Umemjibu vyema. Kuna muda huyu mleta mada anafikirisha. Huwa anang'ata na kupuliza anapenda kuwa uvuguvugu.Serikali ilipovuliwa nguo ilichutama wapi?

Uvuguvugu huo.Labda Mayala katumia lugha ya kifasihi kufikisha ujumbe!
Hebu soma tena alichoandika, maana kuelewa fasihi ni kipaji, unatukanwa huku unatabasamu.Njaa inafunika elimu na taaluma zako, KAZI ya wanahabari makini ni kufukua na kufichua uovu, nyie mnaona sifa kujifunganisha na wezi, mafisadi na wauaji
Unajuwa kilichompata kwakuwa moto? Mpaka leo bado hajarecover.Uvuguvugu huo.
Jf yote imemstukia na tayari kishadharauliwaUmemjibu vyema. Kuna muda huyu mleta mada anafikirisha. Huwa anang'ata na kupuliza anapenda kuwa uvuguvugu.
Haha 😄 🤣 😂 😆 nameisomaNdio maana JPM alikunyoosha "K" (kenge) mkubwa wewe. Unamtete muuaji kwel ww n kum@
Maturity Strong.Wanabodi,
Mimi ni mkazi wa Jimbo la Kawe, Mbunge wetu, Mhe. Askofu Josephat Gwajima, japo ni mtu mchapakazi na mkweli sana, ila tatizo lake ni mtu wa maneno mengi, ahadi nyingi ambazo baadhi bado hazijatekelezwa.
Japo alipanga kuzitekeleza awamu ijayo, lakini kukatokea bahati mbaya, mdomo umeponza kichwa!, kwa kuusema ukweli mchungu ambao watu wenye nguvu na mamlaka, hawapendi kuusikia
, ukweli huo mchungu umemfanya ameteleza na kuanguka kwenye tope zito, hivyo amevuliwa nguo!.
Ukivuliwa nguo, Chutama!.
Hivyo imetokea amevuliwa nguo hadharani na kubaki mtupu!, uchi wa mnyama!. Dawa pekee ya kumnusuru na aibu na kumtunzia kaji dignity kadogo alichobakiwa nacho, Mbunge wetu wa Kawe na MNEC wa CCM, Baba Askofu Dr. Josephat Gwajima, ni kuchutama tuu!, kujisetiri!.
Miongoni mwa sifa zake kuu za pekee, Askofu Gwajima, zilizomfanya ateuliwe kuwa mgombea wa Kawe ni hiyo sifa ya kuusema ukweli no matter what, na akitibuliwa ni
ni mzee wa kuliamsha dude!, na hua analiamshia kanisani kwake katika ibada zake za siku za Jumapili.
Kuna vitu fulani mimi navijua lakini sivisemi, hivyo namshauri mbunge wangu, Askofu Gwajima, this time around, asiliamshe DUDE!, na badala yake aendeshe tuu ibada yake kama kawaida as of nothing happened!, atanishukuru!
Najua kuna wengi wangetamani kumuona akiliamsha DUDE, sii busara kuliamsha DUDE this time around kwasababu fulani!.
Kuna type fulani ya watu ni impulsive, ukimprovoke, anaprovokika, analipuka!, lakini kumbe hawajui kuwa kumbe sometimes kunyamaza kimya ni jibu kubwa na zuri kuliko kulipuka!.
Hadithi ya Kuoga Mtoni na Nguo Kutokomea!
Kuna simulizi ya watu wawili waliokuwa wanaoga mtoni.
Kuogo mtoni ni unavua nguo zote unabaki kama ulivyozaliwa.
Kumbe yule jamaa anayeoga ni kichaa! kijiji kizima wanamjua huwa anatembea hivyo kama alivyo zaliwa!.
Mara yule jamaa akachoropoka kwenye maji hapo mtoni, akaenda kuzichukua nguo zote za yule jamaa!.
Ungekuwa wewe ungeamua nini?.
1. Kwasababu wewe ni fighter, huwezi kuacha mtu akuchezee, hivyo utaamua kutoka kwenye maji na kumkimbiza mwizi wako kuokoa nguo zako ambazo ni haki yako?
2. Kuchutama, na kuziachia nguo ziende!, japo utaonekana zoba, jinga, hujui kupigania haki yako, utachekwa na kudharaulika jitu lioga, linashindwa kukimbiza mwizi!.
Uamuzi huu wa kuchutama ndio uamuzi sahihi na wa busara!.
Je tumchagize Askofu Gwajima aliamshe DUDE au achutame?.
Paskali
Mama D: Hivi ungekaa kimya kwa hili ungedhurika Mama.....?
Sijasoma bandiko lako zaidi ya headingWanabodi,

Nyie ndo wapuuzi na soon mtapata majibuKwa alivyo mpuuzi kesho atajidai analiamsha dude pale kwenye nyumba ya uongo ya ufufuo na uzima.
Hakuna aliyesahauliwaAwa watoto awamtakii mema G.boy Lisu yupo wapi Washamsaau kolokoloni !!
sasa sijui ndio kumpenda sana Gwaj Sasa ateme Dude akikamatwa mtafanya maandamano !!
Au ndio mtajazana apa kupaza sauti zenu.!!!
Tukumbuke kuna Askofu mwengine alikuwa atingishiki mzee wetu Kakobe sikuizi kaacha kufuraisha Waumini na mitandao bin watoto kwa kuinanga Serikali sasa kabaki na 1 tu.
Inawezekana kweli hajarecover. Bora kukaa kimya kuliko kuwa vuguvugu kipindi watu wanapoamua kukemea matendo maouvu. Achague kuwa moto au baridi.Unajuwa kilichompata kwakuwa moto? Mpaka leo bado hajarecover.
Acha askofu atimizie wito wake. Kama kila mtu atakaa kimya kwa kuyalinda maslahi yake wasiojulikana watatenda mabaya kuliko waliyokwisha kutenda. Ni lazima mashujaa wachache wakomesha matendo maovu ya wasiojulikana turudi kwenye mstari kama jamii na Taifa.Wanabodi,
Mimi ni mkazi wa Jimbo la Kawe, Mbunge wetu, Mhe. Askofu Josephat Gwajima, japo ni mtu mchapakazi na mkweli sana, ila tatizo lake ni mtu wa maneno mengi, ahadi nyingi ambazo baadhi bado hazijatekelezwa.
Japo alipanga kuzitekeleza awamu ijayo, lakini kukatokea bahati mbaya, mdomo umeponza kichwa!, kwa kuusema ukweli mchungu ambao watu wenye nguvu na mamlaka, hawapendi kuusikia
, ukweli huo mchungu umemfanya ameteleza na kuanguka kwenye tope zito, hivyo amevuliwa nguo!.
Ukivuliwa nguo, Chutama!.
Hivyo imetokea amevuliwa nguo hadharani na kubaki mtupu!, uchi wa mnyama!. Dawa pekee ya kumnusuru na aibu na kumtunzia kaji dignity kadogo alichobakiwa nacho, Mbunge wetu wa Kawe na MNEC wa CCM, Baba Askofu Dr. Josephat Gwajima, ni kuchutama tuu!, kujisetiri!.
Miongoni mwa sifa zake kuu za pekee, Askofu Gwajima, zilizomfanya ateuliwe kuwa mgombea wa Kawe ni hiyo sifa ya kuusema ukweli no matter what, na akitibuliwa ni
ni mzee wa kuliamsha dude!, na hua analiamshia kanisani kwake katika ibada zake za siku za Jumapili.
Kuna vitu fulani mimi navijua lakini sivisemi, hivyo namshauri mbunge wangu, Askofu Gwajima, this time around, asiliamshe DUDE!, na badala yake aendeshe tuu ibada yake kama kawaida as of nothing happened!, atanishukuru!
Najua kuna wengi wangetamani kumuona akiliamsha DUDE, sii busara kuliamsha DUDE this time around kwasababu fulani!.
Kuna type fulani ya watu ni impulsive, ukimprovoke, anaprovokika, analipuka!, lakini kumbe hawajui kuwa kumbe sometimes kunyamaza kimya ni jibu kubwa na zuri kuliko kulipuka!.
Hadithi ya Kuoga Mtoni na Nguo Kutokomea!
Kuna simulizi ya watu wawili waliokuwa wanaoga mtoni.
Kuogo mtoni ni unavua nguo zote unabaki kama ulivyozaliwa.
Kumbe yule jamaa anayeoga ni kichaa! kijiji kizima wanamjua huwa anatembea hivyo kama alivyo zaliwa!.
Mara yule jamaa akachoropoka kwenye maji hapo mtoni, akaenda kuzichukua nguo zote za yule jamaa!.
Ungekuwa wewe ungeamua nini?.
1. Kwasababu wewe ni fighter, huwezi kuacha mtu akuchezee, hivyo utaamua kutoka kwenye maji na kumkimbiza mwizi wako kuokoa nguo zako ambazo ni haki yako?
2. Kuchutama, na kuziachia nguo ziende!, japo utaonekana zoba, jinga, hujui kupigania haki yako, utachekwa na kudharaulika jitu lioga, linashindwa kukimbiza mwizi!.
Uamuzi huu wa kuchutama ndio uamuzi sahihi na wa busara!.
Je tumchagize Askofu Gwajima aliamshe DUDE au achutame?.
Paskali
JASUSI LA MBINGUNI AMELIAMSHA DUDEEEWanabodi,

Namhurumia poti wangu Mr. Njaa asije akapopolewa na Askofu Gwajima! Maana Bishop akifungulia unaweza kulia!Gwajima karusha jiwe kwenye kichaka cha ibirisi ndipo mashetani wote wamejitokeza sasa kila mtanzania kawabaini watesi watekaji waonevu wote chawaccm
Anajua consequences ya kwenda head to head na Rais, leo ameongea kwa busara sana. Anajitahidi sana kuyatafutiza maneno kutoka kwenye ubongo... nadhani aliusoma ushauri wa Pascal MayallaJASUSI LA MBINGUNI AMELIAMSHA DUDEEE