super hero1
JF-Expert Member
- Jul 27, 2024
- 2,339
- 1,888
Kama hajarudi nchini je??Friends and Our Enemies,
Chama Cha Mapinduzi,kwa moyo mmoja kimeamua kumteua Samia Suluhu Hassan kama Mgombea wa chama na Emanuel Nchimbi kama mgombea mwenza.
Wawili hao,wamepata ithibati na baraka ya chama kupeperusha bendera kuelekea uchaguzi mkuu oktoba mwaka huu.
Kama tujuavyo,kuna baadhi ya vyama wametoa msimamo wao wa kutoshiriki uchaguzi huo kwa kusema no reforms no election,huku wengine wakionesha kukubali kushiriki uchaguzi huo.
Pole pole,ametoroka kazini Guantanamo Cuba na kukimbilia nyumbani kisha kuingia rasmi kwenye kutoa kauli za kejeli na reja reja kwa mwenyekiti wa chama huku akisema wazi wazi kuwa mchakato wa chama wa kumpitisha mgombea urais na makamu wake ni batili na kwamba eti anasema hatoshi,na amesikika akisema nchi na chama ni kama vile haina mwenyewe hivi.
Hakika hayo na mengine mengi anayosema ni kukikua wazi wazi katiba ya chama na kuvunja heshima ya mamlaka ya juu ya chama.
Kesho ametangaza tena nia yake ya kuitisha mkutano na vyombo vya habari huku nia yake ni kuendelea na utaratibu wake ule ule wa kukibagaza chama.
Chama kinasubiri nini kumpokonya kadi yake ya chama na kumvua uanachama ili awe huru zaidi kukosoa kama mpinzani?
Kama yeye pole pole anasema CCM imepuyanga,nini kinachomfanya aendelee kubakia ndani ya chama.?na chama kinasusua nini kumuondoa huyu ndumi la kuwili..?
Chama chetu haturuhisiwi kukosoana..?Friends and Our Enemies,

Uislamu umekupofusha na kukufanya kuwa mithili ya mwehuni kweli mimi ni mdini,na dini yangu ni uislam
sasa wewe unaumizwa nini mimi nikiwa mdini?
Ukitaka niwe kafiri kama wewe?
Hivi waliopinga u catholic walifanya nini? waliondoka nakuanzisha makanisa yao bila shida. Mkiwa na itikadi moja inabidi usupport hayo mawazo mbadala unayapigania ndani ya chama sio unaenda kuungana na adui wa chama. Mwanajeshi akienda nje ya mfumo na kutoa siri kwa adui huyo ni mhaini lakini akikataa kupigana vita hukumu tofauti kimya.Mbona juzi walipokuwa wanafanya wanachadema mlikuwa mnabariki inakuwaje kwa ccm?. Chama kuwa na ideological moja bado sio kigezo cha kushika mawazo ya watu yenye utofauti hasa katika suala la maamuzi.
Itikadi ya chama ni moja lakini wafuasi na waumini wa itikadi za chama hicho hawana akili moja, hawana fikra Moja, hawana muono mmoja na wala mtazamo mmoja. Mawazo tofauti ndani ya chama sio uhaini yaheshimiwe.
Kimemteua kwa kufata katiba gani?Friends and Our Enemies,
Chama Cha Mapinduzi,kwa moyo mmoja kimeamua kumteua Samia Suluhu Hassan kama Mgombea wa chama na Emanuel Nchimbi kama mgombea mwenza.
Wawili hao,wamepata ithibati na baraka ya chama kupeperusha bendera kuelekea uchaguzi mkuu oktoba mwaka huu.
Kama tujuavyo,kuna baadhi ya vyama wametoa msimamo wao wa kutoshiriki uchaguzi huo kwa kusema no reforms no election,huku wengine wakionesha kukubali kushiriki uchaguzi huo.
Pole pole,ametoroka kazini Guantanamo Cuba na kukimbilia nyumbani kisha kuingia rasmi kwenye kutoa kauli za kejeli na reja reja kwa mwenyekiti wa chama huku akisema wazi wazi kuwa mchakato wa chama wa kumpitisha mgombea urais na makamu wake ni batili na kwamba eti anasema hatoshi,na amesikika akisema nchi na chama ni kama vile haina mwenyewe hivi.
Hakika hayo na mengine mengi anayosema ni kukikua wazi wazi katiba ya chama na kuvunja heshima ya mamlaka ya juu ya chama.
Kesho ametangaza tena nia yake ya kuitisha mkutano na vyombo vya habari huku nia yake ni kuendelea na utaratibu wake ule ule wa kukibagaza chama.
Chama kinasubiri nini kumpokonya kadi yake ya chama na kumvua uanachama ili awe huru zaidi kukosoa kama mpinzani?
Kama yeye pole pole anasema CCM imepuyanga,nini kinachomfanya aendelee kubakia ndani ya chama.?na chama kinasusua nini kumuondoa huyu ndumi la kuwili..?
Kuwa na huruma katika hili Taifa USIWE KAMA LUCAS MWAMSHAMBA kujipendekezaFriends and Our Enemies,

Mwambieni kada wenu afande Faustine Mafwele amteke kisha akamtupe mto Rufiji aliwe na mamba , mbona wengine anawafanyia hivyo kila siku.Friends and Our Enemies,
Chama Cha Mapinduzi,kwa moyo mmoja kimeamua kumteua Samia Suluhu Hassan kama Mgombea wa chama na Emanuel Nchimbi kama mgombea mwenza.
Wawili hao,wamepata ithibati na baraka ya chama kupeperusha bendera kuelekea uchaguzi mkuu oktoba mwaka huu.
Kama tujuavyo,kuna baadhi ya vyama wametoa msimamo wao wa kutoshiriki uchaguzi huo kwa kusema no reforms no election,huku wengine wakionesha kukubali kushiriki uchaguzi huo.
Pole pole,ametoroka kazini Guantanamo Cuba na kukimbilia nyumbani kisha kuingia rasmi kwenye kutoa kauli za kejeli na reja reja kwa mwenyekiti wa chama huku akisema wazi wazi kuwa mchakato wa chama wa kumpitisha mgombea urais na makamu wake ni batili na kwamba eti anasema hatoshi,na amesikika akisema nchi na chama ni kama vile haina mwenyewe hivi.
Hakika hayo na mengine mengi anayosema ni kukikua wazi wazi katiba ya chama na kuvunja heshima ya mamlaka ya juu ya chama.
Kesho ametangaza tena nia yake ya kuitisha mkutano na vyombo vya habari huku nia yake ni kuendelea na utaratibu wake ule ule wa kukibagaza chama.
Chama kinasubiri nini kumpokonya kadi yake ya chama na kumvua uanachama ili awe huru zaidi kukosoa kama mpinzani?
Kama yeye pole pole anasema CCM imepuyanga,nini kinachomfanya aendelee kubakia ndani ya chama.?na chama kinasusua nini kumuondoa huyu ndumi la kuwili..?
Dini ni dini na siasa ni siasa. Kuwa na itikadi moja sio kigezo cha Kuona kupinda pinda kwa kitu fulani ukanyamaza kisa tu mpo chini ya mwamvuli mmoja wa itikadi.Hivi waliopinga u catholic walifanya nini? waliondoka nakuanzisha makanisa yao bila shida. Mkiwa na itikadi moja inabidi usupport hayo mawazo mbadala unayapigania ndani ya chama sio unaenda kuungana na adui wa chama. Mwanajeshi akienda nje ya mfumo na kutoa siri kwa adui huyo ni mhaini lakini akikataa kupigana vita hukumu tofauti kimya.
Polepole anachezea sharubu za simba aliepiga usingizi.Hakuna ukweli wowote katika hayo anayoyasema.
Yule ni mzandiki ambae amekosa nafasi ndani ya chama na anaona future yake ikienda ukingoni.
Kafir kwani amekuf.ra lini mkuu?!ni kweli mimi ni mdini,na dini yangu ni uislam
sasa wewe unaumizwa nini mimi nikiwa mdini?
Ukitaka niwe kafiri kama wewe?
Paradise siyo sokoni hata uende kwa miguu.ni kweli mimi ni mdini,na dini yangu ni uislam