Ushauri wa bure kwa Mbowe: Jipange, 2025 ni wakati wako

SHILLINGS

Senior Member
Joined
Oct 24, 2013
Posts
160
Reaction score
648
Kamanda Freeman Aikael Mbowe tayari una-stronghold mbili za kisiasa: Kaskazini na Nyanda za juu Kusini. Kanda ya ziwa ka-boost kidogo Mama kashalegea. Pwani hawaeleweki. Wewe kwa sasa ni above 60 na umekomaa na kuiva haswa kwenye siasa za mapambano na uongozi.

Kuna options mbili:
  • Either CCM watoke madarakani kwa kura au
  • Serikali ya mseto
Nguvu unayo, ushawishi unao. Una hekima na busara. Kwa wazee upo, kwa vijana upo, kwa wakina Mama legeza lugha kidogo watakuelewa. Communication skills unazo za kutosha. Zile lugha kali kali za kikamanda wakati wake umepita. Ule muda wa siasa za kikamanda dhidi ya jiwe umepita. Kaskazini, Kusini, Magharibi na Mashariki wote unawahitaji.

Kazia hovyohivyo kwa mapigo yako ya Kiprezidaa tangu utoke jela. Unanifurahisha sana Mjomba. Acha kulialia kuhusu Kaskazini tayari kura zako zipo. Maumivu ya JPM yasikupotezee focus. No hate, No fear, songa mbele. CCM wana silaha moja tu ya kukushambulia, kabila lako, ni mchaga na wachaga ni wabaguzi. Track record yako itakubeba kwenye hili.

Ongea kama president, let's hoja za kitaifa. Sawa Mjomba! Ni hayo tu.
IMG-20220330-WA0040.jpg
IMG-20220325-WA0045.jpg

IMG-20220325-WA0021.jpg
 
Na atakapoingia IKULU pia mtakuwa mkinfundisha jinsi ya kuishi kama Raisi?

Jinsi ya kuwahudumia wa kusini na kaskazini na kwingineko kwa mujibu wa updates zenu?

Presentation ya urais ni karama ya Mungu na haiji kwa kufundishwa mitandaoni.
 
Ana kale ka ugonjwa wa 'sisi wa kaskazini' tumeonewa sana awamu fulani. Huwezi kusikia Mtwara na Lindi wakilalamika kama wao kwa issue ya korosho, huwezi kusikia Kagera wakilalamika kama wao kwa mchango wa tetemeko. Huko kwingine utasikia tulionewa tulionewa.

Ili CHADEMA ipate agenda ni vizuri Mbowe akae pembeni m/kiti atokee Kanda tofauti na Kaskazini'.
 
Mudaa utaongeaaa japo sioni ccm ikitokaa madarakan kwa miakaa 50 mbelee bd km tz tuna kazi yakuiondoaa ccm madarakan ,JAPO NI KAZI .
 
Atleast wewe leo umejaribu kuiangalia 2025 kwa jicho la tatu, ni kweli huyu dada aliyepo sasa hakubaliki na hata wenzie ndani ya chama wanampaka mafuta tu (haehishimiwi kabisa).

Pamoja na kwamba hakubaliki bado huko upinzani hakueleweki kabisa, kila ikipiga picha ya nani anastahili hauoni. Labda MBOWE this time, lakini Lissu hapana kwakweli.
 
Mbowe akiwa Rais mimi nitakuwa mmoja wa watu ambao nitaingia msituni kumng'oa madarakani. Hatuwezi kuongozwa na mdini, mkabila na mpenda siasa za ukanda na Visasi.

MIMI NITAINGIA MSITUNI IKIWA MBOWE ATAKUWA RAIS, SIWEZI KUCHEZEA UHURU WANGU HATA SIKU MOJA.
 
Kamanda Freeman Aikael Mbowe tayari una-stronghold mbili za kisiasa: Kaskazini na Nyanda za juu Kusini. Kanda ya ziwa ka-boost kidogo Mama kashalegea. Pwani hawaeleweki. Wewe kwa sasa ni above 60 na umekomaa na kuiva haswa kwenye siasa za mapambano na uongozi.

Kuna options mbili:
  • Either CCM watoke madarakani kwa kura au
  • Serikali ya mseto

Nguvu unayo, ushawishi unao. Una hekima na busara. Kwa wazee upo, kwa vijana upo, kwa wakina Mama legeza lugha kidogo watakuelewa. Communication skills unazo za kutosha. Zile lugha kali kali za kikamanda wakati wake umepita. Ule muda wa siasa za kikamanda dhidi ya jiwe umepita. Kaskazini, Kusini, Magharibi na Mashariki wote unawahitaji.

Kazia hovyohivyo kwa mapigo yako ya Kiprezidaa tangu utoke jela. Unanifurahisha sana Mjomba. Acha kulialia kuhusu Kaskazini tayari kura zako zipo. Maumivu ya JPM yasikupotezee focus. No hate, No fear, songa mbele. CCM wana silaha moja tu ya kukushambulia, kabila lako, ni mchaga na wachaga ni wabaguzi. Track record yako itakubeba kwenye hili.

Ongea kama president, let's hoja za kitaifa. Sawa Mjomba!!! Ni hayo tu.
Unampoteza maboya mazima kabisa huyo Chagga Democratic Party. Kanda ya ziwa wala asithubutu hata kugusa maana kamhumu hayati JPM kwa uzushi na uzandiki, kamdhalilisha eti Magufuli aliwachukia Kilimanjaro na Arusha is he serious? Kesi yake ya ugaidi nani alimkamata na kumfungulia mashitaka ni 5th phase au 6th phase? Kwanini majaladi ya kesi yana utata moja likisema Agosti 2020 lingine Julai 2021?

Chuki alizozionesha wakati akizunguka huko na kule akimtuhumu, kumdhalilisha na kumsikngizia hayati JPM hazitamwacha salama kamwe.

Hakuna mwanasiasa jasiri kwa sasa hapo Tanzania mwenye ubavu kukabuiliana na kilichoshindikana kwenye jamii na akwa tayari kufa kwa ajili hiyo. Huyo kakaa miezi kadhaa tu kwenye selo za kubembeklezwa Ukonga bila kukabiliwa ilivyo na wafanyabiashara wenye nguvu dhidi ya maamuzi yake.

Ikulu ataisikia kwenye radio za Machame; mabadiliko yatafanyika kwenye utawala huu lakini sio kupitia huyo jamaa he has crucified himself for his crap rhetoric

The next political era in Tanzania shall be unexpectedly submerged and history re-written to prove everybody's prediction wrong
 
Huku lingusenguse toka uhuru ni Mbunge wa ccm tu na hakuna hata legacy iliyoachwa na wabunge wa Chama dola na after all wametawala Tanzania [emoji1241] more than 60yrs nini cha kujivunia?ujinga umasikini na maradhi bado yapo na sasa yameungana na uncle wao anayeitwa rushwa
Huko America hakuna Magonjwa?

Huko America hakuna ujinga?

Huko America hakuna umaskini?

Je ndani ya uhai wa Chadema 30 yrs older..ni nini Legacy yake nchini?

Kupanga ofisi Kinondoni na kufanyia mikutano hoteli za kitalii?

Au kuvunja rekodi za ususiaji wa vikao Tanzania.

Iwe vya bunge la katiba, bunge la Bajeti au vikao vya TCD au chaguzi serikali zamitaa....nyinyi ni wazee wa kususa tuuu

What [emoji15]!
 
Mbowe akiwa Rais mimi nitakuwa mmoja wa watu ambao nitaingia msituni kumng'oa madarakani. Hatuwezi kuongozwa na mdini, mkabila na mpenda siasa za ukanda na Visasi.

MIMI NITAINGIA MSITUNI IKIWA MBOWE ATAKUWA RAIS, SIWEZI KUCHEZEA UHURU WANGU HATA SIKU MOJA.
@Cardless unaujua msitu wewe? sema utaingia kichakani kujisaidia ila angalia usichambie upupu.
 
Kamanda Freeman Aikael Mbowe tayari una-stronghold mbili za kisiasa: Kaskazini na Nyanda za juu Kusini. Kanda ya ziwa ka-boost kidogo Mama kashalegea. Pwani hawaeleweki. Wewe kwa sasa ni above 60 na umekomaa na kuiva haswa kwenye siasa za mapambano na uongozi.

Kuna options mbili:
  • Either CCM watoke madarakani kwa kura au
  • Serikali ya mseto

Nguvu unayo, ushawishi unao. Una hekima na busara. Kwa wazee upo, kwa vijana upo, kwa wakina Mama legeza lugha kidogo watakuelewa. Communication skills unazo za kutosha. Zile lugha kali kali za kikamanda wakati wake umepita. Ule muda wa siasa za kikamanda dhidi ya jiwe umepita. Kaskazini, Kusini, Magharibi na Mashariki wote unawahitaji.

Kazia hovyohivyo kwa mapigo yako ya Kiprezidaa tangu utoke jela. Unanifurahisha sana Mjomba. Acha kulialia kuhusu Kaskazini tayari kura zako zipo. Maumivu ya JPM yasikupotezee focus. No hate, No fear, songa mbele. CCM wana silaha moja tu ya kukushambulia, kabila lako, ni mchaga na wachaga ni wabaguzi. Track record yako itakubeba kwenye hili.

Ongea kama president, let's hoja za kitaifa. Sawa Mjomba!!! Ni hayo tu.
Una hoja sn Kaskazini na Ziwa wote ni Mbowe, Pwani ni waswahili hao
 
Huko America hakuna Magonjwa?

Huko America hakuna ujinga?

Huko America hakuna umaskini?

Je ndani ya uhai wa Chadema 30 yrs older..ni nini Legacy yake nchini?

Kupanga ofisi Kinondoni na kufanyia mikutano hoteli za kitalii?

Au kuvunja rekodi za ususiaji wa vikao Tanzania.

Iwe vya bunge la katiba, bunge la Bajeti au vikao vya TCD au chaguzi serikali zamitaa....nyinyi ni wazee wa kususa tuuu

What [emoji15]!
CHADEMA si imekufa mbona bado mnaiwaza?
 
Sasa Lissu ambaye 2025 atakapohakikishiwa ulinzi naye atarudi kugombea tunafanyaje...
 
Huko America hakuna Magonjwa?

Huko America hakuna ujinga?

Huko America hakuna umaskini?

Je ndani ya uhai wa Chadema 30 yrs older..ni nini Legacy yake nchini?

Kupanga ofisi Kinondoni na kufanyia mikutano hoteli za kitalii?

Au kuvunja rekodi za ususiaji wa vikao Tanzania.

Iwe vya bunge la katiba, bunge la Bajeti au vikao vya TCD au chaguzi serikali zamitaa....nyinyi ni wazee wa kususa tuuu

What [emoji15]!
Kumbe ninajadiliana na mpumbavu hapa!ninakubaliana na yote hapo juu, kudos 👏 👌
 
Kamanda Freeman Aikael Mbowe tayari una-stronghold mbili za kisiasa: Kaskazini na Nyanda za juu Kusini. Kanda ya ziwa ka-boost kidogo Mama kashalegea. Pwani hawaeleweki. Wewe kwa sasa ni above 60 na umekomaa na kuiva haswa kwenye siasa za mapambano na uongozi.

Kuna options mbili:
  • Either CCM watoke madarakani kwa kura au
  • Serikali ya mseto

Nguvu unayo, ushawishi unao. Una hekima na busara. Kwa wazee upo, kwa vijana upo, kwa wakina Mama legeza lugha kidogo watakuelewa. Communication skills unazo za kutosha. Zile lugha kali kali za kikamanda wakati wake umepita. Ule muda wa siasa za kikamanda dhidi ya jiwe umepita. Kaskazini, Kusini, Magharibi na Mashariki wote unawahitaji.

Kazia hovyohivyo kwa mapigo yako ya Kiprezidaa tangu utoke jela. Unanifurahisha sana Mjomba. Acha kulialia kuhusu Kaskazini tayari kura zako zipo. Maumivu ya JPM yasikupotezee focus. No hate, No fear, songa mbele. CCM wana silaha moja tu ya kukushambulia, kabila lako, ni mchaga na wachaga ni wabaguzi. Track record yako itakubeba kwenye hili.

Ongea kama president, let's hoja za kitaifa. Sawa Mjomba!!! Ni hayo tu.
Endelea kuota jombaa!!
 
Mbowe akiwa Rais mimi nitakuwa mmoja wa watu ambao nitaingia msituni kumng'oa madarakani. Hatuwezi kuongozwa na mdini, mkabila na mpenda siasa za ukanda na Visasi.

MIMI NITAINGIA MSITUNI IKIWA MBOWE ATAKUWA RAIS, SIWEZI KUCHEZEA UHURU WANGU HATA SIKU MOJA.
Ila na nyie ndugu yenu katika imani akiwa madarakani mnawehuka. Awamu iliyopita ulikuwa una support chadema, Ila Sasa kwa kuwa......
 
Back
Top Bottom