Na wewe ni sabaya's followerMbona kina Mbowe na viongozi wengne wa Chadema tuliwachangia pale walipopatikana na hatia mahakamani na walikuwa wakikejeli na kudhihaki Serikali, kwann kwa Sabaya iwe nongwa...
Bila shaka na we umo! Kumbe ni kweli.Mbona kina Mbowe na viongozi wengne wa Chadema tuliwachangia pale walipopatikana na hatia mahakamani na walikuwa wakikejeli na kudhihaki Serikali, kwann kwa Sabaya iwe nongwa...
Ni mataga wanahangaika hakuna haja ya kuhangaishana nao. WATACHEMKA muda si mrefuHawa ni lile kundi ambalo mimi nimelichana hapa JF hivi karibuni,lina mambo ya hovyo sana...
Yatoe maneno yanayotukana kiongozi hapo tuyaonekisha tuwachukukulie hatua.Hawa ni lile kundi ambalo mimi nimelichana hapa JF hivi karibuni,lina mambo ya hovyo sana...
Huo mshahara anapewa kwa cheo gani alichonacho?Wanachangishaje wakati 7baya anapewa sehemu ya mshahara wake.7baya hajahukumiwa bado.
Wanaochangisha wanaleta taharuki kama 7ya kaonewa wakati hukumu bado.Hao washughulikiwe Mara moja wachochezi
Ni swala la muda tu mkuu, ila nakwambia wazi Maza anajua beat anayopiga kapata dancers wa kutoshaHuyu Sabaya ni mhalifu
Mimi si mshabiki wa Sabaya. Ila ni mshabiki wa uhuru wa watu.Hawa ni lile kundi ambalo mimi nimelichana hapa JF hivi karibuni, lina mambo ya hovyo sana. Hili kundi linachangishana pesa huku likitoa maneno ya kashfa kwa mkuu wetu. Nina wasiwasi wana lengo la kuzuia haki isitendeke.
Vyombo vya kisheria na vya kidola viwakamate,viwahoji na ikibidi wapelekwe mahakamani. Kukamatwa kwao hakutawashangaza kwa kuwa hata wao walikuwa wanachongea watu wengine wakamatwe.
Mkuu usijali ,kila anaeshirikiana na Sabaya ambaye amefutwa katika pembe nne za dunia ,nae amefutwa ,ilisha kuwa ,wajinga tu waweza angaika na jambaziHawa ni lile kundi ambalo mimi nimelichana hapa JF hivi karibuni, lina mambo ya hovyo sana. Hili kundi linachangishana pesa huku likitoa maneno ya kashfa kwa mkuu wetu. Nina wasiwasi wana lengo la kuzuia haki isitendeke.
Vyombo vya kisheria na vya kidola viwakamate,viwahoji na ikibidi wapelekwe mahakamani. Kukamatwa kwao hakutawashangaza kwa kuwa hata wao walikuwa wanachongea watu wengine wakamatwe.
Umeliona wapi hilo kundi, mbona unaandika kama umelewa hivi!Hawa ni lile kundi ambalo mimi nimelichana hapa JF hivi karibuni, lina mambo ya hovyo sana. Hili kundi linachangishana pesa huku likitoa maneno ya kashfa kwa mkuu wetu. Nina wasiwasi wana lengo la kuzuia haki isitendeke.
Vyombo vya kisheria na vya kidola viwakamate,viwahoji na ikibidi wapelekwe mahakamani. Kukamatwa kwao hakutawashangaza kwa kuwa hata wao walikuwa wanachongea watu wengine wakamatwe.