THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,873
- 15,267
Shida ya huyo Mjinga ni UdiniYaani ni kwamba mwanachama ukiwa na mtazamo tofauti, basi unatakiwa kuvuliwa uanachama na pia kufukuzwa kwenye chama!
Acheni udikteta wa kijinga. Nyinyi ni watu wa aina gani mnaopenda kusifiwa tu muda wote, hata kwenye mambo ya kipuuzi.
ni kweli mimi ni mdini,na dini yangu ni uislamShida ya huyo Mjinga ni Udini
Kesho anaenda kuanika Uchafu wa Aibu sana hadi utakimbia jf
Kumpokonya kadi na uanachama kutaondoa ukweli wa yanayosemwa dhidi ya chama ?!Friends and Our Enemies,
Chama Cha Mapinduzi,kwa moyo mmoja kimeamua kumteua Samia Suluhu Hassan kama Mgombea wa chama na Emanuel Nchimbi kama mgombea mwenza.
Wawili hao,wamepata ithibati na baraka ya chama kupeperusha bendera kuelekea uchaguzi mkuu oktoba mwaka huu.
Kama tujuavyo,kuna baadhi ya vyama wametoa msimamo wao wa kutoshiriki uchaguzi huo kwa kusema no reforms no election,huku wengine wakionesha kukubali kushiriki uchaguzi huo.
Pole pole,ametoroka kazini Guantanamo Cuba na kukimbilia nyumbani kisha kuingia rasmi kwenye kutoa kauli za kejeli na reja reja kwa mwenyekiti wa chama huku akisema wazi wazi kuwa mchakato wa chama wa kumpitisha mgombea urais na makamu wake ni batili na kwamba eti anasema hatoshi,na amesikika akisema nchi na chama ni kama vile haina mwenyewe hivi.
Hakika hayo na mengine mengi anayosema ni kukikua wazi wazi katiba ya chama na kuvunja heshima ya mamlaka ya juu ya chama.
Kesho ametangaza tena nia yake ya kuitisha mkutano na vyombo vya habari huku nia yake ni kuendelea na utaratibu wake ule ule wa kukibagaza chama.
Chama kinasubiri nini kumpokonya kadi yake ya chama na kumvua uanachama ili awe huru zaidi kukosoa kama mpinzani?
Kama yeye pole pole anasema CCM imepuyanga,nini kinachomfanya aendelee kubakia ndani ya chama.?na chama kinasusua nini kumuondoa huyu ndumi la kuwili..?
ndicho anachotafuta,ila ccm ni wajanja sana hawatampa hiyo nafasiFriends and Our Enemies,

mbona wanachama ndani ya chadema ambao wamekataa no reforms no election wamefukuzwa..?Demokrasia ndani ya chama iko wapi?. Chama kikubwa kama ccm kiogope kelele za Polepole kweli?. Basi ccm itakuwa na mengi ya kujifunza kuhusu demokrasia ya ndani ya chama kutoka kwa chadema kama inaogopa kelele za Plolepole.
Ngoja mpewe THE BIG SHOW kwanzaFriends and Our Enemies,
Chama Cha Mapinduzi,kwa moyo mmoja kimeamua kumteua Samia Suluhu Hassan kama Mgombea wa chama na Emanuel Nchimbi kama mgombea mwenza.
Wawili hao,wamepata ithibati na baraka ya chama kupeperusha bendera kuelekea uchaguzi mkuu oktoba mwaka huu.
Kama tujuavyo,kuna baadhi ya vyama wametoa msimamo wao wa kutoshiriki uchaguzi huo kwa kusema no reforms no election,huku wengine wakionesha kukubali kushiriki uchaguzi huo.
Pole pole,ametoroka kazini Guantanamo Cuba na kukimbilia nyumbani kisha kuingia rasmi kwenye kutoa kauli za kejeli na reja reja kwa mwenyekiti wa chama huku akisema wazi wazi kuwa mchakato wa chama wa kumpitisha mgombea urais na makamu wake ni batili na kwamba eti anasema hatoshi,na amesikika akisema nchi na chama ni kama vile haina mwenyewe hivi.
Hakika hayo na mengine mengi anayosema ni kukikua wazi wazi katiba ya chama na kuvunja heshima ya mamlaka ya juu ya chama.
Kesho ametangaza tena nia yake ya kuitisha mkutano na vyombo vya habari huku nia yake ni kuendelea na utaratibu wake ule ule wa kukibagaza chama.
Chama kinasubiri nini kumpokonya kadi yake ya chama na kumvua uanachama ili awe huru zaidi kukosoa kama mpinzani?
Kama yeye pole pole anasema CCM imepuyanga,nini kinachomfanya aendelee kubakia ndani ya chama.?na chama kinasusua nini kumuondoa huyu ndumi la kuwili..?
Hakuna ukweli wowote katika hayo anayoyasema.Kumpokonya kadi na uanachama kutaondoa ukweli wa yanayosemwa dhidi ya chama ?!
Kukubali ukweli hata kama ni dhidi sera za chama nako ni leadership. Siyo haya mambo ya kutetemesha wenye mawazo tofauti kupitia "wasiojulikana"
Waislam wote wangekuwa na akili kisoda kama hizi za kwako, basi Uislam ungechukiwa na kudharauliwa duniani kote. Bahati nzuri watu wa aina yako mko wachache sana.ni kweli mimi ni mdini,na dini yangu ni uislam
sasa wewe unaumizwa nini mimi nikiwa mdini?
Ukitaka niwe kafiri kama wewe?
Mtazamo tofauti ruksa,ila siyo kwa mtindo wa polepole,kama chama wanatakiwa kutoa mfano...kuna dharau iliyojificha ndani ya polepoleYaani ni kwamba mwanachama ukiwa na mtazamo tofauti, basi unatakiwa kuvuliwa uanachama na pia kufukuzwa kwenye chama!
Acheni udikteta wa kijinga. Nyinyi ni watu wa aina gani mnaopenda kusifiwa tu muda wote, hata kwenye mambo ya kipuuzi.
Wakati wa Jiwe uliufyata, sasa unapigania Uislam au CCM? Uko BAKWATA au CCM?ni kweli mimi ni mdini,na dini yangu ni uislam
sasa wewe unaumizwa nini mimi nikiwa mdini?
Ukitaka niwe kafiri kama wewe?
RubbishFriends and Our Enemies,
Chama Cha Mapinduzi,kwa moyo mmoja kimeamua kumteua Samia Suluhu Hassan kama Mgombea wa chama na Emanuel Nchimbi kama mgombea mwenza.
Wawili hao,wamepata ithibati na baraka ya chama kupeperusha bendera kuelekea uchaguzi mkuu oktoba mwaka huu.
Kama tujuavyo,kuna baadhi ya vyama wametoa msimamo wao wa kutoshiriki uchaguzi huo kwa kusema no reforms no election,huku wengine wakionesha kukubali kushiriki uchaguzi huo.
Pole pole,ametoroka kazini Guantanamo Cuba na kukimbilia nyumbani kisha kuingia rasmi kwenye kutoa kauli za kejeli na reja reja kwa mwenyekiti wa chama huku akisema wazi wazi kuwa mchakato wa chama wa kumpitisha mgombea urais na makamu wake ni batili na kwamba eti anasema hatoshi,na amesikika akisema nchi na chama ni kama vile haina mwenyewe hivi.
Hakika hayo na mengine mengi anayosema ni kukikua wazi wazi katiba ya chama na kuvunja heshima ya mamlaka ya juu ya chama.
Kesho ametangaza tena nia yake ya kuitisha mkutano na vyombo vya habari huku nia yake ni kuendelea na utaratibu wake ule ule wa kukibagaza chama.
Chama kinasubiri nini kumpokonya kadi yake ya chama na kumvua uanachama ili awe huru zaidi kukosoa kama mpinzani?
Kama yeye pole pole anasema CCM imepuyanga,nini kinachomfanya aendelee kubakia ndani ya chama.?na chama kinasusua nini kumuondoa huyu ndumi la kuwili..?
Vyovyote vile unavyoona wewe kafiri.Wakati wa Jiwe uliufyata, sasa unapigania Uislam au CCM? Uko BAKWATA au CCM?
Aliekuambia uislam unapendwa ni nani??Waislam wote wangekuwa na akili kisoda kama hizi za kwako, basi Uislam ungechukiwa na kudharauliwa duniani kote. Bahati nzuri watu wa aina yako mko wachache sana.
Wewe ni Mjinga, uzuri ni kwamba jf yote imekudharau vibaya sana!Vyovyote vile unavyoona wewe kafiri.
Kama hataki ahame chama,analalamika nini sasa.Anasema amepitishwa kihuni,