Ushauri wa bure: CHADEMA iachane na issue ya Wabunge wake 19, iwasamehe waendelee na Ubunge wao. Kwa muda uliobakia kuwatengua hakuna maslahi yoyote!

msiwaongelee tu hao kina dada je waliyotaka kuyafanya chadema chini ya mwenyekiti mbowe yalikuwa sahihi? yaani wawaengue kina mdee halafu mbowe aweke mahawala zake unahonga ubunge ? kina mdee wakashtuka mapema kabisa wakaona kama mbwai na iwe mbwai hakuna mtu kuachia ngazi kisa malaya wa mwenyekiti kalilia ubunge katikati ya tendo n
 
Duh! Mkuu mleta mada, imekuwaje tena leo umekuja na hili, nahisi lilishasahaulika. Kwani nini kimejiri kipya?! 😄
 
Mkuu Allen Kilewella , uteuzi wa ubunge usio na ukomo ni kwa zile nsfasi za wabunge wa kuteuliwa na rais, lakini sio kwa nafasi za viti maalum!. Wakitenguliwa leo, there is no room for Chadema kuteua wengine!
P
 
Mkuu Allen Kilewella , uteuzi wa ubunge usio na ukomo ni kwa zile nsfasi za wabunge wa kuteuliwa na rais, lakini sio kwa nafasi za viti maalum!. Wakitenguliwa leo, there is no room for Chadema kuteua wengine!
P
Ndiyo uelezee hiyo hoja yako unaijenga juu ya Sheria gani iliyoandikwa!?

Maana lazima kuwe na Sheria inayosema uteuzi hautafanyika kufuatana na miezi 12 kabla ya bunge kuvunjwa.
 
Kama ni hivyo na wahafungwa waliopo gerezani nao wasamehewe
Mabilioni waliokula hawa Covid-19 ni zaidi ya mtu aliyefungwa maisha, labda useme walionyongwa na wao warudishiwe uhai, of which is imposible!

Suluhisho: Wananchi wawaombee hawa Covid-19 , hizo fedha walizodhulumu iwe anguko lao na laana kwao mpaka kizazi cha nne kama vitabu vya waarabu na wazungu visemavyo!
 
Duh! Mkuu mleta mada, imekuwaje tena leo umekuja na hili, nahisi lilishasahaulika. Kwani nini kimejiri kipya?! 😄
Mkuu nimekumbuka Marehemu Mchungaji Mtikila alivyoshida shauri mahakamani la mgombea binafsi.Uhuru wa kuwa mbunge bila kupitia chama cha kisiasa. Hata hivyo serikali ilikata rufaa nadhani majibu ya hukumu ndio hayo yanayoruhusu partless representation ya hawa covid-19 ,ukiona bado wapo bungeni ni wazi wameshinda mashtaka kwa hakimu aliyepo.
 
"Hivyo ni bora Chadema iwasamehe, ujikusanyie maokoto yao kwa ule utaratibu wao"! Paskal mbona unawaona Chadema kama vile mataahira! Hasira zako dhidi ya Chadema mbona ziko kimtaani sana hazilingani na mtu anayetamani siku moja awe kama Lakha!
Mimi nilidhani baada ya mahakama kutoa hukumu Chadema walimalizisna nao hapo kwani haina mamlaka kikatiba na kisheria kumuingiza mtu asiye mwanachama wao ndani ya ukumbi wa bunge, kama mahakama ilitamka hao si wanachama wa Chadema, Chadema inahusikaje na wao kuwemo ndani ya bunge!
 
Mimi sikushangaa kwa Paskal kusahau au makusudi kuwa hao hawakupigiwa kura bali waliingizwa bungeni usiku kwa kutumia kinga ya Spika Ndugai.
 
Ila kwa kweli jiwe aliuharibu uchaguzi wa 2020.. Sesilia Pareso mpaka aliwezekana kurubuniwa na vipande vya fedha??
 
Kwani hao bado ni wanachama wa Chadema?
 
We kama siyo chawa, basi we utakuwa kiluwiluwi wa chura. Hivi Chadema ndo wanapanga tarehe na precedence za mahakama? Aliyefanya kesi kuchukua miaka 5 ni mahakama butu zinazoendeshwa Kwa rimoti kutoka Lumumba, Chamwino na Magogoni
 
Ushauri wa kinjaa kutoka Kwa mtu mweye mañjaa (i.e: Mayalla= Njaa/ mañjaa)
 
paschal Mayala aligombea kura za maoni pale kawe kupitia CCM, akaambulia Kuta Moja tu!
 
We kama siyo chawa, basi we utakuwa kiluwiluwi wa chura. Hivi Chadema ndo wanapanga tarehe na precedence za mahakama? Aliyefanya kesi kuchukua miaka 5 ni mahakama butu zinazoendeshwa Kwa rimoti kutoka Lumumba, Chamwino na Magogoni
hahaaaa mmekwisha habari yenu miaka mitano mnahangaika na kin dada? kweli ? yaani wamewashinda ujanja mpaka miaka mitano inaisha mpo tu midume na mbupu zenu mbilimbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…