GE2025 Ushauri wa bure kwa CCM: Polepole amegeuka mpinzani ndani ya chama, sasa ni muda muafaka wa kumpokonya kadi ya chama na kumvua uanachama

GE2025 Ushauri wa bure kwa CCM: Polepole amegeuka mpinzani ndani ya chama, sasa ni muda muafaka wa kumpokonya kadi ya chama na kumvua uanachama

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Maccm bana, mnapenda sana kutumia madalaka kufanya mambo ya ovyo utafikiri mtaishi milele
 
CCM ni kubwa mno kuliko unavyofikiria. Polepole ataondoka mwenyewe bila kufukuzwa.
 
ni kweli mimi ni mdini,na dini yangu ni uislam

sasa wewe unaumizwa nini mimi nikiwa mdini?

Ukitaka niwe kafiri kama wewe?
Sasa kwanini unaumia Polepole kutoa maoni yake? Si awe na uhuru kama wa kwako wa kuchagua upande unaoutaka?
 
mbona wanachama ndani ya chadema ambao wamekataa no reforms no election wamefukuzwa..?

Chama kimempitisha tayari mgombea na mgombea mwenza wa Uraisi kisha yeye anakuja mbele ya watu anasema hawafai,akitaka ateuliwe yeye?
Chadema imemfukuza nani? au kumvua uanachama nani?. Mtu anapata ujasiri wa kukishitaki chama mahakamani na bado ni mwanachama.
Mtu anashitaki chama kwa msajili bado chama hakimfukuzi.

Yule Mzee wa Kilimanjaro alijaribu kidogo huko ccm kesho yake kavuliwa uanachama.

Tuache masiala demokrasia ya chadema hakuna chama chochote kinaweza kuipractice katika nchi hii.
 
Demokrasia ndani ya chama iko wapi?. Chama kikubwa kama ccm kiogope kelele za Polepole kweli?. Basi ccm itakuwa na mengi ya kujifunza kuhusu demokrasia ya ndani ya chama kutoka kwa chadema kama inaogopa kelele za Plolepole.
Issue hapa sio kumuogopa au demokrasia, vyama vina utaratibu wa kukosoana kwenye vikao vyao ila wakitoka nje unatakiwa ukubaliane na wengi mabishano yanaishia ndani tu. Ukianza kelele nje unampa adui nguvu. Hata mke na mume tofauti zikiwa kubwa sana ni talaka. Huwezi kuwa unamsema mumeo nje kwa maadui zenu lakini unaishi naye kila siku. Polepole ni mwanachama tu na kila chama kina miko yake kama hukubaliani na wenzako unahama kwa wale unaokubaliana nao ndio maana ya chama.
 
Wakifanya hivyo chadema ni sawa ila Ccm wakifanya ni kukihuka mihiko? Matokeo ya demokrasia ni kukubali kusikiliza husiyotaka kusikiliza na ukabaki na amani.

Kama chama kinaona kakihuka mihiko kimjibu kikiona hamna haja kinyamaze. Lakini asitishiwe na wanachama wrnzake. Aachwe aelezee dukuduku lake, akiishiwa atanyamaza.
 
Mbona wewe mshrnzi unajikojolea kitandani na hujanyang'anywa godoro ulale kwenye chaga
 
Wakifanya hivyo chadema ni sawa ila Ccm wakifanya ni kukihuka mihiko? Matokeo ya demokrasia ni kukubali kusikiliza husiyotaka kusikiliza na ukabaki na amani.

Kama chama kinaona kakihuka mihiko kimjibu kikiona hamna haja kinyamaze. Lakini asitishiwe na wanachama wrnzake. Aachwe aelezee dukuduku lake, akiishiwa atanyamaza.
Maana ya chama ni nini? ni kundi la watu wenye itikidi moja wakipigania maslahi ya chama ili kutawala na kujiwekea misingi ya kujadiliana wasiyoafikiana ndani ya vikao vyao lakini wakitoka nje lao ni moja. Hakuna chama chochote duniani mwanachama kama polepole akaachwa. Sikubaliani na kumtishia kama maisha lakini kufukuzwa ni sawa maana huaminiki na wenzako.
 
Anaweza kuwapokonya nyinyi mkabaki hamna kadi sio wote wanafurahia ogopa watu wanaokaa kimya na kusemea pembeni wanafiki acha kabisa Kwenye ule mkutano Kibajaji alisema Mwenyekiti atoke nje tumjadili uliwaona walivyoshangilia ndo hao hao aliposema sitoki wakashangilia be careful hii Tanzania ni Zaidi uijuavyo alafu haina aja ya kumuogopa polepole ni mtu mdogo sasa kama ni mtu ambae hana mazara Oktoba tuna Tik
 
Maana ya chama ni nini? ni kundi la watu wenye itikidi moja wakipigania maslahi ya chama ili kutawala na kujiwekea misingi ya kujadiliana wasiyoafikiana ndani ya vikao vyao lakini wakitoka nje lao ni moja. Hakuna chama chochote duniani mwanachama kama polepole akaachwa. Sikubaliani na kumtishia kama maisha lakini kufukuzwa ni sawa maana huaminiki na wenzako.
Mbona juzi walipokuwa wanafanya wanachadema mlikuwa mnabariki inakuwaje kwa ccm?. Chama kuwa na ideological moja bado sio kigezo cha kushika mawazo ya watu yenye utofauti hasa katika suala la maamuzi.

Itikadi ya chama ni moja lakini wafuasi na waumini wa itikadi za chama hicho hawana akili moja, hawana fikra Moja, hawana muono mmoja na wala mtazamo mmoja. Mawazo tofauti ndani ya chama sio uhaini yaheshimiwe.
 
Friends and Our Enemies,

Chama Cha Mapinduzi,kwa moyo mmoja kimeamua kumteua Samia Suluhu Hassan kama Mgombea wa chama na Emanuel Nchimbi kama mgombea mwenza.

Wawili hao,wamepata ithibati na baraka ya chama kupeperusha bendera kuelekea uchaguzi mkuu oktoba mwaka huu.

Kama tujuavyo,kuna baadhi ya vyama wametoa msimamo wao wa kutoshiriki uchaguzi huo kwa kusema no reforms no election,huku wengine wakionesha kukubali kushiriki uchaguzi huo.

Pole pole,ametoroka kazini Guantanamo Cuba na kukimbilia nyumbani kisha kuingia rasmi kwenye kutoa kauli za kejeli na reja reja kwa mwenyekiti wa chama huku akisema wazi wazi kuwa mchakato wa chama wa kumpitisha mgombea urais na makamu wake ni batili na kwamba eti anasema hatoshi,na amesikika akisema nchi na chama ni kama vile haina mwenyewe hivi.

Hakika hayo na mengine mengi anayosema ni kukikua wazi wazi katiba ya chama na kuvunja heshima ya mamlaka ya juu ya chama.

Kesho ametangaza tena nia yake ya kuitisha mkutano na vyombo vya habari huku nia yake ni kuendelea na utaratibu wake ule ule wa kukibagaza chama.

Chama kinasubiri nini kumpokonya kadi yake ya chama na kumvua uanachama ili awe huru zaidi kukosoa kama mpinzani?

Kama yeye pole pole anasema CCM imepuyanga,nini kinachomfanya aendelee kubakia ndani ya chama.?na chama kinasusua nini kumuondoa huyu ndumi la kuwili..?
Kwani hiyo kadi ya chama huwa inatumika kutolea hela bank?
 
Kuna watu wana ulevi wa vyama kuliko uzalendo dah taifa hili litafika kwa kuchelewa sn.mtoa mada atakua mnufaika km sio ka baskeli
 
Back
Top Bottom