M mbu wa dengue JF-Expert Member Joined Jun 2, 2014 Posts 8,860 Reaction score 11,554 Jul 15, 2022 #21 Ben Zen Tarot said: Location tuu? what about profession, let's say me fundi ujenzi then nifungue duka la dawa nitatoboa? Click to expand... Fundi ujenzi inafaa uuze duka la cement,nondo,mbao yaani building materials hardware kwa sababu ni vitu una uzoefu navyo huwezi kuibiwa wala kudanganywa. Na pia utakuwa na uwezo mkubwa wa kuwashauri wateja wako
Ben Zen Tarot said: Location tuu? what about profession, let's say me fundi ujenzi then nifungue duka la dawa nitatoboa? Click to expand... Fundi ujenzi inafaa uuze duka la cement,nondo,mbao yaani building materials hardware kwa sababu ni vitu una uzoefu navyo huwezi kuibiwa wala kudanganywa. Na pia utakuwa na uwezo mkubwa wa kuwashauri wateja wako