Ameli Mligo
Member
- Apr 18, 2018
- 28
- 16
Habari wana JamiiForums, naomba mnijuze kwa anayejua mradi wa daladala Dar unavyoendeshwa kwa maswali yafuatayo
- Gharama ya ununuzi wa daladala
- Malipo kwa dereva na kondakta
- Malipo kwa mmiliki wa daladala