Ushauri wa Askofu Dullu kwa wastaafu serikalini kukubali kustaafu, mkafanye biashara na kulipa kodi kihalali, mmeupokeaje?

Unauma na kupuliza kama panya sio!
 
YAS 5G CPE UNLIMITED ROUTERπŸ›œπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Lipia Tshs. 250,000/=
(Lipa kwenda Yas Business)βœ…οΈ
Sisi Hatupokei pesa yako mteja❌️

Pata 5G Router + Offer mwezi 1 Matumizi Bila.
kikomo BURE

Kisha Endelea kwa kuanzia 70,000/= kila mwezi

Baada ya kumaliza mwezi wako wa kwanza wa Offa ya BURE BILA KIKOMO!


Karibuni, Pia tunazo hizi:-
βœ”οΈ Vodacom @ Tshs 240,000/=

βœ”οΈ Airtel @ Tshs 110,000/=
(AIRTEL ni 5G ODU za kufunga/FixedπŸ“‘)


Cc: MOSRI TELEMATICS
"Local Insight, Global Tech"
☎️+255717245161
πŸ“DODOMA MJINI

 
Hakuna mwenye tatizo na uchoko wako,wewe gawa tu hilo tundu mpaka uzae
Umeishiwa sasa mtoto wa kiislamu

Hii pumzi niliyokupelekea ni ya moto sana

Ushauli wangu tafuta kazi ufanye acha kutegemea kuuza hicho kinyeo chako
 
Umeishiwa sasa mtoto wa kiislamu

Hii pumzi niliyokupelekea ni ya moto sana

Ushauli wangu tafuta kazi ufanye acha kutegemea kuuza hicho kinyeo chako
Wewe ***** huna uwezo wa kujibizana na mimi,hii nguvu ungeitumia kukomaa na mamako ili akuonyeshe mzazi wako wa kiume.
 
Ndio,

Mungu ndio huwa anakuwa anaongea KUPITIA vinywa vya watumishi wake.

Umeelewa?
Mungu ndio anawaambia RC wawe wanapigia debe mtu wao yule kibaraka na kuchukia wa dini nyingine? πŸ˜‚

Mungu wa hivyo ni wa hovyo maana Yuko biased.

Kichaka Cha Mungu kinatumika kufichia ego 🀣🀣
 
Sahihi
 
Poor You.
I
Mapadre na maaskofu katoliki hawatoi sadaka kanisani tofauti na makanisa mengine ambayo mapadre na wachungaji hutoa sadaka wakipata pamoja na kujitoa maisha yao yote kuwa mapadre na wachungaji wa makanisa tu

Matqpeli wakubwa wao wanapokea mishahara na posho nono halafu wanaacha maskini watoa sadaka shilingi mia au hamsini ndio watoe wao kazi yao kupokea hizo sadaka tu chombo cha sadaka marufuku kwenda kwa padre au askofu kwenye misa

Huo utapeli wa mchana kweupe

Halafu ooh wanajitia ooh tunaombea haki

Je ni haki lofa atoe sadaka mia au hamsini na kumuacha padre mpata pesa nyingi asitoe sadaka? Chombo cha kukusanya sadaka kisiende kwake

Hawa mapadre na maaskofu akiwemo Dallu hawana hata haya au mshipa wa aibu looo
 
Mungu ndio anawaambia RC wawe wanapigia debe mtu wao yule kibaraka na kuchukia wa dini nyingine? πŸ˜‚

Mungu wa hivyo ni wa hovyo maana Yuko biased.

Kichaka Cha Mungu kinatumika kufichia ego 🀣🀣
Mungu ni mmoja tu,

Hana dini wala chama,

Ni wa wote, anakemea UOVU, utekaji,dhulma, wizi wa kura,kufanya ubadhilifu wa Kodi za wananchi.
 
Kwani Rais naye si anasubiri kodi l? Waziri si anasubiri kodi,Mbunge si anasubiri kodi? Nadhani usichojua ni kuwa askofu wa katoliki ni kiongozi sio bwana fedha.
Katoe swadaka ww watu waleee
 
Lakini Yeye maisha yake yanasubiri swadaka za kondoo walopotea
Nilimwangalia alipokua anashaur kwa chuki iliyomjaa kwenye nafsi sura imebadilika kama mbogo mwanbieni ashauri kondoo wake wastafu wengine ni waislamu hawahitaji ushaur wake maana hao anaowa tagrt wakianza biashara atapanda tena madhabahuni awanadi kama wakwepa kodi na biashara zao hazigushw mbona yy anasubr visadaka vya waliokwapua mali za uma
 
Kamwe hawawezi kuthubutu Sio Tz pekee bali Dunia yote!
 
Mtu unastaafu U- IGP unaenda kuwa mkuu wa Mkoa.Hizi ni njaa ama nini?Mtu nusuru upitishwe kwenye kinyang'anyiro cha Urais, umekuwa prominent, umri umeenda..ghafla unakuwa katibu mkuu wa CCM.
Wasomi na watu wa serikalini wataendelea kuwa watumwa milele..- Nyie watu do something kwa manufaa ya hili taifa, sio kula kodi za wanyonge, na nyinyi tengenezeni njia za kuzalisha kodi na ajira,
 
Aache udini sijawahi mtumishi wa mungu akihubiri chuki na majungu kweli anaowasalisha wamepotea unaongozwaje na askofu ana chuki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…