Ushauri wa bure kwa Askofu Gwajima: Ukivuliwa nguo, ukabaki utupu! Ustaarabu ni kuchutama!

Ni ngumu kumeza!
Sasa ukichutama unaondokaje hapo mtoni? Nani atakuletea hizo nguo zilizochukuliwa na kichaa?
Na Kichaa mwenyewe ndiye ameshika Upanga!
Labda unachotaka kumshauri aliyevuliwa nguo asipambane na Mwenye Dola!
Lakini Mkuu kama kila mtu ataogopa kuvuliwa nguo kwa ajili ya kuyasemea haya yanayotokea Wananchi tunafanyaje?
Nani atatusemea?
 
Brother pascal nakuheshimu sana tena sana bro kwa hili hapana brother no bro si sawa

Gwajima ni mpango wa Mungu haya yote yanayotokea ni mpango wa Mungu kwa jinsi mambo yanavyoendelea wewe mwenyewe ukikaa peke yako unaona kwakua unajua ukisema nini kitatokea kutekwa na kuwawa au kufanyia mambo ya kishamba Shamba unaona ngoja ukae kimya au uje uandike hivi ili watekaji na wauaji wasikuweke kwenye mpango kazi wao

je kama taifa tunaitaji kufika hapa hali iliyopo leo hii wandishi kalamu zenu hazipo huru tena jamii haipo huru tena tuna uhuru wa maneno si vitendo ikiwa mh Rais anasimama hadharani pasipo kukemea yanayoendelea ambayo si fununu ni ukweli watu wamekufa wamepotea hatujui walipo taifa lenye vyombo vya ulinzi na usalama kwa raia na mali zake ila usalama huo haupo upo kwa viongozi tu si kwa miye wala wewe pascal leo hii wakiamua wanakuja kuchukua nyumbani kwako na hauonekani tena yani imekuwa inchi ya kigang star bro huoni hatari hii gwajima anapata ujasiri wakuja kuuliza mh Rais anajibu gwajima hafai COME ON BRO kweli twende wapi tukimbilie wapi ikiwa amri jeshi mkuu tunayemtegemea anaona raia wake kufa na kupotea kwa kuikosoa serikali ni sawa kuna haja gani ya kuishi si bora tufe tu sasa ijulikane moja yani tufe tu na kifi gani sasa nichague nijifishe mabomu nikafie kwenye ofisi yao au mikutano yao ya chama kama pale dodoma unajilipua tu ndio uko tunakolelekea kwani watu watakosa uzalendo na inchi yao so watamua kufa kimaslahi maana ukisema unatekwa unakufa sasa si bora nife kimaslahi uko ndio tunakolekea mtu kama sativa ashajua hayupo huru tena anaishi kama ndege mtu uyo ukimpa mabomu si amavaa, mke wa mdude, familia ya mzee soka, nk ebu vaa viatu vyao

yani wanataka taifa hili liwe la watu wachache taifa la mfumo ambao hata wajinga waliokosa marifa wawe na sauti ya kutuongoza Kisa tu wanajua hakuna wakuwambia waje wachukue kodi zetu, wakope mikopo kwa maliasili walizoachq mababu zetu wachezee wafanye anasa kwa jasho na mali zetu pasipo wambia kitu kisa wana majeshi watatua so tukae kimya unaona sawa brother be serious

Watoto zetu ndugu zetu wapo kwenye masomo wanapambana kupata marifa ambayo yatawezesha kuja kulitumikia taifa hili ila je hizo nafasi watapataje kama kuna kakikundi kadogo kameshika mfumo kwa kuteka na kuuwa endapo utasema ukweli no bro no leo hii nafasi ya uongozi wa juu imekuwa nani anakujua si weredi tena leo hii tunaona uko.kwenye mawizara nafasi zipo za kazi na ajira hila hawataki ajiri wanataka wakae wao tu kutwa washinde kwenye magari wanafanya ziara na kujiandikia posho kazi ambayo ingefanyika ki timu kuwa timu hii wanaenda kanda ya ziwa timu hii wanaenda kanda ya kaskazini in two weeks kazi imeisha kwakua nchi yao kazi ya wiki mbili watu wanafanya nusu mwaka nikizunguka tu oob ajira hakuna ajira hakuna aisee inauma sana

uko napo kituko Wakurugenzi wa Halmashauri wanaokotwa tu uko hawajui lolote kuhusu nafasi zao na uongozi tunashuhudia wakurugenzi wanakwenda kuanza kazi kwakua hawajui majukumu anafanya afisa mipango na mweka hazina hapo sasa ndio pesa za umma zinapigwaje maana hawa mafisa mipango na mweka hazina wana weredi na uzoefu so nikuandika madokezo tu nakupiga na ili kulinda madudu ya wakaguzi wakuu wa serikali mkurugenzi anageuka chawa wa mbunge mkuu wa wilaya na chama ndio maana kutwa tarifa ya CAG ina madudu na hakuna wakukemea kwa sababu wanajuana sasa tunapitaje hapa ukisema unatekwq unakuliwa kweli no bro si sawa

Njoo kwa wabunge sasa kila mtu ameona anaweza kuwa mbunge kisa anajua kusoma na kuandika hatukumbuki sababu ya kuwepo na wabunge wa kusoma na kuandika kuwa kipindi tunapata uhuru kuna maeneo nchi hii wangekosa wawakilishi kwa sababu wasomi walikuwa wachache je leo hii nchi hali ipo hivyo eeh fikilia mcheza kamali mtu asiye na weredi wowote wa kitaluma anawaza kuwa mbunge BABA LEVO yani bunge limekuwa cheap kwa mfumo ulivyo mbovu so

NO REFORM NO ELECTION inapaswa kupigiwa kelele kwa maslahi ya badae hata hao CCM wenyewe wanapaswa ifanya so acha Gwajina aliamshe dude as long as tunajua hakuna atakayebaki hapa duniani sote tutakufa
 
Hii ni kutaka kujiosha tu kama shabiki ndaki-ndaki wa Samia na mfia chama wa CCM.

JF haiwezi kulaumu msimamo wako unajulikana kwenye jukwaa piga ua CCM ipo damuni kwako.

Walau unakiri senseless killings is enough, kupata kauli hiyo kwa mfia chama cha mapinduzi kama wewe; Sisi wengine tunapinduka na kauli yako ya kuwa hata wewe kada unaona senseless killings inatosha.

Maelezo mengine ya propaganda baki nayo, ukiwa kama mwachachama wa CCM ambae unajulikana humu. Hiko chama kwako ni kama damu.

Sikuzuii kunielewa vile ulivyoelewa wala kuwaza vile unavyoona wewe.

Ninachoendelea kusisitiza ni kwamba utekekaji ndani ya jamii haukubaliki.

Na kauli yoyote inayotolewa na yeyote kwa qgenda ya kukemea utekaji huku ikiamsha hisia za chuuki, taharuki na vurugu ndani ya jamii yetu haikubaliki zaidi.
 
Binafsi katika watu ambao sina nguvu ya kujibizana nao JF ni mama D

Haya, lakini hitimisho langu hata wewe unakubaliana nalo senseless killings hapana.
 
Wanabodi,

Mimi ni mkazi wa Jimbo la Kawe, Mbunge wetu, Mhe. Askofu Josephat Gwajima, japo ni Mbunge mchapakazi ila ni mtu wa ahadi nyingi ambazo hazijatekelezwa.

Japo alipanga kuzitekeleza awamu ijayo, lakini kukatokea bahati mbaya, mdomo umeponza kichwa!, ameteleza na kuanguka kwenye tope, hivyo amevuliwa nguo!.
Ukivuliwa nguo, Chutama!.

Hivyo imetokea amevuliwa nguo hadharani na kubaki mtupu!, uchi wa mnyama!. Dawa pekee ya kumnusuru na aibu na kumtunzia kaji dignity kadogo alichobakiwa nacho, Mbunge wetu wa Kawe na MNEC wa CCM, Baba Askofu Dr. Josephat Gwajima, ni kuchutama tuu!, kujisetiri!.

Miongoni mwa sifa zake kuu za pekee, Askofu Gwajima, ni mzee wa kuliamsha dude!, na hua analiamshia kanisani kwake katika ibada za Jumapili.

Kuna vitu fulani mimi navijua lakini sivisemi, hivyo namshauri mbunge wangu, Askofu Gwajima, this time around, asiliamshe DUDE!, na badala yake aendeshe tuu ibada yake kama kawaida as of nothing happened!, atanishukuru!

Najua kuna wengi wangetamani kumuona akiliamsha DUDE, sii busara kuliamsha DUDE this time around kwasababu fulani!.

Kuna type fulani ya watu ni impulsive, ukimprovoke, anaprovokika, analipuka!, lakini kumbe hawajui kuwa kumbe sometimes kunyamaza kimya ni jibu kubwa na zuri kuliko kulipuka!.

Hadithi ya Kuoga Mtoni na Nguo Kutokomea!
Kuna simulizi ya watu wawili waliokuwa wanaoga mtoni.
Kuogo mtoni ni unavua nguo zote unabaki kama ulivyozaliwa.

Kumbe yule jamaa anayeoga ni kichaa! kijiji kizima wanamjua huwa anatembea hivyo kama alivyo zaliwa!.

Mara yule jamaa akachoropoka kwenye maji hapo mtoni, akaenda kuzichukua nguo zote za yule jamaa!.

Ungekuwa wewe ungeamua nini?.
1. Kwasababu wewe ni fighter, huwezi kuacha mtu akuchezee, hivyo utaamua kutoka kwenye maji na kumkimbiza mwizi wako kuokoa nguo zako ambazo ni haki yako?

2. Kuchutama, na kuziachia nguo ziende!, japo utaonekana zoba, jinga, hujui kupigania haki yako, utachekwa na kudharaulika jitu lioga, linashindwa kukimbiza mwizi!.

Uamuzi huu wa kuchutama ndio uamuzi sahihi na wa busara!.

Je tumchagize Askofu Gwajima aliamshe DUDE au achutame?.

Paskali
RAIS SAMIA_- AMEMPA ZA USO GWAJIMA_ AKATWE MKUTANO MKUU NAWAAGIZA WAJUMBE ASIRUDI BUNGENI.

Achutame !! Kumbuka mithali ya jogoo jasili na jogoo mwoga!!
 
Tusipokuwa makini nchi hii itaongozwa na kikundi cha wahuni wachache

View: https://web.facebook.com/watch?v=3641975482771467
 
Kwamba watavujisha nyingine?Any way,sasa nichutame nimuachie Mwehu aende na nguo zangu si bado nitalazimika kurudi nyumbani uchi? Ni bora nimkimbize kwa huo umbali mfupi nimnyang,naye nguo zangu kuliko kuja kushindwa kabisa kurudi nyumbani.Na nikimkamata nitampa adhabu kidogo asirudie tena,la sivyo ataniibia nguo kila nikienda kuoga.
 
Nilichoelewa Pasikali anamwelezea sululuu kuwa ni kichaa lkn kiujanjajanja kwakuwa jina analotumia P ni halisi.
Kwamba 'Gwamaji' achutame maana kichaa 'amisa' kamchukulia nguo nakukimbia nazo...
Kwahiyo "wochihandred" sio hazimo-hazimo umeona umwite kichaa kabisaaaa😭😭😭🤣
Wengi humu hawajamshtukia🤣🤣🤣🤣
 
Wanabodi,

Mimi ni mkazi wa Jimbo la Kawe, Mbunge wetu, Mhe. Askofu Josephat Gwajima, japo ni Mbunge mchapakazi ila ni mtu wa ahadi nyingi ambazo hazijatekelezwa.

Japo alipanga kuzitekeleza awamu ijayo, lakini kukatokea bahati mbaya, mdomo umeponza kichwa!, ameteleza na kuanguka kwenye tope, hivyo amevuliwa nguo!.
Ukivuliwa nguo, Chutama!.

Hivyo imetokea amevuliwa nguo hadharani na kubaki mtupu!, uchi wa mnyama!. Dawa pekee ya kumnusuru na aibu na kumtunzia kaji dignity kadogo alichobakiwa nacho, Mbunge wetu wa Kawe na MNEC wa CCM, Baba Askofu Dr. Josephat Gwajima, ni kuchutama tuu!, kujisetiri!.

Miongoni mwa sifa zake kuu za pekee, Askofu Gwajima, ni mzee wa kuliamsha dude!, na hua analiamshia kanisani kwake katika ibada za Jumapili.

Kuna vitu fulani mimi navijua lakini sivisemi, hivyo namshauri mbunge wangu, Askofu Gwajima, this time around, asiliamshe DUDE!, na badala yake aendeshe tuu ibada yake kama kawaida as of nothing happened!, atanishukuru!

Najua kuna wengi wangetamani kumuona akiliamsha DUDE, sii busara kuliamsha DUDE this time around kwasababu fulani!.

Kuna type fulani ya watu ni impulsive, ukimprovoke, anaprovokika, analipuka!, lakini kumbe hawajui kuwa kumbe sometimes kunyamaza kimya ni jibu kubwa na zuri kuliko kulipuka!.

Hadithi ya Kuoga Mtoni na Nguo Kutokomea!
Kuna simulizi ya watu wawili waliokuwa wanaoga mtoni.
Kuogo mtoni ni unavua nguo zote unabaki kama ulivyozaliwa.

Kumbe yule jamaa anayeoga ni kichaa! kijiji kizima wanamjua huwa anatembea hivyo kama alivyo zaliwa!.

Mara yule jamaa akachoropoka kwenye maji hapo mtoni, akaenda kuzichukua nguo zote za yule jamaa!.

Ungekuwa wewe ungeamua nini?.
1. Kwasababu wewe ni fighter, huwezi kuacha mtu akuchezee, hivyo utaamua kutoka kwenye maji na kumkimbiza mwizi wako kuokoa nguo zako ambazo ni haki yako?

2. Kuchutama, na kuziachia nguo ziende!, japo utaonekana zoba, jinga, hujui kupigania haki yako, utachekwa na kudharaulika jitu lioga, linashindwa kukimbiza mwizi!.

Uamuzi huu wa kuchutama ndio uamuzi sahihi na wa busara!.

Je tumchagize Askofu Gwajima aliamshe DUDE au achutame?.

Paskali
Njaa inafunika elimu na taaluma zako, KAZI ya wanahabari makini ni kufukua na kufichua uovu, nyie mnaona sifa kujifunganisha na wezi, mafisadi na wauaji
 
Back
Top Bottom