THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,873
- 15,267
Friends and Our Enemies,
Chama Cha Mapinduzi,kwa moyo mmoja kimeamua kumteua Samia Suluhu Hassan kama Mgombea wa chama na Emanuel Nchimbi kama mgombea mwenza.
Wawili hao,wamepata ithibati na baraka ya chama kupeperusha bendera kuelekea uchaguzi mkuu oktoba mwaka huu.
Kama tujuavyo,kuna baadhi ya vyama wametoa msimamo wao wa kutoshiriki uchaguzi huo kwa kusema no reforms no election,huku wengine wakionesha kukubali kushiriki uchaguzi huo.
Pole pole,ametoroka kazini Guantanamo Cuba na kukimbilia nyumbani kisha kuingia rasmi kwenye kutoa kauli za kejeli na reja reja kwa mwenyekiti wa chama huku akisema wazi wazi kuwa mchakato wa chama wa kumpitisha mgombea urais na makamu wake ni batili na kwamba eti anasema hatoshi,na amesikika akisema nchi na chama ni kama vile haina mwenyewe hivi.
Hakika hayo na mengine mengi anayosema ni kukikua wazi wazi katiba ya chama na kuvunja heshima ya mamlaka ya juu ya chama.
Kesho ametangaza tena nia yake ya kuitisha mkutano na vyombo vya habari huku nia yake ni kuendelea na utaratibu wake ule ule wa kukibagaza chama.
Chama kinasubiri nini kumpokonya kadi yake ya chama na kumvua uanachama ili awe huru zaidi kukosoa kama mpinzani?
Kama yeye pole pole anasema CCM imepuyanga,nini kinachomfanya aendelee kubakia ndani ya chama.?na chama kinasusua nini kumuondoa huyu ndumi la kuwili..?