Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daaah Mungu anakuona ujueMi nikisha toa ushauri sku nyingi kuwa jama abadilike
Kumfananisha domo na kiba bas ni sawa na kumfananisha Samatta na Kichuya.
Anastahili tunzo za kimataifa kwa mwaka 2015/2016 amefanya kazi nzuri sana..na kazi nzuri anazozifanya mwishoni mwa mwaka huu zitampa tunzo nyingi mwakani 2017Kweli kabisa vmoney yuko juu na huko coke studio anakiwasha ni hatari
Anastahili tunzo za kimataifa kwa mwaka 2015/2016 amefanya kazi nzuri sana..na kazi nzuri anazozifanya mwishoni mwa mwaka huu zitampa tunzo nyingi mwakani 2017
I lov VeeMoney[emoji170]
anaendelea kukosa tuzo/ showUshauri ni mzuri.
Sema sasa mafahari wawili hawawezi kukaa zizi moja.
Vmoney still yupo juu na anaendelea kufanya vizuri zaidi kwa Africa.
HahahaAhahaaaa ndio nilienda marekani kuhakikisha hakuna figisu figisu za backstage [emoji28] [emoji28]
Nipo around sema labda tunapishana majukwaa. Kibakuli kila siku wa kulalamika yeye tu mpk team alishushwa wengine washaanza kumkimbia.Hahaha
Mi nakuaminia nilijua ukienda mambo yatakaa poa.
Niwe mkweli kuwa nilikumiss.
Ila sasa naskia wanavo taka kutangaza tuzo ya kiba mkazima mic hahaha!
vee money hana jipya sasa hiviPole bhana jana alikosa, ila nahis v money pale ndo kafika mwisho hana pa kuelekea zaid (samahan lakin)
Hiz bangi ulizofuta usrudie tena maaana ukirudia tena utakuja kuandika na mazaako huko ukimshaur,,,,
Mi nilisha toa ushauri sku nyingi kuwa jama abadilike
Kumfananisha domo na kiba bas ni sawa na kumfananisha Samatta na Kichuya.
Nipo around sema labda tunapishana majukwaa. Kibakuli kila siku wa kulalamika yeye tu mpk team alishushwa wengine washaanza kumkimbia.
Btw miss u too
Apo ndipo napo wapendaga WABONGO wanajichetua kama sio wao vileThanks
Hahaha, mwezi huu haujakuwa .mzuri kwake kabsa, na kweli wame mkimbia naona wako kimyaa sana hata humu.
sawa umesomeka mkuuKwanza, Niseme mimi kuwa nimekuwa team kiba siku zote, Napenda mziki wake japo his ways of life hazinifurahishi Sana (Kama shabiki wake). Kuna mambo ambayo anapaswa kujirekebisha,hilo sikatai,LAKINI kusema ajiunge wcb ili Eti mziki wake upae ni dhihaka, na dharau,.kwanini anasema Hivyo, madhaifu Kidogo aliyonayo alikiba yanarekebishika,na pia ni mwanamuziki Mzuri tena sana,, kuingia wcb hakutamuongezea chochote zaidi Sana itaonekana diamond ndio mwanamuziki pekee Tanzania kitu ambacho si kweli hata Kidogo,,. Diamond anajua namna ya kujipenyeza kimataifa yes, Lakini hiyo haitamshinda alikiba kama akijikague,ajifanyie tathmini,na aamue kweli kufanya mziki,awe aware kuwa kwenye soko la mziki kuna ushindani mkubwa tena sana. Ninachoweza kukiri ni kuwa,alikiba ana kipaji kikubwa tuu, sincerely speaking this guy knows how to compose songs, to sing Lakini amekuwa mgumu wa kupokea constructive criticism,hii ni hatari,,
Si lazima kukiri wazi kuwa amejirekebisha, tunataka tuone impacts Za ushauri anaopewa.
Binafsi huwa naona kama alikiba hatujali Sisi mashabiki wake kwa jinsi tunavyomjali,kura tunampigia, kwenye mitandao mbalimbali tunampigia debe Kama mashabiki wengine wafanyavyo kwa wasanii wanaowashabikia Lakini kiba huwa hajali Sana ushauri wetu, naweza Sema kuwa Yuko conservative!(anashikilia mtindo wA zamani wa maisha na wa uendeshaji mambo kwa ujumla)
Kuhusu sisi mashabiki kuogopa kumwambia ukweli,iko hivi, kwenye social media ni ngumu kumkosoa mtu unayekubali kazi zake waziwazi kwani mashabiki wa wcb watatumia Kama mwanya kutudhoofisha! Dats true.
Leo nimejiskia vibaya Kwani msanii wangu amekosa tuzo,lakin hii imenipa mwamko wa kuvote kwa tuzo zijazo,
Alikiba jifunze namna ya kuwasiliana na watu bila wao kukuona Kama Una Kibri,au Una bifu,pia ukiwa unahojiwa relax, be happy, mfanye anaeku-interview ajiskie comfortable na siyo unamkazia bila sababu (facial expression yako inabidi Iwe welcoming, siyo unakaza Mpaka anaekuhoji anaishiwa pozi). Unaweza fikiri ni sifa kumkazia mtu anaekufanyia interview , au kuona kama umemkomesha anaekuinterview(hapa Ndio u-conservative unaingia) Lakini Kumbe wewe ndio unapata hasara.
Samahanini kwa post ndefu.alikiba chukua hii Hatakama siyo ushauri wote,itakusaidia kwa sehemu. Thanks. Aluta continua
ha ha ha duuuuh kwa hiyo kiba ni killazzaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Toka alivyosema meneja wa dai kamzimia mic, na interview ya meneja wa dai alichoongea sina iman na kiba kwenye mambo yake, anaonekana haja komaa na anao kaa nao amewazidi kimaneno na sio fikra, vanesa nae kaongea the same thing kama sallem. KIBA NI MCHOCHEZI WA BIFU KATI YAKE NA DAI na pengine anatumia mgongo huo ili na yee atajwe tajwe.
Kwenye interview na salama , akiwa mikasi salama aliondoka baada ya kuona upeo wake upo chini.
HahahaApo ndipo napo wapendaga WABONGO wanajichetua kama sio wao vile