Ushauri wa bure kwa Askofu Gwajima: Ukivuliwa nguo, ukabaki utupu! Ustaarabu ni kuchutama!

Kuna vitu fulani mimi navijua lakini sivisemi, hivyo namshauri mbunge wangu, Askofu Gwajima, this time around, asiliamshe DUDE!, na badala yake aendeshe tuu ibada yake kama kawaida as of nothing happened!, atanishukuru!

Paskali
Kama hautojali mkuu ziweke hata kwa code tutazifungua.
 
Kuna vitu fulani mimi navijua lakini sivisemi, hivyo namshauri mbunge wangu, Askofu Gwajima, this time around, asiliamshe DUDE!, na badala yake aendeshe tuu ibada yake kama kawaida as of nothing happened!, atanishukuru!
Angalia poti usije ukaingia kwenye mfumo wa Askofu, utachakazwa mpaka useme basi! Mwulize Bashite alikuwa anatembea analia!
 
Angalia poti usije ukaingia kwenye mfumo wa Askofu, utachakazwa mpaka useme basi! Mwulize Bashite alikuwa anatembea analia!
Ustadhi Rashid Kaliamsha Dude. Muulize Mheshimiwa waziri akaanza kuitwa kwa jina la Baba yake kwani ukoo wa Gwajima ulimtosha.

Eti mama yetu unamjua mzee wa kuliamsha dude.
 
Ustadhi Rashid Kaliamsha Dude. Muulize Mheshimiwa waziri akaanza kuitwa kwa jina la Baba yake kwani ukoo wa Gwajima ulimtosha.

Eti mama yetu unamjua mzee wa kuliamsha dude.
Kamemtahadharisha ponjoro wa Kinondoni akae kwa kutulia! Maana kakimshukia atanuka kinyesi mpaka Kinondoni yote imkatae!
 
 
Point full
 
2. Kuchutama, na kuziachia nguo ziende!, japo utaonekana zoba, jinga, hujui kupigania haki yako, utachekwa na kudharaulika jitu lioga, linashindwa kukimbiza mwizi!.
Hii ya pili, haiwezi kuwa sawa kwa kila mtu ingawa ni hekima, nadhani Gwajima hayuko kundi hilo.

Mwanasiasa nguvu yake ni kwenye kusema, mwenye kuzungumza na kupanga hoja zake vizuri ni rahisi kushawishi watu.

Ila shida ni kwamba siasa zetu zimejaa hofu zaidi kuliko hoja, Gwajima na wote aliowataja ni wanasiasa hoja zilitakiwa kutamalaki zaidi.
 
Mayalla=Buku saba

Mayala wewe ni moja ya watu wanaong'ata na kupuliza huna unachokisimamia isipokuwa unafki kiufupi unazeeka vibaya na hata hizo teuzi unazotaka hutapata sababu wewe ni mnafki
 
Mkuuu bado unaogopesha watu kuwaomba msamaha watawala na kusahau wale ni wafanyakazi wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…