Ushauri wa bure kwa Mbowe: Jipange, 2025 ni wakati wako

Atleast wewe leo umejaribu kuiangalia 2025 kwa jicho la tatu, ni kweli huyu dada aliyepo sasa hakubaliki na hata wenzie ndani ya chama wanampaka mafuta tu (haehishimiwi kabisa).

Pamoja na kwamba hakubaliki bado huko upinzani hakueleweki kabisa, kila ikipiga picha ya nani anastahili hauoni. Labda MBOWE this time, lakini Lissu hapana kwakweli.
Mbowe ndio anafaa zaidi 2025 kuliko wagombea wa kufikirika kutoka vyama vya upinzani
 
Kamanda Freeman Aikael Mbowe tayari una-stronghold mbili za kisiasa: Kaskazini na Nyanda za juu Kusini. Kanda ya ziwa ka-boost kidogo Mama kashalegea. Pwani hawaeleweki. Wewe kwa sasa ni above 60 na umekomaa na kuiva haswa kwenye siasa za mapambano na uongozi.

Kuna options mbili:
  • Either CCM watoke madarakani kwa kura au
  • Serikali ya mseto
Nguvu unayo, ushawishi unao. Una hekima na busara. Kwa wazee upo, kwa vijana upo, kwa wakina Mama legeza lugha kidogo watakuelewa. Communication skills unazo za kutosha. Zile lugha kali kali za kikamanda wakati wake umepita. Ule muda wa siasa za kikamanda dhidi ya jiwe umepita. Kaskazini, Kusini, Magharibi na Mashariki wote unawahitaji.

Kazia hovyohivyo kwa mapigo yako ya Kiprezidaa tangu utoke jela. Unanifurahisha sana Mjomba. Acha kulialia kuhusu Kaskazini tayari kura zako zipo. Maumivu ya JPM yasikupotezee focus. No hate, No fear, songa mbele. CCM wana silaha moja tu ya kukushambulia, kabila lako, ni mchaga na wachaga ni wabaguzi. Track record yako itakubeba kwenye hili.

Ongea kama president, let's hoja za kitaifa. Sawa Mjomba! Ni hayo tu.
Majambazi waliotumiwa na Magufuli 2020 ndio hao watatumika 2025 kuibakiza serikali ya mafisadi wa Ccm madarakani.
 
Ana kale ka ugonjwa wa 'sisi wa kaskazini' tumeonewa sana awamu fulani. Huwezi kusikia Mtwara na Lindi wakilalamika kama wao kwa issue ya korosho, huwezi kusikia Kagera wakilalamika kama wao kwa mchango wa tetemeko. Huko kwingine utasikia tulionewa tulionewa.

Ili CHADEMA ipate agenda ni vizuri Mbowe akae pembeni m/kiti atokee Kanda tofauti na Kaskazini'.
Regionalism ni ugonjwa wa watu wengi.
 
Mbowe akiwa Rais mimi nitakuwa mmoja wa watu ambao nitaingia msituni kumng'oa madarakani. Hatuwezi kuongozwa na mdini, mkabila na mpenda siasa za ukanda na Visasi.

MIMI NITAINGIA MSITUNI IKIWA MBOWE ATAKUWA RAIS, SIWEZI KUCHEZEA UHURU WANGU HATA SIKU MOJA.
Unaingia msituni kupakuliwa
 
Unampoteza maboya mazima kabisa huyo Chagga Democratic Party. Kanda ya ziwa wala asithubutu hata kugusa maana kamhumu hayati JPM kwa uzushi na uzandiki, kamdhalilisha eti Magufuli aliwachukia Kilimanjaro na Arusha is he serious? Kesi yake ya ugaidi nani alimkamata na kumfungulia mashitaka ni 5th phase au 6th phase? Kwanini majaladi ya kesi yana utata moja likisema Agosti 2020 lingine Julai 2021?

Chuki alizozionesha wakati akizunguka huko na kule akimtuhumu, kumdhalilisha na kumsikngizia hayati JPM hazitamwacha salama kamwe.

Hakuna mwanasiasa jasiri kwa sasa hapo Tanzania mwenye ubavu kukabuiliana na kilichoshindikana kwenye jamii na akwa tayari kufa kwa ajili hiyo. Huyo kakaa miezi kadhaa tu kwenye selo za kubembeklezwa Ukonga bila kukabiliwa ilivyo na wafanyabiashara wenye nguvu dhidi ya maamuzi yake.

Ikulu ataisikia kwenye radio za Machame; mabadiliko yatafanyika kwenye utawala huu lakini sio kupitia huyo jamaa he has crucified himself for his crap rhetoric

The next political era in Tanzania shall be unexpectedly submerged and history re-written to prove everybody's prediction wrong
Mume wenu Magufuli was a killer, mbaguzi na mkanda + mdini
 
Povu linakutoka kwa kutetea maiti ya IBILISI iliofukiwa na kuoza Chato.. kazi mnayo wajane.
 
Mbowe akiwa Rais mimi nitakuwa mmoja wa watu ambao nitaingia msituni kumng'oa madarakani. Hatuwezi kuongozwa na mdini, mkabila na mpenda siasa za ukanda na Visasi.

MIMI NITAINGIA MSITUNI IKIWA MBOWE ATAKUWA RAIS, SIWEZI KUCHEZEA UHURU WANGU HATA SIKU MOJA.
Wakati yule HAYAWANI Magufuli anabagua watu, ulishangiria si ndio?!
Kizazi cha hovyo sana .
 
Mbowe akiwa Rais mimi nitakuwa mmoja wa watu ambao nitaingia msituni kumng'oa madarakani. Hatuwezi kuongozwa na mdini, mkabila na mpenda siasa za ukanda na Visasi.

MIMI NITAINGIA MSITUNI IKIWA MBOWE ATAKUWA RAIS, SIWEZI KUCHEZEA UHURU WANGU HATA SIKU MOJA.
Anza training mkuu Ukraine watu wanaitwa wakujitolea Kama wewe
 
Kamanda Freeman Aikael Mbowe tayari una-stronghold mbili za kisiasa: Kaskazini na Nyanda za juu Kusini. Kanda ya ziwa ka-boost kidogo Mama kashalegea. Pwani hawaeleweki. Wewe kwa sasa ni above 60 na umekomaa na kuiva haswa kwenye siasa za mapambano na uongozi.

Kuna options mbili:
  • Either CCM watoke madarakani kwa kura au
  • Serikali ya mseto
Nguvu unayo, ushawishi unao. Una hekima na busara. Kwa wazee upo, kwa vijana upo, kwa wakina Mama legeza lugha kidogo watakuelewa. Communication skills unazo za kutosha. Zile lugha kali kali za kikamanda wakati wake umepita. Ule muda wa siasa za kikamanda dhidi ya jiwe umepita. Kaskazini, Kusini, Magharibi na Mashariki wote unawahitaji.

Kazia hovyohivyo kwa mapigo yako ya Kiprezidaa tangu utoke jela. Unanifurahisha sana Mjomba. Acha kulialia kuhusu Kaskazini tayari kura zako zipo. Maumivu ya JPM yasikupotezee focus. No hate, No fear, songa mbele. CCM wana silaha moja tu ya kukushambulia, kabila lako, ni mchaga na wachaga ni wabaguzi. Track record yako itakubeba kwenye hili.

Ongea kama president, let's hoja za kitaifa. Sawa Mjomba! Ni hayo tu.
Ukiona unaota sana ndoto za mchana jiandae kuwa chizi
 
Hongera zake Mbowe kwani uwezo kuongoza anao mkubwa sana ndo maana kupigwa Vita kwake hakuishi.
Ila Mungu ni mwema atampigania atavuka salama
 
Chadema wakitulia 2025 watafika mbali sana, ila wakimuweka chiba ndio kipengele.
 
Mbowe akiwa Rais mimi nitakuwa mmoja wa watu ambao nitaingia msituni kumng'oa madarakani. Hatuwezi kuongozwa na mdini, mkabila na mpenda siasa za ukanda na Visasi.

MIMI NITAINGIA MSITUNI IKIWA MBOWE ATAKUWA RAIS, SIWEZI KUCHEZEA UHURU WANGU HATA SIKU MOJA.
mtafute C. MUSIBA akushauri maana kuna kauli aliwahi isema wakati lisu anarudi tz kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu nazani sasa hivi anaweza kuwa mshauri mzuri tuu, au mzee wa kutumia dola kubaki madarakani na sasa ameshindwa kutumia dola kubaki na ukatibu mkuu aliokuwa nao.
 
Back
Top Bottom