pumzihaiuzwi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2015
- 3,273
- 3,083
Aende wcb mwanga huyo atatuvurugia buree ye kutwa anawaza ushirikina na kufanyiwa figisu wenzie wanawaza kupiga kazi kufikia level za mbefele uko aishie huko huko mchangani asije WCB palace
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha ha duuuhAende wcb mwanga huyo atatuvurugia buree ye kutwa anawaza ushirikina na kufanyiwa figisu wenzie wanawaza kupiga kazi kufikia level za mbefele uko aishie huko huko mchangani asije WCB palace
Wenyewe wanasema "If U cant beat them,join them" Kibakuli bhanaNapenda kumpa ushauri mdogo wangu Ally Salehe Kiba aende akaombe kusainishwa WCB kiroho safi ili akuze mziki wake bila ya hivyo natabiri baada ya miaka miwili ijayo hatoweza tena kumkaribia Diamond level zake bali atakuwa level za Rayvanny na Harmonize
Hawa madogo tangu waingie WCB mafanikio wameyapata mapema sana kulinganishwa na wenzao waliotoka pamoja kama vile Neddy Music na madogo wengine
Hata Rich Mavoko tulikuwa tushamsahau ila tangu aingie WCB show zimekuwa za kucheba na thamani yake imepanda maradufu
Si Mavoko tu hata Khadija Kopa alivyoshirikishwa kwenye wimbo wa Nasema nawe jina lake lilitajwa kwenye tuzo za Afrimma ingawaje hakuweza kuibuka kidedea
Ommy Dimpoz ,Yamoto band ,V money walllivyokuwa karibu na Dai majina yao yaling'aa sana ila tazama sasa ukaribu umepungua wapo wapi?
Huu ni ushauri tu najua utamfikia tu taka asitake akipuuzia shauri zake kwa maana ataenda na maji
Mimi ya kwangu ndio hayo kwa siku ya leo akiweza apokee ushauri wangu akijifanya mjuaji na kichwa ngumu shauri zake ila baadaye asije akasema hakushauriwa.
Aliye juu mpandie hukohuko, haya maneno ya kimasikini ya aliye juu mngoje chini utangoja sana jua lidondoke.... AKASAINI TU APAE KAMA HARMONISE....Acheni ujinga diamond hawezi miliki mziki wa bongo. Akili ndogo haiwezi kuongoza kubwa. Diamond sio mwanamuziki ni mdandiaji chini ya redio fulan inayo tumiwa na kiongoz fulan kuongoza jiji. Kiba vumilia siku zinakuja wasafi itakuwa wachafu....
Ukweli uko wazi,sitaki kuleta uteam, Lakini kwenye hizo tuzo kuna walakin mkubwa!! Nikimfikiria akothee wa Kenya Ndio napigwa butwaa!!!,Ati anamzidi veemoney!?? Vipi Victoria kimani???me nadhani ajifunze kwa nini dai anafanikiwa na yeye afanye nini au mashabiki wanataka nini ili atusue zaidi,
But bado Tuzo za Afrimma hazijakaa sawa,
huwezi sema akothee ni Best Female East Africa kwa sababu Vanessa Music wake toka aanze kutoa anatoboa na show anapata, sasa hebu fuatilia Nyimbo za Vmoney kali sana kwa mfano No body, Niroge, Never zimepigwa sana ktk tv mbalimbali huwezi fananisha na Mwanadada Akothe, So Tuzo za Afrimma kuna sehemu hazijakaa sawa nadhani zimekaa kama Matangazo fulani
Umeona mkuu hamna namna aende tu kiroho safi bila hivyo atazidi kushukaAliye juu mpandie hukohuko, haya maneno ya kimasikini ya aliye juu mngoje chini utangoja sana jua lidondoke.... AKASAINI TU APAE KAMA HARMONISE....
HIVI KIBA ANA WANGAPI ALIOWASABABISHIA KUPATA TUZO..?
Inawezekana mkuuWe nae sjui fala mtu kasainiwa sony halafu aje kusaini WCB sawa na mtu kasainiwa kichezea MAN U halafu unamwambie ili akue kisoka inabidi asainiwe mbao fc ili akue kisoka mawazo finyu kabisa
Sure kabsa ...Diamond akihojiwa kuhusu kibakuli huwa anakuwa very positive
Lakin kibakuli akihojiwa kuhusu diamond lazima ateme shombo
Hio inatosha kujua nani ana busara na hekima
Am glad kuona mashabiki wa kiba wapo ambao ni timamu kabisa! (Mnisamehe kama nimetumia lugha mbaya)Kwanza, Niseme mimi kuwa nimekuwa team kiba siku zote, Napenda mziki wake japo his ways of life hazinifurahishi Sana (Kama shabiki wake). Kuna mambo ambayo anapaswa kujirekebisha,hilo sikatai,LAKINI kusema ajiunge wcb ili Eti mziki wake upae ni dhihaka, na dharau,.kwanini nasema Hivyo:
,:1.madhaifu Kidogo aliyonayo alikiba yanarekebishika,na pia ni mwanamuziki Mzuri tena sana.
:2.kuingia wcb hakutamuongezea chochote zaidi Sana itaonekana diamond ndio mwanamuziki pekee Tanzania kitu ambacho si kweli hata Kidogo,,.
Diamond anajua namna ya kujipenyeza kimataifa yes, Lakini hiyo haitamshinda alikiba kama atakaa chini na kufanya tathmini,na aamue kweli kufanya mziki,awe aware kuwa kwenye soko la mziki kuna ushindani mkubwa tena sana. Ninachoweza kukiri ni kuwa,alikiba ana kipaji kikubwa tuu, sincerely speaking this guy knows how to compose songs, to sing Lakini amekuwa mgumu wa kupokea constructive criticism,hii ni hatari,,
Si lazima kukiri wazi kuwa amejirekebisha, tunataka tuone impacts Za ushauri anaopewa. Binafsi huwa naona kama alikiba hatujali Sisi mashabiki wake kwa jinsi tunavyomjali,kura tunampigia, kwenye mitandao mbalimbali tunampigia debe Kama mashabiki wengine wafanyavyo kwa wasanii wanaowashabikia Lakini kiba huwa hajali Sana ushauri wetu, naweza Sema kuwa Yuko conservative!(anashikilia mtindo wA zamani wa maisha na wa uendeshaji mambo kwa ujumla)
Kuhusu sisi mashabiki kuogopa kumwambia ukweli,iko hivi, kwenye social media ni ngumu kumkosoa mtu unayekubali kazi zake waziwazi kwani mashabiki wa wcb watatumia Kama mwanya kutudhoofisha! Dats true.
Leo nimejiskia vibaya Kwani msanii wangu amekosa tuzo,lakin hii imenipa mwamko wa kuvote kwa tuzo zijazo,
Alikiba jifunze namna ya kuwasiliana na watu (communication skills) bila wao kukuona Kama Una Kibri,au Una bifu,,,pia ukiwa unahojiwa relax, be happy, mfanye anaeku-interview ajiskie comfortable kukuuliza maswali na siyo unamkazia bila sababu (facial expression yako inabidi Iwe welcoming, siyo unakaza Mpaka anaekuhoji anaishiwa pozi),
Jitahidi kujibu maswali karibia yote, na siyo sasa kila kitu ni Siri, Siri Siri, Mpaka yaliyo ya kawaida ni Siri!!! . Unaweza fikiri ni sifa kumkazia mtu anaekufanyia interview , au kuona kama umemkomesha anaekuinterview(hapa Ndio u-conservative unaingia) Lakini Kumbe wewe ndio unapata hasara.
Samahanini kwa post ndefu.alikiba chukua hii Hatakama siyo ushauri wote,itakusaidia kwa sehemu. Thanks. Aluta continua