Thanxsawa umesomeka mkuu
UchocheziSubiria matusi yako.............
Ni sawa na kufanya kazi hulipwi mshahara Halafu unasema Mi ni mkubwa kuliko mshahara...Yeye ni mkubwa zaidi ya tuzo
Kwa mara ya kwanza nakutana na shabiki wa kibakuli mwenye akili..[emoji106]Kwanza, Niseme mimi kuwa nimekuwa team kiba siku zote, Napenda mziki wake japo his ways of life hazinifurahishi Sana (Kama shabiki wake). Kuna mambo ambayo anapaswa kujirekebisha,hilo sikatai,LAKINI kusema ajiunge wcb ili Eti mziki wake upae ni dhihaka, na dharau,.kwanini nasema Hivyo:
,:1.madhaifu Kidogo aliyonayo alikiba yanarekebishika,na pia ni mwanamuziki Mzuri tena sana.
:2.kuingia wcb hakutamuongezea chochote zaidi Sana itaonekana diamond ndio mwanamuziki pekee Tanzania kitu ambacho si kweli hata Kidogo,,.Diamond anajua namna ya kujipenyeza kimataifa yes, Lakini hiyo haitamshinda alikiba kama atakaa chini na kufanya tathmini,na aamue kweli kufanya mziki,awe aware kuwa kwenye soko la mziki kuna ushindani mkubwa tena sana. Ninachoweza kukiri ni kuwa,alikiba ana kipaji kikubwa tuu, sincerely speaking this guy knows how to compose songs, to sing Lakini amekuwa mgumu wa kupokea constructive criticism,hii ni hatari,,
Si lazima kukiri wazi kuwa amejirekebisha, tunataka tuone impacts Za ushauri anaopewa.
Binafsi huwa naona kama alikiba hatujali Sisi mashabiki wake kwa jinsi tunavyomjali,kura tunampigia, kwenye mitandao mbalimbali tunampigia debe Kama mashabiki wengine wafanyavyo kwa wasanii wanaowashabikia Lakini kiba huwa hajali Sana ushauri wetu, naweza Sema kuwa Yuko conservative!(anashikilia mtindo wA zamani wa maisha na wa uendeshaji mambo kwa ujumla)
Kuhusu sisi mashabiki kuogopa kumwambia ukweli,iko hivi, kwenye social media ni ngumu kumkosoa mtu unayekubali kazi zake waziwazi kwani mashabiki wa wcb watatumia Kama mwanya kutudhoofisha! Dats true.
Leo nimejiskia vibaya Kwani msanii wangu amekosa tuzo,lakin hii imenipa mwamko wa kuvote kwa tuzo zijazo,
Alikiba jifunze namna ya kuwasiliana na watu (communication skills) bila wao kukuona Kama Una Kibri,au Una bifu,,,pia ukiwa unahojiwa relax, be happy, mfanye anaeku-interview ajiskie comfortable kukuuliza maswali na siyo unamkazia bila sababu (facial expression yako inabidi Iwe welcoming, siyo unakaza Mpaka anaekuhoji anaishiwa pozi),
Jitahidi kujibu maswali karibia yote, na siyo sasa kila kitu ni Siri, Siri Siri, Mpaka yaliyo ya kawaida ni Siri!!! . Unaweza fikiri ni sifa kumkazia mtu anaekufanyia interview , au kuona kama umemkomesha anaekuinterview(hapa Ndio u-conservative unaingia) Lakini Kumbe wewe ndio unapata hasara.
Samahanini kwa post ndefu.alikiba chukua hii Hatakama siyo ushauri wote,itakusaidia kwa sehemu. Thanks. Aluta continua
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]vee money hana jipya sasa hivi
amekua kama alisaini sonny..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni sawa na kufanya kazi hulipwi mshahara Halafu unasema Mi ni mkubwa kuliko mshahara...
ha ha ha dah ,ila kweli lakini mashabiki wa kibakuli wengi hamnazo wazee wa kukurupuka tu na kutukana ovyoKwa mara ya kwanza nakutana na shabiki wa kibakuli mwenye akili..[emoji106]
yuko wapi?Kichaa mwingine huyu hapa..
Truth said mkuu.Kwa mapovu sasa...hatariiiiiiiiiha ha ha dah ,ila kweli lakini mashabiki wa kibakuli wengi hamnazo wazee wa kukurupuka tu na kutukana ovyo
wanywa viroba hao nishawazoeaTruth said mkuu.Kwa mapovu sasa...hatariiiiiiiii
Hapo kwenye interview umeongea ukweli nilifikiri ni mimi tu huwa namuona hivyo, ni kweli anakuwa amejikaza halafu anakuwa kama ana hasira vile.Kwanza, Niseme mimi kuwa nimekuwa team kiba siku zote, Napenda mziki wake japo his ways of life hazinifurahishi Sana (Kama shabiki wake). Kuna mambo ambayo anapaswa kujirekebisha,hilo sikatai,LAKINI kusema ajiunge wcb ili Eti mziki wake upae ni dhihaka, na dharau,.kwanini nasema Hivyo:
,:1.madhaifu Kidogo aliyonayo alikiba yanarekebishika,na pia ni mwanamuziki Mzuri tena sana.
:2.kuingia wcb hakutamuongezea chochote zaidi Sana itaonekana diamond ndio mwanamuziki pekee Tanzania kitu ambacho si kweli hata Kidogo,,.Diamond anajua namna ya kujipenyeza kimataifa yes, Lakini hiyo haitamshinda alikiba kama atakaa chini na kufanya tathmini,na aamue kweli kufanya mziki,awe aware kuwa kwenye soko la mziki kuna ushindani mkubwa tena sana. Ninachoweza kukiri ni kuwa,alikiba ana kipaji kikubwa tuu, sincerely speaking this guy knows how to compose songs, to sing Lakini amekuwa mgumu wa kupokea constructive criticism,hii ni hatari,,
Si lazima kukiri wazi kuwa amejirekebisha, tunataka tuone impacts Za ushauri anaopewa.
Binafsi huwa naona kama alikiba hatujali Sisi mashabiki wake kwa jinsi tunavyomjali,kura tunampigia, kwenye mitandao mbalimbali tunampigia debe Kama mashabiki wengine wafanyavyo kwa wasanii wanaowashabikia Lakini kiba huwa hajali Sana ushauri wetu, naweza Sema kuwa Yuko conservative!(anashikilia mtindo wA zamani wa maisha na wa uendeshaji mambo kwa ujumla)
Kuhusu sisi mashabiki kuogopa kumwambia ukweli,iko hivi, kwenye social media ni ngumu kumkosoa mtu unayekubali kazi zake waziwazi kwani mashabiki wa wcb watatumia Kama mwanya kutudhoofisha! Dats true.
Leo nimejiskia vibaya Kwani msanii wangu amekosa tuzo,lakin hii imenipa mwamko wa kuvote kwa tuzo zijazo,
Alikiba jifunze namna ya kuwasiliana na watu (communication skills) bila wao kukuona Kama Una Kibri,au Una bifu,,,pia ukiwa unahojiwa relax, be happy, mfanye anaeku-interview ajiskie comfortable kukuuliza maswali na siyo unamkazia bila sababu (facial expression yako inabidi Iwe welcoming, siyo unakaza Mpaka anaekuhoji anaishiwa pozi),
Jitahidi kujibu maswali karibia yote, na siyo sasa kila kitu ni Siri, Siri Siri, Mpaka yaliyo ya kawaida ni Siri!!! . Unaweza fikiri ni sifa kumkazia mtu anaekufanyia interview , au kuona kama umemkomesha anaekuinterview(hapa Ndio u-conservative unaingia) Lakini Kumbe wewe ndio unapata hasara.
Samahanini kwa post ndefu.alikiba chukua hii Hatakama siyo ushauri wote,itakusaidia kwa sehemu. Thanks. Aluta continua
Tuzo ni sehemu ya kipimo cha ukubwa unaousema..Yeye ni mkubwa zaidi ya tuzo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] maanina na anaweza kuwa mwanga kweli maanaaa ana roho km mkaanga sumuAtajiunga endapo atakosa mganga mpya mjini,
jamaa anaendekeza ndumba Sana!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] oya wadau mnaniumiza mbavu huku[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] maanina na anaweza kuwa mwanga kweli maanaaa ana roho km mkaanga sumu
Acheni ujinga diamond hawezi miliki mziki wa bongo. Akili ndogo haiwezi kuongoza kubwa. Diamond sio mwanamuziki ni mdandiaji chini ya redio fulan inayo tumiwa na kiongoz fulan kuongoza jiji. Kiba vumilia siku zinakuja wasafi itakuwa wachafu....Napenda kumpa ushauri mdogo wangu Ally Salehe Kiba aende akaombe kusainishwa WCB kiroho safi ili akuze mziki wake bila ya hivyo natabiri baada ya miaka miwili ijayo hatoweza tena kumkaribia Diamond level zake bali atakuwa level za Rayvanny na Harmonize
Hawa madogo tangu waingie WCB mafanikio wameyapata mapema sana kulinganishwa na wenzao waliotoka pamoja kama vile Neddy Music na madogo wengine
Hata Rich Mavoko tulikuwa tushamsahau ila tangu aingie WCB show zimekuwa za kucheba na thamani yake imepanda maradufu
Si Mavoko tu hata Khadija Kopa alivyoshirikishwa kwenye wimbo wa Nasema nawe jina lake lilitajwa kwenye tuzo za Afrimma ingawaje hakuweza kuibuka kidedea
Ommy Dimpoz ,Yamoto band ,V money walllivyokuwa karibu na Dai majina yao yaling'aa sana ila tazama sasa ukaribu umepungua wapo wapi?
Huu ni ushauri tu najua utamfikia tu taka asitake akipuuzia shauri zake kwa maana ataenda na maji
Mimi ya kwangu ndio hayo kwa siku ya leo akiweza apokee ushauri wangu akijifanya mjuaji na kichwa ngumu shauri zake ila baadaye asije akasema hakushauriwa.