Ushauri wa biashara ya daladala (Mwanza, Mbeya, Dodoma, Arusha, Tanga, Dar)

Ushauri wa biashara ya daladala (Mwanza, Mbeya, Dodoma, Arusha, Tanga, Dar)

Ameli Mligo

Member
Joined
Apr 18, 2018
Posts
28
Reaction score
16
Habari wana JamiiForums, naomba mnijuze kwa anayejua mradi wa daladala Dar unavyoendeshwa kwa maswali yafuatayo
  • Gharama ya ununuzi wa daladala
  • Malipo kwa dereva na kondakta
  • Malipo kwa mmiliki wa daladala
 
WE MPE DEVERA GARI SUBIRI HESABU JIONI MAPATO NI KULINGANA NA UKUBWA WA DALADALA YAKO NA RUTI
DEREVA YA KONDA WANALIPANA WENYEWE
 
Daladala unalipwa malipo kulingana na age ya daladala. Ile coaster Toyota kama umeinunua used direct toka Japan au China inatofautiana kulingana na ile ambayo umeinunua kwa mtu hapa Bongo.

Eacher bei inapanda kulingana na ukubwa wake haiwi sawia na Coaster. Tuanze kwanza na hapa; Mtaji wako Shilingi ngapi?
 
Daladala unalipwa malipo kulingana na age ya daladala. Ile coaster Toyota kama umeinunua used direct toka Japan au China inatofautiana kulingana na ile ambayo umeinunua kwa mtu hapa Bongo.
Eacher bei inapanda kulingana na ukubwa wake haiwi sawia na Coaster. Tuanze kwanza na hapa ; Mtaji wako Shilingi ngapi?
Ok mtaji ni 30 million
 
Hapo unapata NISSAN civilian zilizotumika bongo 2 au Toyota coaster moja na chenji inarudi.
Au agiza Haice ipige kando ya mji. Ukitaka hiace used nicheki.

Hiace kwa siku 45, kuna best yangu anaziuza 2 anataka aongeze pesa anunue coaster.

Coaster Toyota kwa siku 70 hivi inategemea hali yake, eacher 12 na kuendelea inategemeana na hali yake.
Ok mtaji ni 30million
 
Mkuuu akili za kupewa changanya na zako then upate jibu anza biashara achana na negativity za watu wewe ndio utakae ona huko ndani kama inafaaa au laaa ila wazo langu anza biashara mkuu kama ndio umeona iko mbele yako usisite agiza gari kali kama ni coaster au hecha sijui ndio ivo piga mzigo
 
Hakikisha unapata gari mpya na pia hesabu usiile yote hakikisha unakuwa na balance ya kutosha maana gari muda wowote kifaa kinakufa
 
Habari wana jamii forum naomba mnijuze kwa anayejua mradi wa daladala dar unavyoendeshwa kwa maswali yafuatayo
- Gharama ya ununuzi wa daladala
- malipo kwa dereva na kondakta
- malipo kwa mmiliki wa daladala
Na Hawa ndio watakaotegemea kula kutokana na Daladala lako,
1) Wewe
2) Dereva
3) Konda
4) Deiwaka wa Dereva
5) Deiwaka wa Konda
6) Mpiga Debe/Teja
7) Fundi Gereji
8) SUMATRA
9) Trafiki
10) Wenye Stand
11) Watu wa Parking linakolala gari
12) Waosha Magari
13) Waziba Pancha
14) Wauza Chenji
e.t.c
 
Na Hawa ndio watakaotegemea kula kutokana na Daladala lako,
1) Wewe
2) Dereva
3) Konda
4) Deiwaka wa Dereva
5) Deiwaka wa Konda
6) Mpiga Debe/Teja
7) Fundi Gereji
8) SUMATRA
9) Trafiki
10) Wenye Stand
11) Watu wa Parking linakolala gari
12) Waosha Magari
13) Waziba Pancha
14) Wauza Chenji
e.t.c
Kwa hiyo unataka kumwambia nini sasa
 
Mkuu wekeza katika biashara hiyo kikubwa uwe na uwezo wa kusimamia chombo chako kikitoka kazini hakikisha kiko home ama panapolazwa magari, mfano una civilian ambayo ndio bei nafuu ukilinganisha na coaster, sasa unaweza tumia 45-50mil pia bei ya chini ya hapo unaweza kupata toka hapo Japani, ka huna hela hiyo unaweza tega za watu wanazouza kikubwa ni kuangalia imetumika muda gani hapa na ina hali gani.

Hesabu kwa upande wa daladala kwa Dar ni kuanzia 100,000 kwa siku hapo dereva na konda washajipigia vyao ila hela inaweza panda kutokana na njia, kushuka si rahisi maana njia mpya huwezi pewa kwasasa,
ukiitunza vizuri inaweza kukurudishia hela yako ndani ya miaka miwili tuu na faida katika miaka hiyo miwili.
so niwewe sasa kwenda mtaani na kutaka kujua zaidi kuhusu biashara hii

Changamoto za biashara hii ni nyingi ka zilivyo kwa nyingine
  • Usimamizi ndo jambo kubwa kuliko
  • Service ni muhimu sana
  • Mafuta mazuri toka sheli si yale ya videbe
  • Oil ya kulainishia mashine nzuroi achana na za kupiga ambazo zimeshachanganywa na vitu vingine

ANGALIZO
Coaster ni nzuri kuliko Civilian
 
Kama unabalance Tafuta eneo ukalime unaweza ambulia hata vijiseenti sio hio biashara
Kuna mijitu mingine inashout out tu ili mradi kuonyesha jinsi walivyo weupe kichwani kwenye ishu kama hizi. Kama hii biashara isingekuwa na faida ingefanyika hapa duniani au Tanzania? Je wote wanaofanya hii biashara wanapata hasara au wanapenda sana kupata hasara? Ni biashara gani ambayo haina changamoto ya kupata hasara japo hata mara moja?

Kama huna uelewa wa jambo fulani ni bora tu ukakubali kuelemishwa kuliko kuonyesha u-hovyo wako wa kufikiria kuhusu hii biashara. Na mwisho siyo kila biashara ni kwa kila mtu, ndio maana kila mtu anachagua biashara anayoipenda na anayoiweza kuifanya. Hakuna biashara rahisi hapa duniani!
 
Kuna mijitu mingine inashout out tu ili mradi kuonyesha jinsi walivyo weupe kichwani kwenye ishu kama hizi. Kama hii biashara isingekuwa na faida ingefanyika hapa duniani au tanzania? Je wote wanaofanya hii biashara wanapata hasara au wanapenda sana kupta hasara? Ni biashara gani ambayo haina changamoto ya kupata hasara japo hata mara moja?

Kama huna uelewa wa jambo fulani ni bora tu ukakubali kuelemishwa kuliko kuonyesha u-hovyo wako wa kufikiria kuhusu hii biashara. Na mwisho siyo kila biashara ni kwa kila mtu, ndio maana kila mtu anachagua biashara anayoipenda na anayoiweza kuifanya. Hakuna biashara rahisi hapa duniani!
Sasa nini umeandika we shoga mzoefu.. Sasa si nimetoa mawazo yangu au ulitaka wote tuseme nenda kafanye hii ni biashara nzuri sana wakati kiuhalisia sio kama vile watu wanavofikiri kuwa. Infact huna credential kabisa za kunijibu mimi hasa ikija kwenye hii biashara.

Wengi wenu mnapenda kusikia mambo mazuri tu hasa nyie mlozoea kulishwa na wanaume. Fala kweli wewe nina uzoefu kwenye hii biashara 10 years na niliacha na watu wengi wanaingia na kutoka. Sasa wewe sijui umetokea wapi..pathetic
 
Na Hawa ndio watakaotegemea kula kutokana na Daladala lako,
1) Wewe
2) Dereva
3) Konda
4) Deiwaka wa Dereva
5) Deiwaka wa Konda
6) Mpiga Debe/Teja
7) Fundi Gereji
8) SUMATRA
9) Trafiki
10) Wenye Stand
11) Watu wa Parking linakolala gari
12) Waosha Magari
13) Waziba Pancha
14) Wauza Chenji
e.t.c
So what?
 
Sasa nn umeandika we shoga mzoefu..sasa si nimetoa mawazo yangu au ulitaka wote tuseme nenda kafanye hii ni biashara nzuri sana wakati kiuhalisia sio kama vile watu wanavofikiri kuwa. Infact huna credential kabisa za kunijibu mimi hasa ikija kwenye hii biashara. Wengi wenu mnapenda kusikia mambo mazuri tu hasa nyie mlozoea kulishwa na wanaume. Fala kweli wewe nina uzoefu kwenye hii biashara 10 years na niliacha na watu wengi wanaingia na kutoka. Sasa wewe sijui umetokea wapi..pathetic
Hata majibu yako tu yanaonyesha we bado mtoto wa mama. Bado unakula kwa kengele! Kwa hiyo hicho kilimo unachomsahauri akafanye ndio rahisi sana na hakina hasara kuliko biashara ya daladala?
 
Na Hawa ndio watakaotegemea kula kutokana na Daladala lako,
1) Wewe
2) Dereva
3) Konda
4) Deiwaka wa Dereva
5) Deiwaka wa Konda
6) Mpiga Debe/Teja
7) Fundi Gereji
8) SUMATRA
9) Trafiki
10) Wenye Stand
11) Watu wa Parking linakolala gari
12) Waosha Magari
13) Waziba Pancha
14) Wauza Chenji
e.t.c
Tumia akili kaka wakati unareply
 
Na Hawa ndio watakaotegemea kula kutokana na Daladala lako,
1) Wewe
2) Dereva
3) Konda
4) Deiwaka wa Dereva
5) Deiwaka wa Konda
6) Mpiga Debe/Teja
7) Fundi Gereji
8) SUMATRA
9) Trafiki
10) Wenye Stand
11) Watu wa Parking linakolala gari
12) Waosha Magari
13) Waziba Pancha
14) Wauza Chenji
e.t.c
Hivi ni biashara gani utaiendesha pekee yako bila kuwa na watu wengine na hizo zingine ni expenses zipo kila mahali
 
Back
Top Bottom