mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,005
- 20,805
Huyo DIAMOND angekuwa hana mafanikio, wala yote yasingemkuta mzee,,na huyo baba YAKE angekuwa na pesa wala asingedhalilika,, TUTAFUTE PESA KWA BIDII....yote.,,yasitukute,,,,Vp napo kwa Queen Doreen napo, manake naye alifikia hatua mpaka ya kumtukana matusi makubwa (mpaka wakawa wanaya mute) kupitia Shilawadu au bado unahisi napo hajapewa nafasi ya kujitetea? Mpaka Queen akatamka mzee si baba yake.
Au Mondi leo hii angekuwa na life bovu unahisi angemtafuta na kumlilia kama amliliavyo leo hii.
Hivi ww mwenyewe hujiulizi mtu mmoja amefanya kosa lile lile kwa watoto wawili aliozaa na wanawake wawili tofauti kwa mda tofauti, huoni huyu mzee ana matatizo na ni kama life style yake ya ujana kuzaa na kutelekeza majukumu.
Mimi mwenyewe nakubali kibinaadam na kwa imani yangu huyu mzee anastahili kusamehewa tatizo approach yake yakutumia vyombo vya habari ndio ina muharibia na kumchoresha.
Ukienda page ya tatu ya mjadala huu utaona ushauri nilio utoa na endapo mzee akifuata ushauri huo nina uhakika watayamaliza lkn hivi vyombo vya habari, havitamsaidia kupatana na mwanae zaidi ya kumchoresha.
Sent using Jamii Forums mobile app