GE2025 Ushauri wa bure kwa CCM: Polepole amegeuka mpinzani ndani ya chama, sasa ni muda muafaka wa kumpokonya kadi ya chama na kumvua uanachama

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Friends and Our Enemies,

Chama Cha Mapinduzi,kwa moyo mmoja kimeamua kumteua Samia Suluhu Hassan kama Mgombea wa chama na Emanuel Nchimbi kama mgombea mwenza.

Wawili hao,wamepata ithibati na baraka ya chama kupeperusha bendera kuelekea uchaguzi mkuu oktoba mwaka huu.

Kama tujuavyo,kuna baadhi ya vyama wametoa msimamo wao wa kutoshiriki uchaguzi huo kwa kusema no reforms no election,huku wengine wakionesha kukubali kushiriki uchaguzi huo.

Pole pole,ametoroka kazini Guantanamo Cuba na kukimbilia nyumbani kisha kuingia rasmi kwenye kutoa kauli za kejeli na reja reja kwa mwenyekiti wa chama huku akisema wazi wazi kuwa mchakato wa chama wa kumpitisha mgombea urais na makamu wake ni batili na kwamba eti anasema hatoshi,na amesikika akisema nchi na chama ni kama vile haina mwenyewe hivi.

Hakika hayo na mengine mengi anayosema ni kukikua wazi wazi katiba ya chama na kuvunja heshima ya mamlaka ya juu ya chama.

Kesho ametangaza tena nia yake ya kuitisha mkutano na vyombo vya habari huku nia yake ni kuendelea na utaratibu wake ule ule wa kukibagaza chama.

Chama kinasubiri nini kumpokonya kadi yake ya chama na kumvua uanachama ili awe huru zaidi kukosoa kama mpinzani?

Kama yeye pole pole anasema CCM imepuyanga,nini kinachomfanya aendelee kubakia ndani ya chama.?na chama kinasusua nini kumuondoa huyu ndumi la kuwili..?
Kama hajarudi nchini je??
 
Tatizo mkimnyanganya kadi akaendeleza harakati mtataka na kumnyanganya uhai🐼
 
Chama chetu haturuhisiwi kukosoana..?
 
Mbona juzi walipokuwa wanafanya wanachadema mlikuwa mnabariki inakuwaje kwa ccm?. Chama kuwa na ideological moja bado sio kigezo cha kushika mawazo ya watu yenye utofauti hasa katika suala la maamuzi.

Itikadi ya chama ni moja lakini wafuasi na waumini wa itikadi za chama hicho hawana akili moja, hawana fikra Moja, hawana muono mmoja na wala mtazamo mmoja. Mawazo tofauti ndani ya chama sio uhaini yaheshimiwe.
Hivi waliopinga u catholic walifanya nini? waliondoka nakuanzisha makanisa yao bila shida. Mkiwa na itikadi moja inabidi usupport hayo mawazo mbadala unayapigania ndani ya chama sio unaenda kuungana na adui wa chama. Mwanajeshi akienda nje ya mfumo na kutoa siri kwa adui huyo ni mhaini lakini akikataa kupigana vita hukumu tofauti kimya.
 
Friends and Our Enemies,

Chama Cha Mapinduzi,kwa moyo mmoja kimeamua kumteua Samia Suluhu Hassan kama Mgombea wa chama na Emanuel Nchimbi kama mgombea mwenza.

Wawili hao,wamepata ithibati na baraka ya chama kupeperusha bendera kuelekea uchaguzi mkuu oktoba mwaka huu.

Kama tujuavyo,kuna baadhi ya vyama wametoa msimamo wao wa kutoshiriki uchaguzi huo kwa kusema no reforms no election,huku wengine wakionesha kukubali kushiriki uchaguzi huo.

Pole pole,ametoroka kazini Guantanamo Cuba na kukimbilia nyumbani kisha kuingia rasmi kwenye kutoa kauli za kejeli na reja reja kwa mwenyekiti wa chama huku akisema wazi wazi kuwa mchakato wa chama wa kumpitisha mgombea urais na makamu wake ni batili na kwamba eti anasema hatoshi,na amesikika akisema nchi na chama ni kama vile haina mwenyewe hivi.

Hakika hayo na mengine mengi anayosema ni kukikua wazi wazi katiba ya chama na kuvunja heshima ya mamlaka ya juu ya chama.

Kesho ametangaza tena nia yake ya kuitisha mkutano na vyombo vya habari huku nia yake ni kuendelea na utaratibu wake ule ule wa kukibagaza chama.

Chama kinasubiri nini kumpokonya kadi yake ya chama na kumvua uanachama ili awe huru zaidi kukosoa kama mpinzani?

Kama yeye pole pole anasema CCM imepuyanga,nini kinachomfanya aendelee kubakia ndani ya chama.?na chama kinasusua nini kumuondoa huyu ndumi la kuwili..?
Kimemteua kwa kufata katiba gani?
 
Kuwa na huruma katika hili Taifa USIWE KAMA LUCAS MWAMSHAMBA kujipendekeza
 
Mwambieni kada wenu afande Faustine Mafwele amteke kisha akamtupe mto Rufiji aliwe na mamba , mbona wengine anawafanyia hivyo kila siku.
 
Hivi waliopinga u catholic walifanya nini? waliondoka nakuanzisha makanisa yao bila shida. Mkiwa na itikadi moja inabidi usupport hayo mawazo mbadala unayapigania ndani ya chama sio unaenda kuungana na adui wa chama. Mwanajeshi akienda nje ya mfumo na kutoa siri kwa adui huyo ni mhaini lakini akikataa kupigana vita hukumu tofauti kimya.
Dini ni dini na siasa ni siasa. Kuwa na itikadi moja sio kigezo cha Kuona kupinda pinda kwa kitu fulani ukanyamaza kisa tu mpo chini ya mwamvuli mmoja wa itikadi.

Kama utaratibu umevunjwa mtu asiongee kisa eti tupo chini ya itikadi moja?. (One ideology different thoughts, consider).
Demokrasia sio lele mama, Polepole asikilizwe, ajibiwe kwa staha na kwa hoja sio vitisho kama hivi.
 
Hakuna ukweli wowote katika hayo anayoyasema.

Yule ni mzandiki ambae amekosa nafasi ndani ya chama na anaona future yake ikienda ukingoni.
Polepole anachezea sharubu za simba aliepiga usingizi.
Chalamila leo kasema Polepole sio size yake,atashughulikiwa na DC kama ataendelea kudeka kama mtoto mtukutu.

Naye Polepole anazidikupasza sauti kama Yohana Mbatizaji nyikani akitaka mageuzi sijui yeye kukaa karibu na mapishi ya Ikulu kuliko kuwa balozi wa Latino America.

Lakini siku akiingia anga zao,wakaamua kuanika mafile yake.
Jinsi alivyokuwa akisimamia fedha za wasanii kwenye shoo za uchaguzi mkuu uliopita.
CCM kula nao kama kipofu lakini usimkamate mkono.
Watamtumia kombola mmoja Hypersonic Kinza missile la Putin wa Russia yeye hata akitumia Patriotic Missile 10 za Trump hatoboi atakuwa on defensive tu na ndicho CCM inakitaka.
 
Huyu tunafahamu anamtetea kiongozi kwa sababu wako imani moja kidini !!!, huu ni ujinga kiwango cha kimataifa.
Sasa Bw. Polepole anawamwagia moto huko kumfukuza haitasaidia chochote. Tulieni dawa iwaingie bado na yule wa Kisesa. Huku nje ni NRNE
 
Back
Top Bottom