Ushauri wa Bure: Diamond saidia baba yako

Ushauri wa Bure: Diamond saidia baba yako

Tuanzie kwan kweny heleni nini maana yke zina maanisha nin???ni swagg kwa boys kuzivaa au vp ? weng walio kosa maarifa wanasema ni unyamwezi je? mnajua nin kipo behind the door
 
innocentkirumbuyo,
Haya mambo binafsi nilikuwa ninayamini Sana nakumbuka wakati nipo form 4 nasoma shule ya Benjamini mkapa so nikitokaga shule tu nilikuwa napendaga kuudhuria kwenye majamaa fulani wanakaa ubungo wanapenda kutaja mafreemason na history za Freemason walituambia shoziniga wa hollywood na diamond ni freemason na walivunja masharti ya ufreemason kutokana na Hilo wameukumiwa kufa shoziniga atakufa mwezi wa 9 na huku diamond atakufa mwezi wa 12 wa mwaka 2014.Baada ya kupita hizo siku na kuingia 2015 sikuona haya mambo yametendeka nikaona ni uongo na tokea hapa haya mambo siyaamini Tena na nikaacha kwenda Tena hiyo sehemu nikaona nikupoteza muda wangu bure.
 
Sio baba Diamond tu alimtelekeza mtoto kwa kipindi hicho hakuna asiyejua hali ya maisha huyo Diamond sio mtu wa kawaida Mwenyeezimungu ndio anapaswa kutoa adhabu sio binaadam. Kwa kifupi huyo dogo anatuonesha moyo wake halisi jinsi ulivyo sio mtu wa kawaida.
 
Haya mambo binafsi nilikuwa ninayamini Sana nakumbuka wakati nipo form 4 nasoma shule ya Benjamini mkapa so nikitokaga shule tu nilikuwa napendaga kuudhuria kwenye majamaa fulani wanakaa ubungo wanapenda kutaja mafreemason na history za Freemason walituambia shoziniga wa hollywood na diamond ni freemason na walivunja masharti ya ufreemason kutokana na Hilo wameukumiwa kufa shoziniga atakufa mwezi wa 9 na huku diamond atakufa mwezi wa 12 wa mwaka 2014.Baada ya kupita hizo siku na kuingia 2015 sikuona haya mambo yametendeka nikaona ni uongo na tokea hapa haya mambo siyaamini Tena na nikaacha kwenda Tena hiyo sehemu nikaona nikupoteza muda wangu bure.
Nikitokaga, nikiendaga. Hiki ni kiswahili cha nchi gani mkuu, samahani lakini.
 
Mnamuonea tu Huyo diamond ..... (mimi huwa sivutiwi na Tabia zake chafu chafu) ambazo zimenifanya nisimpende kabisaa"

Lakini kama ni kweli baba yake Alimtelekeza alipo kuwa mdogo kwaajili ya mgogoro na mzazi mwenzie

Basi ana stahiki kupatwa na hicho kinacho mfika " kwa sababu mtoto hakuwa na makosa

Huwa tuna vuna tunacho kipanda' so suala la kumuona diamond kuwa hamtendei haki baba yake " wakati baba yake mwenyewe mbegu aliyoipanda ndio hiyo" ni wazi mtakuwa mnanuonea tu diamond"....., mlitaka mzee avune karanga baada ya kupanda kokoto .. !?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua mtu anaweza akakukosea nawewe ukakosea mara mbili zaidi yake? hiyo ni test tu ya maisha na so far jamaa anafeli vibaya tuliopitia mambo magumu tupo wengi na tulishasamehe na kusahau kazi inabaki kwake mwenyewe kujutia... kuna wazazi ni makatili unaweza ukatamani awe hayupo kila muda lakini tumekua na tumesahau sasa vp mnamjaza ujinga ndugu yenu
 
Wasio na kazi hushindia story za freemason
ujinga ndo unaotuchelwesha kufikia uchumi wa kati maana huko mtaani wamejaa watu wengi ambao akili zao zipo primitive sana wanashikilia na kutetea mambo ya kijinga... unakuta mtu mzima na ndevu za kutosha anakomaa eti flani freemason ujinga mtupu yani
 
ttzo la watanzania tunapenda majibu rahisi kwa maswali magumu...na tunapofushwa na mahaba inasikitisha sana!
Na tatizo lako wewe ni kutojua kwamba hayo ni mapambo tu, na yanauzwa!!
Skull.png

Haya, kuna Rating kutoka kwa possible Buyers 1141 hapo!! Sasa kama unaamini na wenyewe hao ni Wachawi au Freemasons kama mnavyodanganyana mitaani, then utakuwa na safari ndefu sana ya kujikomboa kifkra!!!
 
Unajua mtu anaweza akakukosea nawewe ukakosea mara mbili zaidi yake? hiyo ni test tu ya maisha na so far jamaa anafeli vibaya tuliopitia mambo magumu tupo wengi na tulishasamehe na kusahau kazi inabaki kwake mwenyewe kujutia... kuna wazazi ni makatili unaweza ukatamani awe hayupo kila muda lakini tumekua na tumesahau sasa vp mnamjaza ujinga ndugu yenu
Ungekuwa mfuatiliaji ungefahamu kinyongo cha Diamond hakikutokana na kutelekezwa bali tabia ya baba ake kutumika na magazeti ya udaku! Tumia hata akili ya kawaida tu! Unakuta Gazeti la Risasi linaandika Mzee Abdul yupo "hoi" kitandani, kisha anaanza safari ya kwenda hospitali na gazeti wanakuwa na picha zoooooote hizo, kuanzia nyumbani, kwenye daladala hadi anaingia hospitali!

Hao Risasi wanakuwa wanazipata wapi hizo picha kama sio huwa "anawaita"?! Na in fact, sio kwamba huwa anawaita bali magazeti ya udaku ilikuwa wakikosa stori tu, wanaenda kum-set na wanaanza kumfotoa mapicha na kutengenezea habari! Kwavile Diamond mwenyewe ni kichaa, ilikuwa kadri Mzee Abdul akifanya hivyo, na yeye ndo kwanza anazidi kumkazia!!

Na ndo maana hata ile siku wanakutanishwa pale Wasafi TV Diamond alisema wazi bila kupepesa macho tena mbele ya Mzee Abudl kwamba, yeye kila anavyojaribu kurudisha moyo wangu, unakuta siku ya pili Mzee Abdul yupo Ijumaa Wikienda!! In short, anaamini Babake alikuwa anatumika kumchafua! Sasa sidhani kama wewe huyo mzazi wako alishawahi kupita mitaani kutangaza jinsi gani ulivyokuwa roho mbaya!!
 
myplusbee, Hizo zote porojo tu maana hata wewe unaongea unachohisi ni kweli lakini hujajua kiundani kwa sababu ni ishu za familia mimi na wewe hatujui.. ila ishu ya msingi ni kwamba huwezi ukamlipizia kisasi mzazi wako utakuwa unajidanganya maana bila yeye kamwe usingetokea... wewe mwache na dhambi zake atamalizana na mungu wake lakini huduma zote kama mzazi mpe.. hivi kati ya baba Diamond na Mama Diamond nani ana tabia za ajabu?
 
Hizo zote porojo tu maana hata wewe unaongea unachohisi ni kweli lakini hujajua kiundani kwa sababu ni ishu za familia mimi na wewe hatujui.. ila ishu ya msingi ni kwamba huwezi ukamlipizia kisasi mzazi wako utakuwa unajidanganya wewe mwache na dhambi zake atamalizana na mungu wake lakini huduma zote kama mzazi mpe.. hivi kati ya baba Diamond na Mama Diamond nani ana tabia za ajabu?
Kusoma hujui, hata picha ukutani huzioni?! Nimekuuliza Gazeti la Risasi wanakuwa wapi hadi wanakuwa na uwezo wa kupata picha za Mzee Abdul kuanzia anatoka home hadi hospitali kama sio wanapanga?!

Au kuna hii siku hapa chini:-
Diamond.png

Je, huyo Mwandishi wa Risasi alijuaje kwamba Mzee Abdul anataka kwenda kwa mwanae kama sio walipanga?!

Ndo maana nimekuambia sio mfuatiliaji kwa sababu ungekuwa mfuatiliaji wala usingesema ni hisia zangu wakati hata Queen Darleen ameshawahi kuongea kuhusu baba yao jinsi alivyo msanii!!

Diamond mwenyewe mbele ya baba yake alimwambia aache tabia ya kutumika na magazeti!
Au anzia dakika ya 19 kwenye hii video hapa chini:-

Sasa how come unasema hizo ni hisia zangu tu wakati wameongea wenyewe?!
 
Back
Top Bottom