Ushauri wa bure: Ally Kiba nenda ukasainishwe WCB ili mziki wako upae

Wenyewe wanasema "If U cant beat them,join them" Kibakuli bhana
 
Acheni ujinga diamond hawezi miliki mziki wa bongo. Akili ndogo haiwezi kuongoza kubwa. Diamond sio mwanamuziki ni mdandiaji chini ya redio fulan inayo tumiwa na kiongoz fulan kuongoza jiji. Kiba vumilia siku zinakuja wasafi itakuwa wachafu....
Aliye juu mpandie hukohuko, haya maneno ya kimasikini ya aliye juu mngoje chini utangoja sana jua lidondoke.... AKASAINI TU APAE KAMA HARMONISE....

HIVI KIBA ANA WANGAPI ALIOWASABABISHIA KUPATA TUZO..?
 
Ukweli uko wazi,sitaki kuleta uteam, Lakini kwenye hizo tuzo kuna walakin mkubwa!! Nikimfikiria akothee wa Kenya Ndio napigwa butwaa!!!,Ati anamzidi veemoney!?? Vipi Victoria kimani???
 
Aliye juu mpandie hukohuko, haya maneno ya kimasikini ya aliye juu mngoje chini utangoja sana jua lidondoke.... AKASAINI TU APAE KAMA HARMONISE....

HIVI KIBA ANA WANGAPI ALIOWASABABISHIA KUPATA TUZO..?
Umeona mkuu hamna namna aende tu kiroho safi bila hivyo atazidi kushuka
 
Tuzo gani ziko huko marekani wakati chris brown hayupo? Rihana hayupo drake hayupo? Au ni tuzo zinaandaliwa na wabongo?
 
Kweli kichwa cha mwendawazimu....... Hampendani, chuki kila kukicha na majungu tu. Ndo mana hatuendelei... Tutabaki hivi hivi..... Kwa mziki upi huuu mpaka kila mtu akome? [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
We nae sjui fala mtu kasainiwa sony halafu aje kusaini WCB sawa na mtu kasainiwa kichezea MAN U halafu unamwambie ili akue kisoka inabidi asainiwe mbao fc ili akue kisoka mawazo finyu kabisa
Inawezekana mkuu

Ni sawa na kusema " Kichuya nenda Man UTD ukitaka kiwango chako kikue achana na simba imejaa figisu"
 
Diamond akihojiwa kuhusu kibakuli huwa anakuwa very positive
Lakin kibakuli akihojiwa kuhusu diamond lazima ateme shombo
Hio inatosha kujua nani ana busara na hekima
 
Diamond akihojiwa kuhusu kibakuli huwa anakuwa very positive
Lakin kibakuli akihojiwa kuhusu diamond lazima ateme shombo
Hio inatosha kujua nani ana busara na hekima
Sure kabsa ...

Jamaa anajikuta yule mazafanta tu.
 
Am glad kuona mashabiki wa kiba wapo ambao ni timamu kabisa! (Mnisamehe kama nimetumia lugha mbaya)
 
Aje WCB kufanya nini? Abaki huko huko afanye tu mziki mzuri + Aache roho ya kwanini.
Keshokutwa MTVMAMA wanaijeria watakuwa kibao tu ila wabongo hawazidi wa 5. Tulikosea wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…