Uchaguzi 2020 Ushauri wa bure kwa John Mnyika kuhusu mzabuni wa NEC

Zoezi la kupiga kura hufanyika siku moja kila baada ya miaka 5. Mnaona ugumu gani kuliweka wazi badala ya kufanya mambo gizani?
 
My God kuna watu hawaelewi tofuti kati ya taasisi ya umma na chama cha siasa? Taasisi ya umma inatakiwa kisheria kufanya michakato yote inayohusisha fedha za umma wazi kwa umma. Chama siasa kitahusisha wanachama wake. Je unafahamu hatari ya kuficha mchakato wa manunuzi katika uchaguzi wa umma?
 
Kwahiyo wanachama sio Umma?
 
Unguli upi mnakosea kila wakati na kila mahali?
 
Sasa unatutajia maporn star wa nini hapa?
Huoni aibu? amstadam??
 
Chadema wameamua kujipambanua kama cha walalamishi na wapingaji kila kitu.. Chama cha hovyo kabisa kwa siku za karibuni
 
Utakuwa Pm soma kinyume nyume hiyo abbreviation , manake sio kwa ukali huu ulionao, unafoka foka tu!
 
Mkuu mi nachokushauri huo ushauri wako wa bure kesho asubuhi ukiamka uwape kuku wako huo ushauri maana ndo unawafaa
Kumbe akili ndogo namna hii? Una uwezo wa kuwasiliana na Kuku wewe?
Hebu tupe namna unayotumia!
Gongo mbaya!
 
Waambie TUME ya uchaguzi waache kuishi kizee karne hii, wana tovuti, basi taarifa wawe wanawek taarifa. Manunuzi ya umma kwa fedha ya wananchi, waambie Tume waweke taarifa hizo na sio kutaka mtu mmoja mmoja kuzifuata ofisini kama unavyotaka kushauri.
Umewahi kuperuzi tovuti yao?
 
tume kukataa kutoa orodha ya wapiga kura ni wazi kwamba karatasi za jamana zitatumika kuwabeba ccm.
Mbona unaandika mambo ya kufikirika?
Lini ilikataa kutoa majina?
Mngekuwa kimya mpaka leo?
 
Acha vitisho. ..ahame aende wap tena kwa sabab ipi
Mkuu, umeanzisha Uzi kumshauri nani? Chama kinajua kila kitu, hujui ktk chama hicho kuna nguli was sheria na diplomasia? Basi vumilia kidogo majibu yao, usipokuwa makini utahama jf!
Wewe una uwezo wa kunihamisha Mimi hapa?
Kwa sifa zipi hasa?
Unajisifu na nguo nzuri kisa umenunua bei kubwa?
Wenzio wanatizama ubora.
Nguli???[emoji706]
 
Sijui ni kwa nini makada wa CCM huwa wanachokonoka kama pweza pale watu makini wanapohoji juu ya taratibu kufuatwa. Mtu mwenye weledi na maadili mema akihoji tu kitu kwa nia njema, utawaona jinsi wanavyoanza kukereka kwa kuwa uendeshaji wa shughuli zao umejaa ubabaishaji mkubwa na makandokando mengi.

Jambo kama limeendeshwa kupitia mchakato uliokuwa wazi, basi taarifa yake inapaswa kuwa wazi kwa umma. Sasa hizi akili za kiCCM za utetezi wenye kumtaka Mnyika aende yeye binafsi kupata habari, sijui hata mantiki yake ni nini hasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…