Ushauri usisake mke Mtandaoni, pitia hapa kabla hujapotea yaan hata huyo demu uko naye kama yuko mtandaoni IMEKULWA SANA

ukioa bikra wew ndo utakuwa umemfunza ukahaba mtumba zingine zimechanika
Atataka kuonja onja akiwa katika ndoa, ndipo magunia ya mkaa yanapotokea. Lakini mtumba unajua madhara na unatulia
 
Atataka kuonja onja akiwa katika ndoa, ndipo magunia ya mkaa yanapotokea. Lakini mtumba unajua madhara na unatulia
ni uchanguzi kumbuka hata mtumba alikuwa spesho hapo nyuma kingine huwa ngumu kuachana wa nyuma
 
Wewe upo mwaka 1947
Dunia inavyokwenda mahala salama na sahihi zaidi pakupata mke patakuwa mtandaoni; Unatakiwa upate tu platform sahihi ya watu walio serious ambapo nyingi ni za kulipia ili kupunguza wababaishaji

Kwanza kwenye mtandao mtu anaandika sifa zake zote kwa kuwa hamuonani na hamfahamiani
Mfano wa sifa zao wanazoweka kwenye mtandao; Mfano
Ako HIV +
Anapenda kupika
Anakunjwa pombe
Anapenda kwenda club
Anapenda kusoma Biblia na kukaa nyumbani
Anapenda kusikiliza nyimbo za mapambio nk nk
.......na unakuta hizo sifa wanazo andika ni sifa halisi....hivyo hakuna hata haja ya kupoteza muda kuchumbiana sijui miaka miwili???

Ila hao unaopata kwenye nyumba za Ibada kila kitu hujifanya MALAIKA ila ukifika nyumbani ndio unajua kuwa uliokota limao badala ya chenza. Kwanza huko kwenye nyumba za ibada baadhi hukimbilia huko baada ya kukuta wamesha haribu kila pahala....
 
Vijana msifuate maneno ya hawa watu. Huyu kasema wa mitandami hafai, kule mwingne anasema walokole jau, yule anawaambia hili kabila na lile hakuna mke pale, yule nanii akadai kuwa madem wa kislam wengi hawana marinda msioe, pale chini yule akasema kuwa madem wa baan ni shda tupu. Vijana wapuuzie tu wife ni popote na mkiwafata hao watu sabuni itaongezwa bei tena na tena maan zitaisha kwa haraka kwa kazi isiyo rasmi yaan kujichukulib sheria mikononi.
 
Tajeer umekuja kivingine,kutusagia kunguni,

Hizi sio pigo zako bhana,ebu njoo na nyuzi za mipesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…