Ushauri wa Askofu Dullu kwa wastaafu serikalini kukubali kustaafu, mkafanye biashara na kulipa kodi kihalali, mmeupokeaje?

Daah! Hilo jina ulilolichagua na falsafa zakoni ardhi na mbingu. Hilo kanisa kupitia sadaka za waamini mbona linashiriki kikamilifu kutoa huduma mbalimbali za kijamii kam elimu na afya.
Unadhalilisha Wajapan ambao ni watu waliostaarabika na wanachukia vitendo vya ukandamizaji. Na hata Gichin Funakoshi ambaye ni founder wa Shotokan hakupenda vitendo vya unyanyasaji na ukandamizaji
 
Hivi unayo akili ya kusoma jambo na kulielewa?

Wapi nimelalamika kuhusu sadaka? Mbona unajiaibisha kwa kua na uelewa kama mtoto wa darasa la pili?
 
Hivi unayo akili ya kusoma jambo na kulielewa?

Wapi nimelalamika kuhusu sadaka? Mbona unajiaibisha kwa kua na uelewa kama mtoto wa darasa la pili?
Mbona hujanijibu,

Kwanini mgombee nyama za misaada?

Au Samia amewasingizia?
 
Daah! Hilo jina ulilolichagua na falsafa zakoni ardhi na mbingu. Hilo kanisa kupitia sadaka za waamini mbona linashiriki kikamilifu kutoa huduma mbalimbali za kijamii kam elimu na afya.
Michango ya shule na hospitali nk waumini huchangishwa separately wewe

Tena wanachangishwa hadi wasio katoliki kwa ajili ya hizo huduma

Kadanganye wengine
 
Mbona hujanijibu,

Kwanini mgombee nyama za misaada?

Au Samia amewasingizia?
Kumbo hizo ID zote mbili ni wewe,naona umejisahau na umesha jichanganya tayari,

Nimekwambia mimi nakugombania wewe mchele.
 
Baba Askofu kachemka vibaya kumtaka Kikwete asiwe karibu na Samia. Hakuna Rais wa afrika asiyefurahia kuwa na washauri katika nafasi anayokuwa nayo.

Nyerere alimshauri Mwinyi, Mwinyi akamshauri Mkapa, Mkapa akamshauri Kikwete, Kikwete akamshauri Magufuli, Magufuli akaaga dunia kwa bahati mbaya. Kwanini Samia asishauriwe na Kikwete?.

Tatizo Baba Askofu anachukua hadithi za vijiweni na kuzihamishia kwenye mahubiri yake rasmi!. Kwanza aifahamu nafasi aliyonayo Kikwete kimataifa kabla ya kujikita katika kumnyooshea kidole kwa hoja za kwenye magroup ya whatsapp.
 
Kuzira ndio Nini?

Unawashauri Nini wanasiasa waliogoma kustaafu,

Jikite kwenye mada 🙏
Kustaafu kwa rais mstaafu kunaanzia umri gani?.

Clinton aliye mstaafu tangu miaka ya 90 mwishoni bado anahutubia kwenye mikutano mikubwa ya kisiasa ya chama cha democrat. Kwa ufupi katajirika zaidi katika maisha yake akiwa mwanasiasa huru baada ya kuondoka white house.

Clinton anakatazwa kujiingizia pato lake binafsi akiwa raia wa kawaida?. Kikwete anakatazwa kuitikia mialiko anayoalikwa na taasisi za kimataifa?.

Warioba kila unapomuona anaongea kwenye mikutano ya wanasiasa tambua kuwa nyuma ya pazia kuna pesa zimeingia kwenye akaunti zake za benki.
 
Kwa comment hii umethibitisha kua huu uzi wako umeuleta kwa ushabiki wakipumbavu kuhusu udini,ndio maana kwenye uzi wako kuna majina umeyatoa na ukadai wao hawahusiki,

Bila shaka hata huyo padri wako nae kasukumwa na udini tu kushauri hivyo.
Warioba kila siku anahutubia majukwaani kwenye shughuli za kisiasa, Baba Askofu lini alimwambia kwamba astaafu aache siasa?.

Naweza kabisa kuielewa kabisa hii hoja ya udini ambayo ipo nyuma ya hizi kauli za viongozi wa dini.
 
Kustaafu maana yake kupumzika,sasa ukifungua biashara umestaafu au umebadili kazi?
 
Mwaka huu Kaz ipo.

Yaani pamoja na vitisho na utekaji,

Watu ndio kwanza hawana habari,

Ni sppana kwa kwenda mbele
Na askofu anazungumza kwa uchungu mpaka anatetemeka
 
Kustaafu maana yake kupumzika,sasa ukifungua biashara umestaafu au umebadili kazi?
JK ni Rais mstaafu pekee hivi sasa. Kwanza anao uzoefu wa umri mkubwa, pili anao uzoefu wa nafasi ya urais hivyo mazingira yanayoweza kumsumbua rais Samia yeye kwa nafasi ya ustaafu anaweza kushauri nini kifanyike ili tatizo limalizike.

Kuna na Rais mstaafu ni baraka kwa aliyepo madarakani kuliko sisi wa nje tunavyoweza kudhani.
 
Kwa comment hii umethibitisha kua huu uzi wako umeuleta kwa ushabiki wakipumbavu kuhusu udini,ndio maana kwenye uzi wako kuna majina umeyatoa na ukadai wao hawahusiki,

Bila shaka hata huyo padri wako nae kasukumwa na udini tu kushauri hivyo.
Wewe mpumbavu kwahiyo kama wewe ni sheikh ubwabwa watu wasiseme

Mbona Samia leo kasema ukweli wote kuwa nyie huwa mnagombania nyama mfu vibudu kutoka uarabun
 
Wewe mpumbavu kwahiyo kama wewe ni sheikh ubwabwa watu wasiseme

Mbona Samia leo kasema ukweli wote kuwa nyie huwa mnagombania nyama mfu vibudu kutoka uarabun
Mpumbavu ni mamako ***** wewe,ukishaliwa kalio huko unaanza kushobokea wanaume hovyo hapa sio? Nitakutafuna mpaka ushindwe kutembea ***** wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…