Uchaguzi 2020 Ushauri wa bure kwa John Mnyika kuhusu mzabuni wa NEC

Hakuna chama cha hovyo kabisa kama CHADEMA. Wameona maji yamewakaba kooni sasa wanaleta visingizio. Tulieni dawa ikolee, mnarukaruka nini..
Kwa taarifa yako hata udiwani hutopata we jifanye msukule tu!!
 
Uchaguzi 2020 - NEC yafafanua Upotoshaji kuhusu Karatasi za kupiga kura Uchaguzi Mkuu 2020
 
Mbona suala hili liliandikwa siku nyingi?! Mimi binafsi nilisoma kwenye gazeti siku nyingi mno....ila kwa Mnyika na Chadema ipo shida...bado wiki mbili kupiga kura halafu eti Katibu Mkuu wa Chama tena basi kinachodaiwa ni kikubwa Cha upinzani anakurupuka na kuanza kuhoji karatasi za kura huoni kuwa Kuna tatizo hapo?! Kuna viongozi kweli hapo?! Wiki mbili kabla ya kura unaanza kuhoji suala la karatasi za kura na mzabuni?! Duh...Kuna umakini kweli hapo?!
 
Mbona suala hili liliandikwa siku nyingi?! Mimi binafsi nilisoma kwenye gazeti siku nyingi mno....ila kwa Mnyika na Chadema ipo shida. Bado wiki mbili kupiga kura halafu eti Katibu Mkuu wa Chama tena basi kinachodaiwa ni kikubwa Cha upinzani anakurupuka na kuanza kuhoji karatasi za kura huoni kuwa Kuna tatizo hapo?!

Kuna viongozi kweli hapo?! Wiki mbili kabla ya kura unaanza kuhoji suala la karatasi za kura na mzabuni?! Duh...Kuna umakini kweli hapo?! Yaani mtu wa kijiweni Cha kahawa ndiye alipaswa kuhoji wakati huu....ni aibu kwa kweli...ni wazi kuwa chadema imeingiliwa.

Kuna watu wanawapenyezea habari za uzushi na uongo ili kuwachafua na wao wananaswa kwenye mtego kiulaini..
 
Hawasomi!
 
Umetoa ushauri mzuri Sana Kama Wana akili nzuri wataufanyia kazi lakini vinginevyo wataendelea na kelele zao za kudanganya wananchi lakini wengi tumeshawashtukia
 

Uko sahihi japo ww sio umesoma bali nyie ndio wahusika wenyewe. Mimi nilisikia habari hizo ila kwa sauti ya chini sana, sio kama matangazo ya kudai kodi au yale ya kuwakomoa wapinzani. Maana yanapokuwa matangazo ya kuwakomoa wapinzani matangazo yake huwa ya juu sana kuliko hayo.
 
Habari iliandikwa kwenye East African
 
Mkuu, umeanzisha Uzi kumshauri nani? Chama kinajua kila kitu, hujui ktk chama hicho kuna nguli was sheria na diplomasia? Basi vumilia kidogo majibu yao, usipokuwa makini utahama jf!
Mapepooo,,,, POWER msomi anayejiona na kutamba ati yeye ni msomi wakati hata law firm hana wako watu wamesoma sheria hadi PhD lkn hawatambi kuliko yeye mwenye kadigree mfyuuu
Ni msomi kwa hao maamuma wanaomzunguka!!!
 
Mimi naona kwa uchaguzi wapinzani wasijilauu kwani magufuli amechaguliwa na wananchi ikiwa wameona kazi yake ikiwa ni pamoja na kuzifanyia kazi hoja za wapinzani ili kuleta maendeleo kwa watanzania so we need to support him moral and material for positive result , maendeleo hayna chama.
 
Watu mna roho ngumu,
Raia wa kawaida kumuita rais inahitaji kipaji.
 
You are a disgrace to this beatiful country
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…