Kwahiyo wewe kafiri unaona JF ikikubali basi umeyapatia na unageuka kuwa jesus christ siyo?Wewe ni Mjinga, uzuri ni kwamba jf yote imekudharau vibaya sana!
Wanaamini huyu anayewalipa ataishi milele, Kwa sasa Nchi nzima imemkataa, ngoja tuone mwisho waoKwani Fisadi baba wa mafisadi Tz, Ayatollah wa mchongo wa Msoga anasemaje huko kwenye vyumba vyenu vya mikutano?
Sawa,ila akiondoka kwa kufukuzwa itape deza zaidi.CCM ni kubwa mno kuliko unavyofikiria. Polepole ataondoka mwenyewe bila kufukuzwa.
Naona anawapa kiburi na jeuriWanaamini huyu anayewalipa ataishi milele, Kwa sasa Nchi nzima imemkataa, ngoja tuone mwisho wao
Sasa kwanini unaumia Polepole kutoa maoni yake? Si awe na uhuru kama wa kwako wa kuchagua upande unaoutaka?ni kweli mimi ni mdini,na dini yangu ni uislam
sasa wewe unaumizwa nini mimi nikiwa mdini?
Ukitaka niwe kafiri kama wewe?
SawaCCM ni kubwa mno kuliko unavyofikiria. Polepole ataondoka mwenyewe bila kufukuzwa.
Yale siyo maoni,anachokifanya ni kuhujumu chamaSasa kwanini unaumia Polepole kutoa maoni yake? Si awe na uhuru kama wa kwako wa kuchagua upande unaoutaka?
Chadema imemfukuza nani? au kumvua uanachama nani?. Mtu anapata ujasiri wa kukishitaki chama mahakamani na bado ni mwanachama.mbona wanachama ndani ya chadema ambao wamekataa no reforms no election wamefukuzwa..?
Chama kimempitisha tayari mgombea na mgombea mwenza wa Uraisi kisha yeye anakuja mbele ya watu anasema hawafai,akitaka ateuliwe yeye?
Issue hapa sio kumuogopa au demokrasia, vyama vina utaratibu wa kukosoana kwenye vikao vyao ila wakitoka nje unatakiwa ukubaliane na wengi mabishano yanaishia ndani tu. Ukianza kelele nje unampa adui nguvu. Hata mke na mume tofauti zikiwa kubwa sana ni talaka. Huwezi kuwa unamsema mumeo nje kwa maadui zenu lakini unaishi naye kila siku. Polepole ni mwanachama tu na kila chama kina miko yake kama hukubaliani na wenzako unahama kwa wale unaokubaliana nao ndio maana ya chama.Demokrasia ndani ya chama iko wapi?. Chama kikubwa kama ccm kiogope kelele za Polepole kweli?. Basi ccm itakuwa na mengi ya kujifunza kuhusu demokrasia ya ndani ya chama kutoka kwa chadema kama inaogopa kelele za Plolepole.
Wakifanya hivyo chadema ni sawa ila Ccm wakifanya ni kukihuka mihiko? Matokeo ya demokrasia ni kukubali kusikiliza husiyotaka kusikiliza na ukabaki na amani.Issue hapa sio kumuogopa au demokrasia, vyama vina utaratibu wa kukosoana kwenye vikao vyao ila wakitoka nje unatakiwa ukubaliane na wengi mabishano yanaishia ndani tu. Ukianza kelele nje unampa adui nguvu. Hata mke na mume tofauti zikiwa kubwa sana ni talaka. Huwezi kuwa unamsema mumeo nje kwa maadui zenu lakini unaishi naye kila siku. Polepole ni mwanachama tu na kila chama kina miko yake kama hukubaliani na wenzako unahama kwa wale unaokubaliana nao ndio maana ya chama.
Maana ya chama ni nini? ni kundi la watu wenye itikidi moja wakipigania maslahi ya chama ili kutawala na kujiwekea misingi ya kujadiliana wasiyoafikiana ndani ya vikao vyao lakini wakitoka nje lao ni moja. Hakuna chama chochote duniani mwanachama kama polepole akaachwa. Sikubaliani na kumtishia kama maisha lakini kufukuzwa ni sawa maana huaminiki na wenzako.Wakifanya hivyo chadema ni sawa ila Ccm wakifanya ni kukihuka mihiko? Matokeo ya demokrasia ni kukubali kusikiliza husiyotaka kusikiliza na ukabaki na amani.
Kama chama kinaona kakihuka mihiko kimjibu kikiona hamna haja kinyamaze. Lakini asitishiwe na wanachama wrnzake. Aachwe aelezee dukuduku lake, akiishiwa atanyamaza.
Mbona juzi walipokuwa wanafanya wanachadema mlikuwa mnabariki inakuwaje kwa ccm?. Chama kuwa na ideological moja bado sio kigezo cha kushika mawazo ya watu yenye utofauti hasa katika suala la maamuzi.Maana ya chama ni nini? ni kundi la watu wenye itikidi moja wakipigania maslahi ya chama ili kutawala na kujiwekea misingi ya kujadiliana wasiyoafikiana ndani ya vikao vyao lakini wakitoka nje lao ni moja. Hakuna chama chochote duniani mwanachama kama polepole akaachwa. Sikubaliani na kumtishia kama maisha lakini kufukuzwa ni sawa maana huaminiki na wenzako.
Kwani hiyo kadi ya chama huwa inatumika kutolea hela bank?Friends and Our Enemies,
Chama Cha Mapinduzi,kwa moyo mmoja kimeamua kumteua Samia Suluhu Hassan kama Mgombea wa chama na Emanuel Nchimbi kama mgombea mwenza.
Wawili hao,wamepata ithibati na baraka ya chama kupeperusha bendera kuelekea uchaguzi mkuu oktoba mwaka huu.
Kama tujuavyo,kuna baadhi ya vyama wametoa msimamo wao wa kutoshiriki uchaguzi huo kwa kusema no reforms no election,huku wengine wakionesha kukubali kushiriki uchaguzi huo.
Pole pole,ametoroka kazini Guantanamo Cuba na kukimbilia nyumbani kisha kuingia rasmi kwenye kutoa kauli za kejeli na reja reja kwa mwenyekiti wa chama huku akisema wazi wazi kuwa mchakato wa chama wa kumpitisha mgombea urais na makamu wake ni batili na kwamba eti anasema hatoshi,na amesikika akisema nchi na chama ni kama vile haina mwenyewe hivi.
Hakika hayo na mengine mengi anayosema ni kukikua wazi wazi katiba ya chama na kuvunja heshima ya mamlaka ya juu ya chama.
Kesho ametangaza tena nia yake ya kuitisha mkutano na vyombo vya habari huku nia yake ni kuendelea na utaratibu wake ule ule wa kukibagaza chama.
Chama kinasubiri nini kumpokonya kadi yake ya chama na kumvua uanachama ili awe huru zaidi kukosoa kama mpinzani?
Kama yeye pole pole anasema CCM imepuyanga,nini kinachomfanya aendelee kubakia ndani ya chama.?na chama kinasusua nini kumuondoa huyu ndumi la kuwili..?