Mimi binafsi najua kwamba afya zetu ni muhimu sana ! Tunavyokuwa watu wazima ni lazima tubadilike bila hivyo magojwa yanaongezeka sana. Mimi binafsi napata shida sana kupungua na kwasababu hiyo nakula mara mbili kwa siku mlo wangu wa kwanza ni kuanzia saa nne na nusu asubuhi na wa mwisho sio zaidi ya saa moja usiku ili niwe na masaa 15 ya kufunga.
Viongozi wetu Lissu, Mama Samia na Mpango nao nawashauri wafanye hivyo kwenye vyakula na watenge saa moja kila siku kwasababu ya mazoezi. Ikiwezekana watafute mtaalamu wa lishe anya dietician kabisa wa kuwasaidia. Uzito utawaletea magojwa mengi wasipokuwa makini zaidi. Lissu hajafikisha miaka 60 lakini ukilema wake utampa changamoto zaidi ya uzito. Kupungua kwa Lissu ni muhimu sana kwasababu kutasaidia na mguu wake ambao alipigwa risasi. Haya ni mambo binafsi lakini tusiogope kuwashauri wapedwa wetu.
Pamoja na tofauti za kisiasa afya kwa ndugu zetu wowote ni muhimu.