Ushauri wa Askofu Dullu kwa wastaafu serikalini kukubali kustaafu, mkafanye biashara na kulipa kodi kihalali, mmeupokeaje?

Udini umetajwa wapi?

Samia alipoonya masheikh wanaogombea nyama za misaada alimaanisha udini!

Ni Nini mbaya😄
Wewe jitoe tu ufahamu na kujifanya hukijui ulichokiandika huko juu,ukileta kukashifu imani za watu lazima nikuvae
 
Kulipa Kodi kihalali mara ngapi huku mishahara inakatwa kodi
Inaonyesha mishahara haiwatoshi ndio maana hawakauki kukimbizana walipo viongozi walio mamlakani ndio maana wanashauriwa wafungue biashara na walipe Kodi kihalali.
 
Wewe jitoe tu ufahamu na kujifanya hukijui ulichokiandika huko juu,ukileta kukashifu imani za watu lazima nikuvae
Shehe nawe ulihusika kugombea nyama za msaada?

Samia amewaonyeni tu,

Hakumaanisha udini
 
Kina nani hao?
Watoa sadaka za kujimaliza sio?
Mbona unalalamikia sadaka sana kwani sisi tunalipa kodi na viongozi wanaishi kwa kodi zetu shida iko wapi? Hivi unajua sifa ya askofu wakatoliki unajua ni miradi mingapi anasimamia? Unajua ni miradi mingapi anaanzisha yenye faida na isiyo na faida.Usikalili kwamba kila kiongozi wa dini anasubiri sadaka tu.
 
hivi yeye anamiaka mingapi na ana staafu lini? hakuna mtumishi anaekaa ofisini baada ya kustaafu, na wakistaafu wanakuwa raia wakawaida wanatoa mawazo yao kwa mujibu wa katiba, kuhusu biashara situnawaambia vijana wajiajiri sasa tukawe mawinga na uzee wetu kweli? yaani butiku warioba na niffer wakutane kariakoo wakidalalia matisheti?
 
Huyo asikutoe kwenye mada,

Mpuuze
 
Amekemea wastaafu wenye kupitisha viongozi wetu kwa ushauri mbaya.

Kwa mfano, yule Mzee hakualikwa, lakini alijipa uongozi na kuendesha kikao Cha chama kinyume na katiba na Sheria za chama.

Sasa hao ndio walengwa hasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…