Ameli Mligo
Member
- Apr 18, 2018
- 28
- 16
Ok mtaji ni 30 millionDaladala unalipwa malipo kulingana na age ya daladala. Ile coaster Toyota kama umeinunua used direct toka Japan au China inatofautiana kulingana na ile ambayo umeinunua kwa mtu hapa Bongo.
Eacher bei inapanda kulingana na ukubwa wake haiwi sawia na Coaster. Tuanze kwanza na hapa ; Mtaji wako Shilingi ngapi?
Ok mtaji ni 30million
Na Hawa ndio watakaotegemea kula kutokana na Daladala lako,Habari wana jamii forum naomba mnijuze kwa anayejua mradi wa daladala dar unavyoendeshwa kwa maswali yafuatayo
- Gharama ya ununuzi wa daladala
- malipo kwa dereva na kondakta
- malipo kwa mmiliki wa daladala
Kwa hiyo unataka kumwambia nini sasaNa Hawa ndio watakaotegemea kula kutokana na Daladala lako,
1) Wewe
2) Dereva
3) Konda
4) Deiwaka wa Dereva
5) Deiwaka wa Konda
6) Mpiga Debe/Teja
7) Fundi Gereji
8) SUMATRA
9) Trafiki
10) Wenye Stand
11) Watu wa Parking linakolala gari
12) Waosha Magari
13) Waziba Pancha
14) Wauza Chenji
e.t.c
Mkuu umewahi fuga kuku wa kisasa au unawachukia tuu????Hiyo Ni Biashara ya kutafuta Msongo wa Mawazo
Biashara hiyo ya Daladala Na kufuga kuku wa Kisasa ndio Biashara kichaa zaid
Kuna mijitu mingine inashout out tu ili mradi kuonyesha jinsi walivyo weupe kichwani kwenye ishu kama hizi. Kama hii biashara isingekuwa na faida ingefanyika hapa duniani au Tanzania? Je wote wanaofanya hii biashara wanapata hasara au wanapenda sana kupata hasara? Ni biashara gani ambayo haina changamoto ya kupata hasara japo hata mara moja?Kama unabalance Tafuta eneo ukalime unaweza ambulia hata vijiseenti sio hio biashara
Sasa nini umeandika we shoga mzoefu.. Sasa si nimetoa mawazo yangu au ulitaka wote tuseme nenda kafanye hii ni biashara nzuri sana wakati kiuhalisia sio kama vile watu wanavofikiri kuwa. Infact huna credential kabisa za kunijibu mimi hasa ikija kwenye hii biashara.Kuna mijitu mingine inashout out tu ili mradi kuonyesha jinsi walivyo weupe kichwani kwenye ishu kama hizi. Kama hii biashara isingekuwa na faida ingefanyika hapa duniani au tanzania? Je wote wanaofanya hii biashara wanapata hasara au wanapenda sana kupta hasara? Ni biashara gani ambayo haina changamoto ya kupata hasara japo hata mara moja?
Kama huna uelewa wa jambo fulani ni bora tu ukakubali kuelemishwa kuliko kuonyesha u-hovyo wako wa kufikiria kuhusu hii biashara. Na mwisho siyo kila biashara ni kwa kila mtu, ndio maana kila mtu anachagua biashara anayoipenda na anayoiweza kuifanya. Hakuna biashara rahisi hapa duniani!
So what?Na Hawa ndio watakaotegemea kula kutokana na Daladala lako,
1) Wewe
2) Dereva
3) Konda
4) Deiwaka wa Dereva
5) Deiwaka wa Konda
6) Mpiga Debe/Teja
7) Fundi Gereji
8) SUMATRA
9) Trafiki
10) Wenye Stand
11) Watu wa Parking linakolala gari
12) Waosha Magari
13) Waziba Pancha
14) Wauza Chenji
e.t.c
Hata majibu yako tu yanaonyesha we bado mtoto wa mama. Bado unakula kwa kengele! Kwa hiyo hicho kilimo unachomsahauri akafanye ndio rahisi sana na hakina hasara kuliko biashara ya daladala?Sasa nn umeandika we shoga mzoefu..sasa si nimetoa mawazo yangu au ulitaka wote tuseme nenda kafanye hii ni biashara nzuri sana wakati kiuhalisia sio kama vile watu wanavofikiri kuwa. Infact huna credential kabisa za kunijibu mimi hasa ikija kwenye hii biashara. Wengi wenu mnapenda kusikia mambo mazuri tu hasa nyie mlozoea kulishwa na wanaume. Fala kweli wewe nina uzoefu kwenye hii biashara 10 years na niliacha na watu wengi wanaingia na kutoka. Sasa wewe sijui umetokea wapi..pathetic
Tumia akili kaka wakati unareplyNa Hawa ndio watakaotegemea kula kutokana na Daladala lako,
1) Wewe
2) Dereva
3) Konda
4) Deiwaka wa Dereva
5) Deiwaka wa Konda
6) Mpiga Debe/Teja
7) Fundi Gereji
8) SUMATRA
9) Trafiki
10) Wenye Stand
11) Watu wa Parking linakolala gari
12) Waosha Magari
13) Waziba Pancha
14) Wauza Chenji
e.t.c
Hivi ni biashara gani utaiendesha pekee yako bila kuwa na watu wengine na hizo zingine ni expenses zipo kila mahaliNa Hawa ndio watakaotegemea kula kutokana na Daladala lako,
1) Wewe
2) Dereva
3) Konda
4) Deiwaka wa Dereva
5) Deiwaka wa Konda
6) Mpiga Debe/Teja
7) Fundi Gereji
8) SUMATRA
9) Trafiki
10) Wenye Stand
11) Watu wa Parking linakolala gari
12) Waosha Magari
13) Waziba Pancha
14) Wauza Chenji
e.t.c