Walikuharibia uvulana wako?Mademu walinipotezea muda sana, ndo maana sinaga hisia tena
Relax mkuu embu njoo tupendane kwanza hapa jamaniMkuu naongea kutokana na experience
Mademu walinipotezea muda sana, ndo maana sinaga hisia tena
Hatari naogopa bore demu aniambieRelax mkuu embu njoo tupendane kwanza hapa jamani
Ndo maana nimechagua hivo Nimepata vitoto vyangu viwili vichotara mama Yao M holanzi bassi sitaki tena mambo ya kijinga naye ni kama nampima akionekana anafaa namuoa kabisa ila sina hisia za mapenzi aje tu kunipa kampani japo ratiba zangu atazibana sana π! Ila bado mdogo ni 29 ntamuoa akitimiza 35 Nile Nile maisha kwanzWewe siyo mtakatifu na wao siyo watakatfu.
Ukivutiwa na mwanamke mrembo kaa humo.
Vinginevyo utakuwa single forever, for life.
Dogo yatosha tandika godoro hapo sebuleni kwa shemeji mume wa dada yako ulale.Unatafta Mke JF au mtandao mwingine ? Mkuu umepotea
Kwanza Mpaka mke aje kupatikana mtandaoni ni ama we una shida au na anayepatikana mitandaoni ana shida kulingana na wanaomjua live life ,
Kama unataka mke wa kukaa naye miaka nenda rudi angalia huko mtaani kwako ! Hawa wa mtandaoni ukikagua simu zao wana BADOO! TAGGED !TINDER! SNAPCHAT! Na nakuhakikishia kila mwanamke yuko mitandaoni kwa mambo tofauti tofauti ila katika hayo tofauti tofauti kuna hilo la kusaka ngekewa! Ukitaja dau zuri Mfano Unasema unampa 3M kukutana na mnakutana Mfano Qatar au Bahrain au hata Bangkok, Macau mle maisha week moja, mademu wengi watawakana hata waume zao na mabwana! Na Wengine watasema wana bikra kabisa,
Hivo basi hao wa mtaani ndo hawa hawa wa mtandaoni, ila bora shetani unalolijua kuliko Fisi mwenye mgozi ya Kondoo
Wale wenye mademu mko hapa
Kwenye photo Gallary kuna Sehemu ya HIDEN PHOTOS wanaweka either Face ID kufungua au wanaweka password zama huko, mademu zenu na Wengine tunawaheshimu hadi wake za wachungani wanatutumiaga view once kwa 50$,
Pili Ingia kwenye simu ya demu wako saka maneno haya kwenye whatsap messages
1. Nude
2. Pregnant
3. Condom
4. Row (Bila Kondom)
5. P2
6. Abortion
7. BNB (Lodge , Hotel)
8. Cum
9. Sex
10. Hiv
Hutakosa neno
Alafu ingia kwenye map routes za Bolt au Grab uone hotels anazopelekwaga πππ
Kama mesej wanafuta kuna anti delete codes nilikuwa nalipia dollars kadhaa Hiyo app inarejesha mesej zote ! ***** ndo maana sitakuja kuamini mwanamke kula Tambaaa
Hayo mawazo yako ni hatari sana.Anyway,kupanga ni kuchagua.Na,kuchagua hugeuka kuwa Imani.Hatari naogopa bore demu aniambie
Nina shida na hela
1. Video call while showering nilipe 100$
2. Aseme anitumie nud*s kwa 50$
3. Video S*X kwa bei husika
4. Tukutane kula maisha kwenye hotel moja la kifahari hapo apewe mpunga kwa makubaliano
Lakin mapemzi Noooooo
Umri huu nikianza kuchunguzana lazima nitajinyonga mikono hadi nifwariki.Wajichunguze vijana wenye 20s hadi 30s.We chunguza uone
Aminia dogo pamoja sana tu ππΏπ€πΏHahaa Sawa sawa mkuu ππΎππΎππ
Nilipenda sanaMkuu ushawahi kumpenda mtu kwel?
igependeza ugewafata huko huko mikoani kwao mtandaon utapata bomuNilipenda sana
1. Mnyarwanda
2. Mmasai
3. Msukuma
4. Muhaya
5. Muitaliano
6. Mkenya
7. Muganda
8. Mmarekani
9. Kwa sasa nimeza na muholanzi ila yeye anakaa Amsterdam (Tunapanga tutaoana mbeleni huko )
Umepewa deal nzuri hapo maana hutaki kuweka kitu ndani, sasa inabidi ulipie au unataka kula papuchi ya bureHatari naogopa bore demu aniambie
Nina shida na hela
1. Video call while showering nilipe 100$
2. Aseme anitumie nud*s kwa 50$
3. Video S*X kwa bei husika
4. Tukutane kula maisha kwenye hotel moja la kifahari hapo apewe mpunga kwa makubaliano
Lakin mapemzi Noooooo
Nasema heri kuoa kahaba mstaafu, kuliko bikra anayetegemewa kuwa kahaba Ajaye.Unatafta Mke JF au mtandao mwingine ? Mkuu umepotea