Ushauri wa Bure: Diamond saidia baba yako

Huyo DIAMOND angekuwa hana mafanikio, wala yote yasingemkuta mzee,,na huyo baba YAKE angekuwa na pesa wala asingedhalilika,, TUTAFUTE PESA KWA BIDII....yote.,,yasitukute,,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alibebembeza penzi hili Afaidi uroda
 
Mkuu jaribu kuwa unafikiri kidogo nje ya imani uliyoirithi.
Mimi sijalelewa na mama au baba pekee nimelelewa na wazazi wangu wote ila nina dada na kaka zangu ambao nimekuja kuwatambua ukubwani aisee hata siwalaumu kwa chuki waliyonayo kwa mzee inaumiza sanaaa
 
Mjinga anaeleweshwa na mjinga mwenzake akieleweshwa na mwerevu huona ni upumbavu.
 
Mjinga hueleweshwa na mjinga mwenzake dini yako umeirithi mwaka gani?
 
Kwann diamond wakati anaenda kuomba Masada Kwa Baba yake asimueleze ,
 
Kuna watu wanatetea ujibga tu hapa!
Sio shabiki wala huwa sisikilizi hiyo miziki!

Ila hata km mzazi kakufanyia nn,atabaki kuwa mzazi tu na kusamehe ni lazima sio ombi wala nini maana ni kwa faida yako wewe unae samehe!

Ukitaka Mungu akusamehe na wewe samehe kwanza! Ndio ilivyo.

Biblia ,kwenye Mathayo inasema .....Utusamehe makosa yetu kama sisi tunavyowasamehe waliotukosea.....

Sasa km unaomba Mungu akusamehe,sahau kusamehewa km wewe hujasamehe...

Halafu mali zenyewe hazitafika popote km una kinyongo na mtu,kwa ss hawezi ona ni suala la muda tu!

"Kufanikiwa kwa mpumbavu kutamuangamiza"!



Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mbona alishamsamehe siku miaka mingi ilopita!

Ila hayo mengine ndo inategemea na majaliwa!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu swala la msamaha ni jambo jema tu..

Yusuf aliuzwa utumwani na kaka zake, lakini baadae wakati wa njaa kali Yusuf alikuja kuwa msaada kwa wale kaka zake waliomuuza na aliwasamehe..

Mungu ana mipango mengi sana, huwezi jua labda kama Baba Diamond asingekimbia Diamond asingekuwa Diamond.

Diamond amsamehe baba yake na amtunze..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mtu atavuna alichokipanda na itakuwa fundisho kwa wanaume wengine. Huwez jua unyanyasaji kias gani alifanyiwa na baba ake kana kwamba hata kumtazama usoni hana hamu. Hivyo tumuachiwe alietendwa afanye maamuzi kulingana na anavyojisikia moyon mwake na siyo kufanya kufurahisha watu..
 
Kwann diamond wakati anaenda kuomba Masada Kwa Baba yake asimueleze ,
Amueleze kitu gani?hivi wewe chanzo cha baba yako na mama yako kuachana ushawahi kukijuwa?huyo mzee anadai huyo mama ndy alimfukuza nyumbani tandale,,,tena wakati huo diamond yupo shule ya msingi,,,LAZIMA uelewe kuwa hawa WANAWAKE WAO ndy wanaanza VITA,,,baba akimaliza anaonekana mbaya,,na wao silaha yao kubwa ni WATOTO,,, ili wanajuwa huna ujanja,,,utarudi kwao tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inasikitisha sana...

Ila kwa nini alaumiwe Diamond pekee... Mama yake Diamond pia anapaswa kulaumiwa, usikute yeye ndiyo anamshinikizia mtoto wake asimsamehe baba yake...


Cc: mahondaw
 
Diamond alishamsamehe Baba yake na ndio maana haujasikia hata Baba yake amtekwa na diamond au vijana WA diamond , Yuko uraiani na anaenjoy free air kama watu wengi , diamond angekuwa m'baya angetuma Baba yake kama watu wengine wanavyotekwa
 
Mkuu kumsamehe mtu na kuendelea kumsaidia mtu aliye kusamehe au kuwa naye close ni vitu viwili tofauti mkuu ... hebu tofautisha kwanza hivyo vitu halafu ndio tuendelee na mjadala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…