mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Fundi ujenzi inafaa uuze duka la cement,nondo,mbao yaani building materials hardware kwa sababu ni vitu una uzoefu navyo huwezi kuibiwa wala kudanganywa.Location tuu? what about profession, let's say me fundi ujenzi then nifungue duka la dawa nitatoboa?
Na pia utakuwa na uwezo mkubwa wa kuwashauri wateja wako