Ushauri wa Bure: Diamond saidia baba yako

YANI KUNA MAWATU YA AJABU SANA HAPA DUNIANI, MUNGU ATAITWA MUNGU TU MAANA ANATYVUMILIA MAKOSA MENGI SANA.

MAWATU YANACHUKULIA JAMBO UPANDE MMOJA TU BILA YA KUTOKA NNJE YA BOXI KIFIKRA ILI KUPATA UKWELI HALISI.

DIAMOND NI MAWATU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Baba angeacha kumlilia Diamond, izi media zinamchora tu na hakuna msaada anaopata.

Kuna faida anapata mkuu. Kuna mdau kutoka ughaibuni anamtumia sent kila mwezi baada ya kupata habari zake za kususwa na wanawe. Hii ni kutokana na maneno yake mwenyewe.
 
Mi siamini kama kumzaa mtoto ni kumsaidia ,mzazi amemzaa mtoto Kwa Raha zake
Mnasema hivyo kama tu Dingi ni hohe hahe....akiwa na mimali anagombaniwa, hata kuzikwa tu Ndugu mnamgombania mnapelekana mpaka Mahakamani.
 
Huyo DIAMOND angekuwa hana mafanikio, wala yote yasingemkuta mzee,,na huyo baba YAKE angekuwa na pesa wala asingedhalilika,, TUTAFUTE PESA KWA BIDII....yote.,,yasitukute,,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
Mdingi kinachomuua ni vidole na midomo ya watu lakini yule mzee kwa vigezo vyetu vya kitanzania yupo njema sema anaonekana ana matatizo kwa kuwa mwanae ana jina kubwa na fedha za kutosha yaani ana uwezo mkubwa wa kuendesha maisha yake. Mzee ana nyumba Magomeni Kagera na wapangaji juu na huenda hata wale wanaomwona Diamond hamsaidii wazazi wao wana maisha mabovu kuliko Diamond.
 

Ni sawa mkuu. Katika hali ya kawaida, mzee angejikausha na kuendelea kula hasara ya maamuzi yake kimya kimya. Lakini kutokana na umaarufu wa mwanaye, inakuwa tabu mtaani. Huyu mzee ni brazameeni fulani wa zamani, na enzi zake alikuwa Mario vile vile, maana baada ya kuondoka nyumbani kwa Mama Diamond alikwenda kuishi nyumbani kwa Mama Queen Darleen (maelezo yake mwenyewe). Huenda ndiyo maana anaona kama msaada ni kama haki yake. Hili ni funzo pia kwa viajana wa siku hizi wanao penda kulelewa na wanawake.

Ila kutokana na maoni kinzani na kuhusu hili, kwa upande wa Diamond akiamua kumsamehe na kumsaidia baba yake ni faida kwake, na hakuna hasara.
 
Laana itamtafuna sana maana hajielewi na imani ya kishirikina ni mbaya sana
Unakuwa mbali na Mungu na wasiwasi hauishi


Sent from my SM-G570F using Tapatalk


We unamuonaje, jamaa hajitambui kabisa. Huku anachezewa na familia yake na huku akichezewa na machangu anaolala nao kuwaibia nyota zao.
 
Yuko sahihi kabisa...wababa wengine ni majanga tu hakuna lolote


Avune alichopanda...angekufa sababu ya njaa nani angemsaidia sasa hivi? Tuache unafiki huyu mzee Ndai anastahili anachokipata..

Malipo siku hizi ni hapahapa
 
Na akiamua kuuchuna pia ni haki yake

Teh teh Mungu pekee amguse maana kwa mioyo ya kibidamu bado ni ngumu...unakuta walikuwa namaisha magumunhuku mzee Ndai akijivinjari na mama queen Darleen

Teh teh ajiongeze kama alivyojiongeza kwa mama Quenn Darleen
 
Umenisaidia kusema ya moyoni..,watu tunapenda kunyoosha vidole bila kuangalia maisha yetu kwanza


Watu wakitaka raha wachukue nafasi zao..namzungumzia mzee ndai...angechukua nafas yake mida hii angekuwa anapeta tu
 
Hamna cha uko sahihi

Hv ukimchukia mama lazima uchukie na watoto? Tujiongeze bhana tuache kujitetea

Mondinyuko sahihi..baba yake anavuna alichokipanda

Ningepata nafas ya kumuona dai ningempa 5
 
Umeona eeh ww ulimtafuta baba yako ukiwa mtu mzima lakin kama ungekuwa mtu maarufu na mwenye pesa baba ako angekutafuta ww, sisemi asimsamehe ila kuna kitu tunasahau kwann asimtafute wakati hana kitu na kuomba msamaha mpaka ameona amefanikiwa na yy na shida ndo mana amekumbuka kuomba msamaha pengine hapo ndo alipo kosea ndo mana hakusamehewa
Unajuaje kama na mimi nimelelewa na mama na bado nikamtafuta baba nikiwa mtu mzima. Nimesema na ninarudia tena dini yangu inasema samehe saba mara sabini

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The hate u give, what goes around comes around
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nashangaa kwann asimuombe msamaha kipind hana kitu anauza mitumba aje aombe saiz coz anajua anahitaji msaada
Sent using Jamii Forums mobile app
 
HERI KUCHAGUA JINA JEMA, NA OLE WAKO UISHI NA VINYONGO UONE TUTAVYOKUSAHAU KWA SIKU CHACHE TU KWA KUJIZALISHIA MAGONJWA KIBAO MWILINI MWAKO.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kufa ni faida na kuishi ni Kristo. Siogopi sana kufa lakini naogopa sana mateso ya hasira na kinyongo. Kumjua mtu alivyo inatosha sana kumsamehe.(nilishawahi kujaribu,na najua inavyokuwa).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…