mwanamichakato
JF-Expert Member
- Mar 20, 2015
- 1,188
- 1,090
- Thread starter
-
- #21
Jeshi utaliweza Kaka ?
🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿Fremu zote unazoona zote kuzunguka kambi zote ni za wanajeshi kupitia vyama vyao vya Saccos
Wewe huzioni risk..mbona ziko wazi wala hazihitaji CBA..hata km ipo hapo karne, kwa sasa haina sifa kuwa barrack.Lugalo ipo hapo miaka dahari Mkuu, na mpaka watu wapo hapo maana yake wameshafanya CBA kama kuna risk jeshi huwa ni amri wanatolewa mara moja.
Wewe ndio unajua sana kuliko wale Ma generals na mabrigadia waliobobea pale?Majeshi yetu ya Ulinzi na usalama ni vyombo nyeti mno katika mustakabali wa usalama wa nchi yetu (Kisiasa,Kiuchumi na Kijamii). Maeneo ya kambi za Jeshi ni maeneo adhimu na yanapaswa kutochangamana na maeneo ya kiraia kwa namna moja au nyingine.
Miaka michache iliopita tulipata janga la mabomu kulipuka ktk kambi kadhaa za jeshi na kusababisha maafa na utaabishaji mkubwa.Nadhani yatupasa kujifunza na kuepuka ukaribu na maeneo ya kiraia au kuchangamanisha maeneo haya na mambo ya biashara kwa ujumla.
Kwasasa kumekuwa na wimbi kubwa la wafanyabiashara kuwekeza maduka, yards,ofisi,kumbi, showrooms n.k. Inawezekana kabisa nia na lengo ni zuri (Kwa mujibu wa tathmini) kabisa ila kwa unyenyekevu mkubwa nadhani yatupasa kutazama kwa mapana athali zake kiusalama sasa na baadae.
Kazi zingine ukikubali kufanya zinakufunga usifanye vile wanaokulipa wanafanya..Fremu zote unazoona zote kuzunguka kambi zote ni za wanajeshi kupitia vyama vyao vya Saccos
Dunia hii kuna mtu mmoja anajua vyote kuliko wengine? Sidhani hili ni jambo la kujua au kutokujua..Wewe ndio unajua sana kuliko wale Ma generals na mabrigadia waliobobea pale?
Nchi iko kwenye uchumi wa maframe mzee
Ova
Hiyo project ya fremuz waliianza tangu mwaka 2020, kuanzia kule KIUT naona sasa sababu ya uwepo wa Kituo cha mwendokasi wameamua kuwekeza kwa mtindo wa kuwauzia wafanyabiashara eneo wanajenga fremu wenyewe kwa mkataba wa muda wa miaka kadhaa, baada ya muda wa mkataba kuisha fremu zitarudi kuwa mali ya Jeshi na kuanza kukodishwa kwa wahusika.Hapo Gongolamboto jeshi wameuza ardhi ya mbele watu wanajenga fremu.
Uchumi wa fremu
Akili za Sa100 na Lucas Mwashambwa zitaigharimu hii nchi.
Hata Sasa amepenyeza.hujui kuwa Saamiamoja ni mnyarwaanda?Kwa kuongezea
Ipo siku Mr. Slim atapenyezea watu wake humohumo kuja kusoma mwenendo wa majeshi yetu kisha awatume M23 watusumbue
Mabrigadia kama nauye wakata mauno chamaniWewe ndio unajua sana kuliko wale Ma generals na mabrigadia waliobobea pale?
Tanzania si Kongo ama Burundi....Majeshi yetu ya Ulinzi na usalama ni vyombo nyeti mno katika mustakabali wa usalama wa nchi yetu (Kisiasa,Kiuchumi na Kijamii). Maeneo ya kambi za Jeshi ni maeneo adhimu na yanapaswa kutochangamana na maeneo ya kiraia kwa namna moja au nyingine.
Miaka michache iliopita tulipata janga la mabomu kulipuka ktk kambi kadhaa za jeshi na kusababisha maafa na utaabishaji mkubwa.Nadhani yatupasa kujifunza na kuepuka ukaribu na maeneo ya kiraia au kuchangamanisha maeneo haya na mambo ya biashara kwa ujumla.
Kwasasa kumekuwa na wimbi kubwa la wafanyabiashara kuwekeza maduka, yards,ofisi,kumbi, showrooms n.k. Inawezekana kabisa nia na lengo ni zuri (Kwa mujibu wa tathmini) kabisa ila kwa unyenyekevu mkubwa nadhani yatupasa kutazama kwa mapana athali zake kiusalama sasa na baadae.
Wanakusanya fedha na mapato....unataka wategemee tu serikali kuu ?!? [emoji44][emoji44]Hapo Gongolamboto jeshi wameuza ardhi ya mbele watu wanajenga fremu.
Uchumi wa fremu
[emoji44][emoji1787]Wanaweza hawa
Ova
Lucas Mwashambwa ndiyo ule msukule unaojaza mapambio ya kibwege bwege humu?Akili za Sa100 na Lucas Mwashambwa zitaigharimu hii nchi.
Mimi ilinipita. Ningepata plot paleHiyo project ya fremuz waliianza tangu mwaka 2020, kuanzia kule KIUT naona sasa sababu ya uwepo wa Kituo cha mwendokasi wameamua kuwekeza kwa mtindo wa kuwauzia wafanyabiashara eneo wanajenga fremu wenyewe kwa mkataba wa muda wa miaka kadhaa, baada ya muda wa mkataba kuisha fremu zitarudi kuwa mali ya Jeshi na kuanza kukodishwa kwa wahusika.