Ushauri wa biashara: Duka la rasta, stationery na duka la dawa muhimu

cold water

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2021
Posts
238
Reaction score
954
Naomba kunishauri, biashara gani kati ya hizo haina complication Nahitaji kufungua biashara, akili yangu inawaza biashara tatu lakini moja tu ndo inabidi nichague kati ya hizo.
 
Duka la dawa naona yanafungwa fungwa na wahudum kusumbua though mwenyewe Nina addo ila ni muajiliwa.nawaza sana juu ya wahudum alafu sometime wana mtindo wa kuweka dawa zao kisiri siri huku zako zikisimama,akija mteja anauza zake kwani.
Ni biashara ipi ambayo hilo halifanyiki?
Weka kamera au fungua genge maana halina stress na faida yake ni kubwa kuliko duka
 
Nimefanya biashara ya DLDM kwa muda mrefu . Ukipata location nzuri inalipa sana
 
"biashara yako lazima iwe na kiasili cha kiroho"

umemaanisha nini hapa mkongwe
 
Nina uzoef na duka la dawa coz ninalo linalipa km tu ukikaa mwenyewe Au utae muweka awe mwaminifu kidg ,

Kupigwa kupo na hakukosek

Bt fany biashara ambayo una ijua Yan upo kweny hyo fun kidogo inakuwa rahc km ur not medical personal itasumbua Kidg coz hujui lolote
Ila km n medical yes itakuwa rahc

Pia unaweza ucwe medical Ila ukakaaa dukan Mda wote na ukaajir medical inawezakan ww ukawa unapokea pesa tuu yes inawezekana

Note : unahitaj experience kidg Au Kishikwa mkono na mtu alie kwenye hyo fun il Kukujuza wap dawa znapatkan kwa bei rahic, unapata wap flam, maeneo gan mazur ya kibiashara na mengneyo meng

Ila inalipa
 
Thanks
 
Naomba kunishauri, biashara gani kati ya hizo haina complication Nahitaji kufungua biashara, akili yangu inawaza biashara tatu lakini moja tu ndo inabidi nichague kati ya hizo.
iyo ya stationery iko kichwani mwangu snce 2019 naamini ipo sku ntafungua kwa uwezo wa Mungu
 
Back
Top Bottom