hotel moja la kifahari hapo apewe mpunga kwa makubaliano
Lakin mapemzi Noooooo
 
Wewe siyo mtakatifu na wao siyo watakatfu.
Ukivutiwa na mwanamke mrembo kaa humo.
Vinginevyo utakuwa single forever, for life.
Ndo maana nimechagua hivo Nimepata vitoto vyangu viwili vichotara mama Yao M holanzi bassi sitaki tena mambo ya kijinga naye ni kama nampima akionekana anafaa namuoa kabisa ila sina hisia za mapenzi aje tu kunipa kampani japo ratiba zangu atazibana sana 😆! Ila bado mdogo ni 29 ntamuoa akitimiza 35 Nile Nile maisha kwanz
 
Unatafta Mke JF au mtandao mwingine ? Mkuu umepotea
Kwanza Mpaka mke aje kupatikana mtandaoni ni ama we una shida au na anayepatikana mitandaoni ana shida kulingana na wanaomjua live life ,
Kama unataka mke wa kukaa naye miaka nenda rudi angalia huko mtaani kwako ! Hawa wa mtandaoni ukikagua simu zao wana BADOO! TAGGED !TINDER! SNAPCHAT! Na nakuhakikishia kila mwanamke yuko mitandaoni kwa mambo tofauti tofauti ila katika hayo tofauti tofauti kuna hilo la kusaka ngekewa! Ukitaja dau zuri Mfano Unasema unampa 3M kukutana na mnakutana Mfano Qatar au Bahrain au hata Bangkok, Macau mle maisha week moja, mademu wengi watawakana hata waume zao na mabwana! Na Wengine watasema wana bikra kabisa,

Hivo basi hao wa mtaani ndo hawa hawa wa mtandaoni, ila bora shetani unalolijua kuliko Fisi mwenye mgozi ya Kondoo

Wale wenye mademu mko hapa

Kwenye photo Gallary kuna Sehemu ya HIDEN PHOTOS wanaweka either Face ID kufungua au wanaweka password zama huko, mademu zenu na Wengine tunawaheshimu hadi wake za wachungani wanatutumiaga view once kwa 50$,

Pili Ingia kwenye simu ya demu wako saka maneno haya kwenye whatsap messages
1. Nude
2. Pregnant
3. Condom
4. Row (Bila Kondom)
5. P2
6. Abortion
7. BNB (Lodge , Hotel)
8. Cum
9. Sex
10. Hiv

Hutakosa neno

Alafu ingia kwenye map routes za Bolt au Grab uone hotels anazopelekwaga 😀😀😀

Kama mesej wanafuta kuna anti delete codes nilikuwa nalipia dollars kadhaa Hiyo app inarejesha mesej zote ! ***** ndo maana sitakuja kuamini mwanamke kula Tambaaa
Dogo yatosha tandika godoro hapo sebuleni kwa shemeji mume wa dada yako ulale.

adriz de mbusii
 
Hatari naogopa bore demu aniambie

Nina shida na hela
1. Video call while showering nilipe 100$
2. Aseme anitumie nud*s kwa 50$
3. Video S*X kwa bei husika
4. Tukutane kula maisha kwenye hotel moja la kifahari hapo apewe mpunga kwa makubaliano
Lakin mapemzi Noooooo
Hayo mawazo yako ni hatari sana.Anyway,kupanga ni kuchagua.Na,kuchagua hugeuka kuwa Imani.
 
Nilipenda sana
1. Mnyarwanda
2. Mmasai
3. Msukuma
4. Muhaya
5. Muitaliano
6. Mkenya
7. Muganda
8. Mmarekani
9. Kwa sasa nimeza na muholanzi ila yeye anakaa Amsterdam (Tunapanga tutaoana mbeleni huko )
igependeza ugewafata huko huko mikoani kwao mtandaon utapata bomu
 
Hatari naogopa bore demu aniambie

Nina shida na hela
1. Video call while showering nilipe 100$
2. Aseme anitumie nud*s kwa 50$
3. Video S*X kwa bei husika
4. Tukutane kula maisha kwenye hotel moja la kifahari hapo apewe mpunga kwa makubaliano
Lakin mapemzi Noooooo
Umepewa deal nzuri hapo maana hutaki kuweka kitu ndani, sasa inabidi ulipie au unataka kula papuchi ya bure
 
Unatafta Mke JF au mtandao mwingine ? Mkuu umepotea
Kwanza Mpaka mke aje kupatikana mtandaoni ni ama we una shida au na anayepatikana mitandaoni ana shida kulingana na wanaomjua live life ,
Kama unataka mke wa kukaa naye miaka nenda rudi angalia huko mtaani kwako ! Hawa wa mtandaoni ukikagua simu zao wana BADOO! TAGGED !TINDER! SNAPCHAT! Na nakuhakikishia kila mwanamke yuko mitandaoni kwa mambo tofauti tofauti ila katika hayo tofauti tofauti kuna hilo la kusaka ngekewa! Ukitaja dau zuri Mfano Unasema unampa 3M kukutana na mnakutana Mfano Qatar au Bahrain au hata Bangkok, Macau mle maisha week moja, mademu wengi watawakana hata waume zao na mabwana! Na Wengine watasema wana bikra kabisa,

Hivo basi hao wa mtaani ndo hawa hawa wa mtandaoni, ila bora shetani unalolijua kuliko Fisi mwenye mgozi ya Kondoo

Wale wenye mademu mko hapa

Kwenye photo Gallary kuna Sehemu ya HIDEN PHOTOS wanaweka either Face ID kufungua au wanaweka password zama huko, mademu zenu na Wengine tunawaheshimu hadi wake za wachungani wanatutumiaga view once kwa 50$,

Pili Ingia kwenye simu ya demu wako saka maneno haya kwenye whatsap messages
1. Nude
2. Pregnant
3. Condom
4. Row (Bila Kondom)
5. P2
6. Abortion
7. BNB (Lodge , Hotel)
8. Cum
9. Sex
10. Hiv

Hutakosa neno

Alafu ingia kwenye map routes za Bolt au Grab uone hotels anazopelekwaga 😀😀😀

Kama mesej wanafuta kuna anti delete codes nilikuwa nalipia dollars kadhaa Hiyo app inarejesha mesej zote ! ***** ndo maana sitakuja kuamini mwanamke kula Tambaaa
Nasema heri kuoa kahaba mstaafu, kuliko bikra anayetegemewa kuwa kahaba Ajaye.
 
Back
Top Bottom